Hapo sasa akili itakuja
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interview😥😥😥😭My freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa video😆😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Breaking news
Breaking news 💥 Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana na Kufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia🏃🏿 kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema 😕😕 Read and Write Comments
Angalia huyu bibi alichotufanyia kwenye gari
tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda Konda- bibi twende sit kibao ata utalala Bibi – oooh sawa mjukuu Konda – simama tu apo wanashuka mbele Bibi – akacheka sana tu Konda- mbona unacheka bibi Bibi – mjukuu hawa wote hawashuki wanakufa apo mbele Watu- simamisha gar …
Soma alichojibiwa huyu mzee baada ya kudai kutaka kumsikiliza Nyerere
Mzee: Dereva ongeza sauti tumsikilize Mwalimu Nyerere!! Dereva: ungemsikiliza mwalimu wako miaka iyo saivi ungekua na gari yako 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 Read and Write Comments
Hii sasa kali kweli kweli!!
MCHUNGAJI alitangaza kila mwanaume aliye na mke atoe sadaka kulingana na uzuri wa mke wake…bac watu wakaanza kutoa 50,000/= 30,000/= na 20,000/=. Kuna jamaa akatoa 500/=. MCHUNGAJI akamuita ofisin akamuuliza. MCHUNGAJI:Ina maana mkeo siyo mzuri?. Jamaa akajibu: Ukimuona utanirudishia na chenji. 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Baada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno
Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ulikuwa unasukuma kinyesi!!!!!??????😂😂😂😂 Read and Write Comments
Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu
HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHE….. 😂😂 Read and Write Comments
SMS Mafua ndiyo hii
JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?Cheki hii hapa…….. “Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.Diobeeni dipone😂😂😂😂😂😂😂😂Hapana ChezeaBafua Read and Write Comments
Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments
Hii ndio maana ya Matatizo, usiombee hili likukute
Matatizo ni nini??? `Matatizo ni pale unapokuwa umefika ukweni usiku na haja kubwa ikakubana na hukuwa unajua choo kilipo, ukatoka nje na kujisaidia kwenye majani kumbe ni mboga asubuhi ukasikia mama mkwe anasema kuna mjinga kajisaidia kwenye mboga na kaangusha pochi yake hapohapo haa! Vile unajisachi pochi hamna na kulikuwa na passport,vitambulisho, kadi ya benki, …
Hii ndio maana ya Matatizo, usiombee hili likukute Read More »
Amri za chuo
Ndio hizi sasa 1.Hicho ndicho chuo chako usiwe na chuo kingine ila hicho.2.Usilitaje bure jna la chuo chako mana utawaumiza wengine.3.Ikumbuke cku uliyochaguliwa na kuiheshimu.4.Waheshimu tcu, bodi ya mkopo na uongoz wa chuo ili upate kuendelea kuwepo chuon.5.Usisapu6.Usidisko7.Usitumie mkopo ovyo.8.Usitaman chuo cha mwenzio9.Usitamani fakat ya mwenzio10. Usitaman bumu lake wala chochote alichonacho. hahaha chezea chuo …
Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake
Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-
Demu: hello baby wangu leo bata wapi?
Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi
Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia “mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!” Read and Write Comments
Angalia uhuni wa huyu dereva
Dereva alikamatwa kwa kosa la kusababisha ajari ya watu wa5 aliowagonga. Trafik akamuliza kwanin umewagonga awa watu? Jamaa akajibu,”nilikua mwendo wa kasi sana, alafu nimejaza abiria ndani, gari likawa linakuja mbele yangu nilipokanyaga breki zikakatika, sasa ningefanya nin?”
Wanaume ni noma, Angalia huyu alivyomdanganya huyu 👧 girlfriend wake
Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE. Girlfriend akamuuliza jamaa “beby vipi mbona uko hapa?” Jamaa bila woga akajibu “NIPO FIELD. Wanaume hatupendi ujinga sisi 😠😠😠 Read and Write Comments
Misemo 17 ya kuchekesha
1) gari la kuvutwa halina overtake2) kisigino hakikakai mbele3) wimbo wa taifa haupgwi disko4) feni haiwashwi beach5) mshkaki hauchomwi kwa jiko la ges6) mganga haagiz tembele7) hata bibi alikuwa bint8) mke wa mtu sumu,mume wamtu maziwa9) kipara bila pesa ni kovu10) mbwa hanenepi migiuu11) picha ya rais haina bodyguard12) mjini shule kijiji tuition13) saa ya …
Mtoto ni wa baba au wa mama? Angalia hoja za baba na mama kila mmoja anadai ni wake
Mtoto ni wa baba au wa mama?
Mume alimpa mkewe talaka wakaenda mahakamani ili hakimu aamue nani akae na mtoto.
MME: Akasimama akauliza hivi: Mheshimiwa hakimu hivi nikichukua ATM card nikaingiza kwenye mashine ikatoa pesa, sasa pesa zitakuwa ni za ATM au zakwangu?
Wabongo ni noma! Angalia huyu mbongo anachokifanya
Basi juzi kati hapa sehemu ndogo ya ukuta wa Ikulu ya Magogoni ilianguka!..
Wakapelekwa contractors watatu ili achaguliwe mmoja atakayejenga vzr na kwa bei nafuu!..
Wakwanza alikuwa MUHINDI, wa pili MCHINA na MBONGO!…
Angalia kilichompata huyu mwanafunzi kilaza anayejiamini
Teacher: Who is a pharmacist? Shemdoe raised up his hand. Teacher: So it’s only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? So there is no body else to answer the question except Shemdoe? (There was no reply from the students) Teacher: Ok now Shemdoe, chukua hii fimbo, charaza vilaza hawa wote …
Angalia kilichompata huyu mwanafunzi kilaza anayejiamini Read More »
Cheki hawa washikaji wanachokifanya baada ya kuvuta bangi, Bangi si mchezo
Kuna washikaji walikuwa wakivuta bangi… kiberiti kikawaishia… wakamtuma mwenzao akatafute kingine… bangi lilikuwa limemkolea… akazungukazunguka hatimaye akarudi palepale kijiweni… MSHIKAJI: oyaaa wanangu eeeh… niazimeni kiberiti mwanangu mwenyewe ….. WENZAKE: baharia ee subiria kimtindo kuna mwana tumemtuma akatafute kiberiti. Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳












































































Recent Comments