Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi
1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu. 2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu. 3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara? 4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria. 5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge. 6. Hata uwe na haraka …
Misemo 10 bora ya kuchekesha itakayokuacha mdomo wazi Read More »
Duh, Ukisikia ngoma droo ndio hii
Ni noma! Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- “Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako” Mume akamjibu:- “Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu” ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Darasa lolote lile halikosi watu kama hawa
Darasa lolote lile (hasa vyuoni) lazima liwe na wanafunzi wafuatao:1. Mrembo wa darasa.2. Playboy/playgirl. Hawezi kutembea na msichana/mvulana mmoja mara mbili.3. Group ya marafiki watatu. Kila mara wako pamoja.4. Mtu mwenye maswali ya kuudhi/kukera.5. Msongolist kimeo. Huyu huwa anasoma sana bt hana bahati ya kufanya vizuri. Yani msuli tembo, bt matokeo sisimizi. 6. Mlafi. Huyu …
Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahili
MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaaliโฆ mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa …
Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
Utoto bwana. Raha sana!
Utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwao๐ Read and Write Comments
Nilichokifanya leo
Leo nmemlipa konda nauli, akasahau kunishusha kituoni. Na mimi nkakaa KIMYAAA kumkomoaโฆ.. *nataka ujinga kwan mimi๐๐๐* Sahv narudi zangu kwa mguu๐ฉ Read and Write Comments
Omba omba sio barabarani tuu
Boy:- baby ivi nikifa utakuja msibani? Girl:-ntakuja ukinitumia nauli. Hapo ndo unagundua kuwa sio kila omba omba yuko barabarani. ๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค Read and Write Comments
Hizi sifa zimezidi sasa
MADEM KWA SIFA.. kuumwa aumwe yeye lakn kujifanya anajali sana bas utamsikiaย BABY KARIBU TUMEZE DAWAย ๐๐๐ Read and Write Comments
Ulishawahi kukutana na hii? Maana yake ni nini?
Ulishawahi kutana na hiiโฆ.Issa: mamboJeni:poa vpIssa:poa nambie: Jeni:poa aje ww:Issa:poa nambieJeni:poaIssa :bas poaJeni:poaโฆ.Issa:poa badee basiJeni:hayaIssa:bai๐๐๐๐โฆโฆ..HII KIITALIANO INAITWA LACK OF SOUND ENGINEERING NA HII INASABABISHWA NA UOGAโฆโฆ Read and Write Comments
Wale wa kupenda kupewa pewa namba za simu soma hii
Unaomba namba ya simu ya mdada af anakunyima ila unalazimisha akupe anaona kuliko muendelee kuongea bora tu akupe anakutajia 071112016 unafuraahi unaondoka unafika nyumbani unajaribu kuipiga but kabla hujapiga unagundua alikutajia tarehe ya leoย Wadada acheni hizoย ๐๐๐๐๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐๏ฟฝ๐ Read and Write Comments
Mcheki Chizi na daktari
Tafakari na ujumbe huuuu!!!โฆ DAKTARI :- Unajisikiaje? CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu. DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena. CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet ๐๐๐๐ Read and Write Comments
Angalia huyu jamaa alivyomuweza huyu binti wa chuo
๐๐๐๐ .. TABU KUDATE NA MADEMU WA CHUODemu ;ย Baby Safari Hii Nataka Pale Hostel Niwafunike Mashoga Zangu Wote.Jamaa ;ย Poa Sweetie Ondoa Shaka Nitakununulia #Turubai Utawafunika Woteโฆ!!!Demu:ย Mxiuuuuuuuu Lione Sura Kama Goti La mbuzi Na Namba yangu futa Nakublock Mpaka Sanduku la postaโฆ!!! ๐๐๐๐nmecheka adi nmelazwa Read and Write Comments
Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasa
JAMAA: Baba Padri nimekuja kuungamaPADRI: HayaJAMAA: Niliiba kambaPADRI: Kamba?JAMAA: Ndio, kamba lakini kule mwisho kulikuwa kumefungwa ng’ombePADRI: Kwa hiyo uliiba ng’ombe?JAMAA: Kiukweli nilikuwa nina lengo la kuiba kamba, kwa bahati mbaya mwisho kulikuwa na ng’ombePADRI: Mi naona mueleze Mungu direct, mi sikuelewi kabisaaa ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Tofauti kati ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo mwanamme anapotoka kuoga
Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga. Binti wa Kizungu:ย Baby you look nice and fresh.ย Binti wa Kibongo:ย Naona safari imeiva, Mwanaume hupumziki kama nesi wa zamuย ๐๐๐๐ Read and Write Comments
Utani wa wachaga
Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:- 1. WAROMBO; Hawa wajanja sana kibiashara/wezi pia. wanapenda dili za magendo. Ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanaume wa Rombo wanachunwa sana na wanawake wa Marangu na wanawaita “vishohia”. Wanawake wa Rombo ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa Mrombo ujue umeolea kijiji. 2. …
Mabinti wengine kwa kupenda hela! cheki huyu anachokifanya
Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani
Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu
Soma alichokisema mlevi baada ya kukuta watu wakimpiga mwizi
Mlevi mmoja aliona wananchi wakipiga mwizi akawaambia “mwacheni msimpige, hii tabia yenu ya kupiga wezi mtakuja shtukia mnampiga Yesu, maana imeandikwa atakuja kama mwizi!” Read and Write Comments
Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao
Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupuโฆ Nikaamua kuvaa glovesโฆ Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni.๐๐๐ Read and Write Comments
Mambo makuu matatu waafrika tusiyoyajua
NIMEKAA NIKAWAZA ๐๐ผ KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVI๐๐ป WAAFRIKA HATUYAJUI ๐ KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,๐บ๐ธWACHINA๐ฏ๐ต NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWA๐ฝ๐ช TUNAWAPITA KIMAENDELEO MAMBO YENYEWE,, HATA MIMI SIYAJUI MAANA NA MIMI NI MWAFRIKA ๐๐๐๐ Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! ๐ฅณ













































































Recent Comments