
Angalia sababu ya mwanamme kubadili jina na Kuitwa jina la kike, hii dunia ina mambo kweli
Rashidi alimpa ujauzito mwanafunzi, akashtakiwa.Kumbe Rashidi ana bibi yake mtaalamu wa yale mambo yao ya Sumbawanga, akampachika Rashidi i jinsia ya kike.Alipofika mahakamani kuhojiwa Rashidi akasema sijampa ujauzito kwa sababu mimi pia nina jinsia ya kike.Kwa kuthibitisha Rashid wakaenda kumkagua basi akashinda kesi, kufika nyumbani Rashid akawakuta watu wamejaa wanalia, akauliza kulikoni?Akaambiwa bibi yako amefariki. …

Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza ‘what happened to my plate?House girl akajbu: ‘The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjee……the pasuka paaaaaaaa😂😂😂😂hadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika Read and Write Comments

Baadhi ya misemo mikali ya leo
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge. 6. Hata uwe na haraka …

Kilichotokea baada ya kuzamia sherehe
Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiya…sasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta kwenye Buffee yamebaki maharage! MC : “Papai zuri kabisa kutoka Newala, Papai Mwendokasi, hili ni Shilingi laki 1..jamani Papai,nipeni ofa!” MOSHA : “Laki 3 …

Hii ndiyo bongo sasa!!
Hii ndio Bongo Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya. MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi….kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic . BINTI: Mi naitaka hii MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upate gari uloichagua mwenyewe. Mzee akatoa kitabu cha …

Angalia alichokifanya huyu sharobaro kanisani
Huu usharobaro mwingine uchizi. Jamaa kamzimia demu kanisani,

Hii ndiyo sababu ya kumfanya huyu jamaa kujiita fara
MZEE:”sasa huyu mgeni sijui alale wap?”
MKE:”saa hizi ni usiku akalale na Bebi.”
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:”msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi” akalala
asubh wanakunywa

Ulishawahi kupenda kwa namna hii??!!
Ushawai kumpenda dem na kumfia mazima kiasi kwmb anakwambia ye ana msela lkn we huelewi..unamkazia!! Inabidi dem asisitize,”I HAVE ONLY ONE HEART,PLZ, I CANT LOVE TWO MEN” Nawewe unaona haiwezekan,unamwambia ‘NIPENDE ATA NA KIDNEY’😃😃😙😃😃😃😗😃 Read and Write Comments

Hii sasa ni kali
Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosi 😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu
Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ??.Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizoAkasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaa…😂😂 Read and Write Comments

Sasa Hawa wadada Wapo in Relationship Na Nan!!??
Asilimia 76% Ya Wasichana Kila Ukiwatongoza Wanakwambia Wapo In relationship SAWA ATUKATAI… Asilimia 98% Ya Mamen Wapo SINGLE… HAPA NDIPO HESABU ZANGU ZINAFELI.. Sasa Hawa wadada Wapo in Relationship Na Nan!?. Read and Write Comments

Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa
Wazazi wengine wanaandika MBWAMKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18.. Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFU 😂😂😂😂😂😂😆 😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments

Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe
Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala jamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker) Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka. Read and Write Comments

Utani kwa wadada wembamba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii ………mnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekanii 🤣🤣🤣🤣 Read and Write Comments

Nilichomfanyia huyu aliyenizingua nilipomuazimisha pasi
🙄🙄🙄🙄🙄🙄Jana nimeenda kuazima pasi chumba jirani, ili ninyooshe nguo zangu, Jamaa wakaniambia nichukue nguo nikanyooshe room kwao maana hawataki pasi yao itoke.Sasa leo amekuja mmoja wao kuazima mopper akasafishe room, nimemwambia aje adekie humu humu… Jamaa ameondoka nadhani atakua ameenda kuchukua maji🤒🤒🤒 Read and Write Comments

Misemo ya kina dada
Misemo ya kina dada walianza na halohalooo!Wakaja unalo babu weee!Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ!Mara ghafla kantangazeee!Haikukaa sana kansajiriii!Ikatoka nyingine nishiiiiida! Unaijua iliyotoka Leo? Heh! Heh! Heeeh! MB zenyewe 8 nikudownload unanini? Read and Write Comments

Kwa Wadada wanaotaka kuolewa
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments

Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza “kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?” Daktari yule akajibu “hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la ….” Read and Write Comments

Ujanja alioutumia msichana wa kazi ili apandishiwe mshahara na mama mwenye nyumba
Msichana wa kazi alitaka mama mwenye nyumba ampandishie mshahara….. Mama mwenye nyumba akamwambia msichana ampe sababu tatu za kutaka kupandishiwa mshahara.
Msichana: Napika vizuri kuliko wewe.
Mama: Nani kakuambia?

Huyu Jamaa bwana! Cheki anavyojibu sasa
*Mdukuzi:* _halloo massai unasemaj_*Massai:* _safi rafiki_ *Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya kujibu?_*Massai:* _ulisa acha maneno yako._*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa porini_*Massai:* _swala watatu na tembo saba_😆😆😆😆😆😆👆🏿 Read and Write Comments
Recent Comments