Eti hili nalo ni kweli kwa dada yako?
Oya people hv kwa mfano Dada yako akisomea sheria ndo anaitwa sister in law? au๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Angalia nilivyomkomoa huyu dogo
Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote..ย Sahii nmemtuma superglue haongeiย Sipendi ujinga mimiย ๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก Read and Write Comments
Unakumbuka haya enzi za shule?
Kama umesoma st Kayumba utakuwa una aidia na hayaโฆ 1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalim anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani2.unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni af unamuunguza mwenzio3.mkiruhusiwa tu unakimbia unataka uwe wa kwanza kwenye njia yenu y kurudia nyumban4.MTU akikukera unamfungia shule (mnapigana baada ya kufunga shule)5.MTU akikunyima kitu chake unamwambia “Ahaa eeh utaona sa …
Wadada lenu hili. Mimi sipo
Wadada kama una sura mbaya subiri NEEMA YA BWANA..Sio kutuambia mna uzuri wa Ndani usioonekana..Sisi ni Wanaume,Sio MINYOO ๐๐๐๐ Read and Write Comments
Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasa
JAMAA: Baba Padri nimekuja kuungamaPADRI: HayaJAMAA: Niliiba kambaPADRI: Kamba?JAMAA: Ndio, kamba lakini kule mwisho kulikuwa kumefungwa ng’ombePADRI: Kwa hiyo uliiba ng’ombe?JAMAA: Kiukweli nilikuwa nina lengo la kuiba kamba, kwa bahati mbaya mwisho kulikuwa na ng’ombePADRI: Mi naona mueleze Mungu direct, mi sikuelewi kabisaaa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Upendo wa kweli ni nini?
*Upendo wa kweli ni nini?**๐Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani* *Kifo ni nini?**๐Kifo ni pale mwanamke anapokubali kwenda nyumbani na mwanaume yule.* ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Hii sasa kali kweli kweli!!
MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wakeโฆbac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=. Kuna jamaa akatoa 500/=. MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza. MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Mapenzi Stress tupu
Stress Tupu Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia “Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????” Unashtuka ??โฆ. Una muuliza kulikoni? ???? Anakujibu: “Sorry Sio Sms yako?” Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino?????? Read and Write Comments
Chezea kufulia!
Huu Mwezi jinsi nilivyofulia yaani hata nikikuta mende wamesimama wawili najua wananisema ๐๐๐ Read and Write Comments
Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo
Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangiโฆ kiberiti kikawaishiaโฆ wakamtuma mwenzao akatafute kingineโฆ bangi lilikuwa limemkoleaโฆ akazungukazunguka hatimaye akarudi palepale kijiweniโฆ MSHIKAJI:ย oyaaa wanangu eeehโฆ niazimeni kiberiti mwanangu mwenyewe โฆ.. WENZAKE:ย baharia ee subiria kimtindo kuna mwana tumemtuma akatafute kiberiti. Read and Write Comments
Hii ndiyo Ladha ya bia zote usiyoijua
Ladha ya bia ya 1 hadi ya 6.. Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza ๐บ huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza kooโฆ Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma gazeti lake au kwa siku hizi anawasiliana na ndugu na jamaa kupitia simu yake. …
Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa
Wazazi wengine wanaandikaย MBWAโMKALIย kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18.. Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandikaย TUNAUZA BARAFU ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Angalia huyu jamaa alivyoachika na msichana wake kwa kujidai kuongea kingereza na mwishowe kuchanganya maneno
MSICHANA: Mbona jana nimekupigia simu hujapokea?
JAMAA: please beby forget me.
MSichAnA: eeeh unaniambia hivo mimi?
JAMAA: nakuomba sana forget me.
MSICHANA: aya bwana poa maisha mema.
Huyu mwanamke kazidi sasa
Jamaa: Mambo honey, upo ok?Mrembo: Sipo ok my dearJamaa: Una tatizo gani baby?Mrembo: Nimetoka hospitali kupima, nna mimba.Jamaa: Weeh usiniletee balaa hiyo mimba imeingiaje wakati huwa tunatumia kinga?Mremboย Kwani nani kakwambia mimba ni yako, hebu tuliza mshono huo. ๐๐๐๐๐๐๐MTATUUA Read and Write Comments
Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu
Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza hela yangu, hivyo akaanza kurudi, ila bahati nzuri wakati anarudi ili kuja …
Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu Read More »
Hizi hapa, Aina 10 za ndoa usizozijua
Karibuni tuangalie aina hizi 10 za ndoa. 1. NDOA YA MKEKA Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu.Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjikamwaka mmoja tu,baada ya wanandoa kugunduahawakuwa wakipendana! 2. NDOA YA MIHEMKO (NYEGE) Hufungwa na vijana wenye umri wa miaka katimume18 mke 16.Huvunjika baada ya miaka 3 au4 ya ndoa. 4. NDOA YA …
Mambo ya pesa haya..
MAMBO YA FEDHA AISEEโฆโฆ. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= โฆacha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi Aโฆ safi sana, najua umeangalia tena kuiona hiyo herufi, bahati mbaya hujaiona. ๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Hii ndiyo maana ya matatizo
SWALI: Nini maana ya matatizo..? JIBU: matatizo ni pale unapopewa adhabu na mwanajeshi then akakuruhusu uondoke, lakini ukarukia pikipiki yako halafu ukapayuka..!!!!!ย Mwanajeshi, wee boya Tu Mara ghafla chombo kikagoma kuwaka.! ๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo
Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.๐๐๐๐ Read and Write Comments
Ujinga wa ndoto ndio huu
๐Ujinga wa ndoto ndiyo huuโขโขUtaota umeokota dolla ukiamka emptyโฆโขโขUtaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu daadeeki OTA Sasa UMEKOJOAโฆ..๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! ๐ฅณ












































































Recent Comments