
Kuwa na Binti aliyeacha shule
Kuwa na binti aliyeacha shule ni BALAA. Anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULE😅😅😅😅😅 Read and Write Comments

Maisha ya Pwani ni Shidaaaaah
😆😆 😂😂😂😂😂😂 Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula🍽🍨 kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga imeandikwa ukisusa wenzio wala ilipofika asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa ukitoka 🚶🚶mwenzio anaingia💃💃 jamaa akagoma kwenda kazini 😬😬 mke akabadili kanga na kuvaa iloandikwa nimemdhibiti ndo mana hatoki🚷 jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akaambiwa twende nyumbsni kwako, walipofika walimkuta mke kavaa kanga imeandikwa ulidhani …

Kichekesho cha mwalimu na wanafunzi
Mtoto: Mwalimu mimi nataka nisome darasa la nne kwani hili la3 halinifai. Mwalimu: Kwa nini unasema hivyo? Mtoto: Nina akili… Basi mwalimu akamueleza mkuu wa shule na mkuu kaitisha interview kwa dogo. Maswali ni haya…. Mwalimu: Kwenye ndege kuna matofali 20 tukitoa moja tukalidondosha chini yatabaki mangapi? Dogo: Yatabaki 19. Mwalimu: Nipe hatua za kumuweka …

Hii ndiyo Ladha ya bia zote usiyoijua
Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6.. Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza 🍺 huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo… Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. …

Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga
Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga. Binti wa Kizungu: Baby you look nice and fresh. Binti wa Kibongo: Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamu 😆😆😆😆 Read and Write Comments

Angalia huyu mgonjwa
Mngojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika. Daktari: hilo tatizo lilianza lini? Mngojwa:tatizo lipi? 😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Jambo usilolijua kuhusu mwili wako
JE WAJUA!….. Msuli mrefu kuliko yote kwenye mwili wa binadamu unaunganisha kope za macho na sehemu ya kutolea haja kubwa ndo mana kila ukijaribu kubana jicho moja sehemu ya haja kubwa hufunguka bila kutarajia? . . . . .. . . . . . . . . Nakuona unavojaribu kubana jicho ….. UTAKUJA KUNYA BUREEEE, …

Pale umapofanya interview huku ukijua hutapata kazi
Pale unaitwa kufanya interview na unajua tuu hutapata kazi tuu…..Interviewer: where were u born?Guy: Tanzania Interviewer: okay which part?Guy: what do u mean which part, the whole body was born in Tanzania..😂😂😂 Cpendagi ujinga mim Read and Write Comments

Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake
1. Ticha:”Punda ni mnyama anaefugwa nyumbani,lakini akiwa mwituni anaitwa pundamilia….Je sungura anayeishi mwituni anaitwaje?”
ZUZU:”Sunguramilia.”
2.Ticha:”Rais wa kwanza wa kenya aliitwa KENYATTA…Je rais wa kwanza wa
Tanzania aliitwaje?”
ZUZU:”TANZANIATTA.”
3. Ticha:”Kuku yuko katika jamii ya NDEGE…Je samaki yuko katika jamii ya nini?”
ZUZU:”MELI.”

Wadada acheni hizo
Mfalme Sulemani alikuwa na wake 700 na alichepuka(cheated)na vimada 300 . Mpenzi wako/Mume wako unamfumania na kimada mmoja tu ugomvi na amani imapotea ndani ya nyumba,unasimulia kuanzia padri,mchungaji,ukoo wako mzima,mashoga, stress,vidonda vya tumbo,inapelekea mpaka unaokoka,eti kisa kamuonjesha mmoja☝ sasa akionjesha 700 si utakutwa Mirembe� Wadada acheni HIZO😂😂😂😂😂😂. Read and Write Comments

Misemo ya kina dada
Misemo ya kina dada walianza na halohalooo!Wakaja unalo babu weee!Ikafuata utajijuuu!Ikafupishwa utajiJJ!Mara ghafla kantangazeee!Haikukaa sana kansajiriii!Ikatoka nyingine nishiiiiida! Unaijua iliyotoka Leo? Heh! Heh! Heeeh! MB zenyewe 8 nikudownload unanini? Read and Write Comments

Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?
Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele “mamaa” mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu “mama nimeota ndoto mbaya sana” ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu “nimeota tumefungua shule” 😂😂😂😂😂 🌚🌚Kibaooooo nyau wewe Read and Write Comments

Soma alichojibiwa huyu mzee baada ya kudai kutaka kumsikiliza Nyerere
Mzee: Dereva ongeza sauti tumsikilize Mwalimu Nyerere!! Dereva: ungemsikiliza mwalimu wako miaka iyo saivi ungekua na gari yako 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Read and Write Comments

Sababu ya girlfriend 👧 kuniblock
Nimeblockiwa bila kosa X Girlfriend From no where kanitext eti Hi; Vp na huko kwenu mvua inanyesha …Nimemjibu kwani nimekutumia text ina matope? sipendangi ujinga mimi Read and Write Comments

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula
Hapa ni shida KUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Read and Write Comments

Duh. mjamzito ana kazi
😂😂😂😂ukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba Read and Write Comments

Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba
Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?
Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?
Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?

Google, Facebook, WhatsApp, Internet na Umeme nani zaidi?
Google alisema : mimi nina kila kitu Facebook ikasema : mimi najua watu wote Whatsapp akasema : mimi napendwa zaidi kuliko nyinyi Internet akasema : hahahaha nyinyi nyote bila mimi si kitu ! umeme ukatamka : mutabadilisha topic au niwaonyeshe😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Eti wanadamu walikuja vipi duniani
Mtoto wa miaka sita alimuuliza babake:MTOTO: Baa, eti sisi wanadamu tulikuja vipiduniani?BABA: Mungu alimuumba Nabii Adam na Hawa.Kisha wao wakaanza kuzaa watoto na watotowakazaa mpaka tukazaliwa sisi. (Mtoto hakuridhikaakamfuta mamake)MTOTO: Mma, eti sisi wanadamu tulikuja vipiduniani?MAMA: Wanasayansi wamesema sisi tulitokana namanyani baadae tukawa binadamu. (Mtoto akarudikwa baba)MTOTO: Baa mbona mama ansema sisi tulikuwamanyani mwanzo?Au wanidanganya?BABA: …

Hiki ndicho kifo mbele ya Mwanamke
Hiki ndiyo kifo. KIFO NI NINI.. Kifo ni pale girlfriend wako anapofanya fujo Club akiwatukana MABAUSA Huku akisema “BABY WANGU HATA HAWAOGOPI” 😀😀😀😀 Read and Write Comments
Recent Comments