
Watoto wa siku hizi ni shida! Angalia huyu mtoto anachomwambia baba yake
Ka ni wewe?
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.
BABA: Kwanini unasema hivyo?

Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments

Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti anayetaka aolewe angependa aolewe naye!!
1. Awe na pesa nyingi 2.Siyo lazima awe mzuri wa sura 3. Ajenge ukweni 4.Awe mpole 5.Asimuonee wivu mke wake 6.Awe mwenye upendo wa dhati 7.Asishike simu ya mke wake. 8.Akimkuta na mwanaume apite tu, akitaka kujua ni nani asubiri nyumbani 9.Awe anamskiliza mke wake kwa kika kitu. 10.Asipende mwanamke mwingine zaid yake UKIMPATA MWANAUME …
Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti anayetaka aolewe angependa aolewe naye!! Read More »

Sio kwa wivu huu
Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya …inauma sanaa… WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE Bac tuu Read and Write Comments

Kiingereza kinashida kweli, Angalia alichokisema huyu mwalimu
Kiingereza shidaaaa……! Mwalimu wa chakula alipokuwa anaongea na wapishi akiwaeleza maharage kutoungwa vizur Tcha: these beans are not well connected,,😂😂😂 Read and Write Comments

Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini?
.
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali
.
MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa faini… Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa

Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Bro: Tumia tu mpaka uchoke.
Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.

Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe
Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala jamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker) Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka. Read and Write Comments

Kilichotokea baada ya polisi wa kibongo kukutana na mwizi mzungu
POLISI KAKAMATA MZUNGU ‘yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six.(uliponiona ulianza ku-sitasita) u ran n decided 2 plant a car.

Ni wazo tuu!
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel 🙆🙆🙆🙆🏃🏃🏃 Read and Write Comments

Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya
Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya minyoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mm!! 😏😏😏 Read and Write Comments

Kilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala
Jana nilipanda daladala nikapata seat nikaketi, nikawa nimejiachia ninachati kwenye simu yangu(Smart phone), kukawa na jamaa kasimama pembeni yangu, ye hakupata seat. Sasa akawa anasoma message zangu bila aibu yani anafutilia ninavyochati… Basi nikasema ngoja nimtie Adabu mshenzi huyu…. Nikacheck saa yangu yamkononi kisha nikatext: “Oya Ben Kwaheri bwana, zimebaki sekunde 30 tu hili bomu💣 lilipuke… …
Kilichompata huyu anayependa kusoma SMS za watu kwenye daladala Read More »

Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?
Google alisema : mimi nina kila kitu Facebook ikasema : mimi najua watu wote Whatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyi Internet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu ! umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyeshe😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga
Vijana mkiwa mnaendesha magari mna post mukiwa mpo beach mna post mkiwa kwenye masherehe mna post Lakin mkiwa mmeenda kwa mganga siwaoni kupost mitunguli na vibuyu vya mganga unakuwa je wa zee tena. 😀😀😀😀 Read and Write Comments

Kichekesho cha mtalii na mbongo
Duh! Sikubali bora mbavu zituume wote! Watalii wana dharau sana bana, Mtalii alikodi boti akazunguka nayo kwenye mto Rufiji kuangalia mandhari, akamuuliza kijana anayeongoza boti, “Do you know Biology, Psychology and Anthropology?” Kijana akajibu “NO,” Mtalii akamwambia “nothing you know under the sun? You are useless, and u’ll die with your illiteracy!” baada ya muda …

KICHEKESHO: Ukiona masikini Kachinja kuku
Ukiona masikin kachinja kuku basi kat ya kuku au yeye kuna mmoja atakua mgonjwa 😆😆😆😆 Read and Write Comments

Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?
“MAENEO FLANI ya KISHUA” -Mshikaji kamwona demu mkalianakatiza kitaa akamkubali akaamuaamfuate amtemee cheche MSHIKAJI- mambo dada? DEMU- pouwa MSHIKAJI-umependezaa!!! DEMU- asante. MSHIKAJI- unaweza ukanisaidianambayako ya simu……..maana duhnmekukubalikinyama. Demu baada ya kuambiwa vileakazama kwenye pochi lake akatoanoti yash.10000 akaandika namba yakekwenyenoti akampa mshikaji. Mshikaji kapokea ile noti kachanasehemiliyoandikwa namba halafukamrudishiaDemu noti yake..!!! NANI ANA DHARAUNA NANI …

Je, Chuoni kwako Kukoje?
FACT!1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM. 2. Ukaona geto lina nguo nyingi za watu tofauti tofauti, unga mwingi, vtunguu vng, nyanya halaf pembeni, Vitabu vya kutosha na lundo la karatasi za betting ujue huyu JAMAA ni wa SAUT. 3. Ukaona …

Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu
Kuna mtu kanikera et nmemkubalia urafiki Leo tu Facebook anataka kujua kabila languBac akajifanya mjanjaa et akaniuliza mbu kwenu mnawaitajeMimi nkamjibu hatuwaiti wanakujaga wenyewe😂😂😂😂😂😂😂Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi Read and Write Comments

Jee wajua! Maajabu ya whatsapp..
JE WAJUA? Je wajua kwamba kuku wa kwenye Whatsapp anamzidi tembo ukubwa? 🐓👉🏽🐘. 😂😂😂Maajabu! Read and Write Comments
Recent Comments