Hizi hapa, Aina 10 za ndoa usizozijua
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa.1. NDOA YA MKEKAInatokana na kufumaniwa na Binti wa watu.Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjikamwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugunduahawakuwa wakipendana!2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE)Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka katimume18 mke 16.Huvunjika baada ya miaka 3 au4 ya ndoa.4. NDOA YA MAONYESHOWenye ndoa Hii hupenda kujionyeshabarabarani.Ila …
Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahili
MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaali… mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa …
Cheki kilichotokea stesheni ya treni, mambo mengine ukipaniki inakula kwako kama huyu jamaa
Jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka…
Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka.
Kilichotokea kwa binti na mvulana wake walipotaitishwa na baba yake msichana
Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANAfriend wake akija, yule mvulana alipokaribia tu, yule msichana akamwambai:
MSICHANA: Umekuja kuchukua kile kitabu chako, kinachoitwa “DADDY IS AT HOME?” by Ngozi Okafor
Safari ni safari
FUNDISHO : SAFARI NI SAFARI Maisha ni ya ajabu sana, wakati mwingine maisha ni mazuri na mwingine ni mabaya, katika maisha yetu tumeshapitia safari nyingi sana na za aina mbalimbali kwa nyakati mbalimbali. Lakin kiukweli kila safari ni safari tuu. Japokua kila safari ina changamoto zake lakini mwisho wake ni ule ule , kila safari …
Ndoa zina mambo, cheki haya mambo ya mtu na mke wake
Mke: mume wangu leo 2badilishe stail kwani nimechoka kla siku hiyo hiyo tu
Mme: kwel mke wang hata mimi nilikuwa nataka nikuambie hivyo hivyo
Tofauti ya mchaga na mhaya wakipata kazi
Mchaga hata apate kazi bank bado atasema yupo kibaruani. Acha sasa mhaya apate kazi katka mashine ya kusaga na kukoboa; utaskia i work as a crucial engineer in a monocotyledon finalizing company 😂😂😂 Read and Write Comments
Tabia za wachepukaji
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI 1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.2.Inbox na sending items hufutwa kilawakati.3.Ukimuomba simu yake ghafla lazimaakwambie hebukwanza…….4. Kamwe haiiti always vaibration.5. Namba nyingi ha save.6. Kuna simu hapokei hataiweje….anapenda sms zaidi7.Majina mengi kwenye simu yameseviwakwa majina yakufikirika.8.Muda mwingi ni mtu wakujihami.9.Anapenda password na anabadili marakwa mara.10.Akiazima simu yako, akitumia tuanafuta dial …
Huyu mme ni shida
MKE..mume wangu unaweza kuua simba kwasababu yangu??? MME: Hapana mke wangu, sema kingine MKE:unaweza kunipa nione watsapp yako nione msgs? MME: Haya sema huyo simba yukwap nikamuue Read and Write Comments
Hapo sasa!! Ni shida!!
Umeshawahi saidiwa homework na mzazi halafu unapata zero? Hapo ndio unajua shida siyo wewe 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😂😂 Read and Write Comments
Angalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga
Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu,yalikua hivi:- 1.Jasho la nyoka.2.Manyoya ya mende.3.Sisimizi Shoga.4.Mbwa mjane.5.Kuku aliye single.6.Samaki mwenye miaka miwili bila kuoga7.Mti wenye ujauzito.8.Mbavu za Nzi.9.Nywele za Kiroboto.10.Mwanya wa Mbu.Duuh..!! mwanangu kwa hali hii mbona itakula kwako.Wengine wanasemagaIGA UFE! Rizik anagawa Mungu tu shetan simuelew! Read and Write Comments
Hii ndio ngoma droo kwa wanaume kati ya wanawake
{ NGOMA DROO}Sikuizi utawasikia wadada wakisema kuachwa na mwanaume asie na pesa nisawa na kuluhusiwa hospital {Sasa na sisi} wanaume tunasemaKuachwa na demu mpenda pesa nisawa na kumaliza mkopo benk 😂😂😂😂😂😂Wanaume atutakagi ujinga!!!! Wanaume heeeeee🏃🏾♂🏃🏾♂🏃🏾♂🏃🏾♂ Read and Write Comments
Duh. mjamzito ana kazi
😂😂😂😂ukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba Read and Write Comments
Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani
Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo.
Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal:
Jamaa: dada mi nakupenda saana
Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji
Cha kufanya mpenzi wako akikuacha
Kumkomoa… MPENZI WAKO AKIKUACHA BILA SABABU CHUKUA SIMU MPIGIE MAMA AKE MWAMBIE MWANAO AMEKUFA UWEZI…. KULIA PEKE YAKO🤒 Read and Write Comments
Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted! 2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate. 3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full. 4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence. 5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka. 6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu …
Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu Read More »
Angalia alichokifanya huyu sharobaro kanisani
Huu usharobaro mwingine uchizi. Jamaa kamzimia demu kanisani,
Huyu mke ni shida!
MUME: “Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana”.👴😎😎😒MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.👵😷MUME: Akamuuliza kwa hamaki,”Sasa hapo unatafuta nini?”.👴😡MKE: “Sidiria yetu!!”👙💏MUME: (kamfungia …
Kichekesho cha mwalimu na wanafunzi
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo? Mtoto: Nina akili… Basi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni haya…. Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi? Dogo: Yatabaki 19. Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka …
I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments