
Ungekua wewe ndio mama wa huyu mtoto ungemfanyaje?
Kuna mtoto mmoja aliamka kutoka usingizini alipokuwa kalala na mama yake na kupiga kelele “mamaa” mama yake akaamka na kumwambia nin mwnangu mtoto akajibu “mama nimeota ndoto mbaya sana” ndoto gani hyo mwanangu mtoto akajibu “nimeota tumefungua shule”๐๐๐๐๐๐๐Kibaooooo nyau wewe Read and Write Comments

Baada ya kunitumia SMS usiku ikawa hiviโฆ.
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text “mambo vipi?”โฆhalafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu “shwari”halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio.. ๐๐๐๐๐ Read and Write Comments

Jinsi mzunguko wa elimu ulivyo
01.๐ Wale wanafunzi walioongozaMashuleni, wanaenda kwenyeEngineering na Medical school. 02.๐ Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wawanafunzi walioshika nafasi ya kwanza. 03.๐ Wale waliokuwa wa tatu, wanageukiaSiasa na kuwaongoza wote hapo juu.Yaani wa kwanza na wa pili. 04.๐ Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao wa juuwote hawana …

Nilichokifanya wakati naangalia taarifa ya habari
Jana wakati naangalia taarifa ya habar mtangazaji akasema “mpenz mtazamaji nataka nikupeleke moja kwa moja had marekani” nikazima TV kwa haraka nikaenda kuvaa viatu. Hadi sahv bado nmekaa hapa seblen nahisi bado wanaihangaikia Visa yangu ๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments

Angalia wadada walivyoumbuka kwenye hii test
Ticha katangaza test , Akatoa Masharti; Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata.
Swali la kwanza,
Taja vyakula vi3 ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1)
WAVULANA wakajaza; wali, ugali, mihogo.
WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la
ย

Kapresha kakiamua kuja kanakujaga tuu, cheki kilichompata huyu mme wa mtu mpenda michepuko
Kimchepuko chako kinakuandikia meseji kama hiiโฆ โฆSamahani baby kama unavyojua nimeokoka ,nimetubu kanisani lakini nabii kaniambia niwaombe msamaha wote niliowakosea. Nimemkosea sana mkeo kwa kumwibia mumewe na nimepanga kuja kumwomba msamaha kesho ntakuja na nabii na Mchumba wangu mpya nilie mpata kanisani. Samahani kwa usumbufu uliojitokeza lakini hilo ni kwa ajili ya utukufu wa bwana!!! …

Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo
Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.๐๐๐๐ Read and Write Comments

Huyu jamaa amekomeshwa, majambazi ni shida!
CHEKA KIDOGOMajambaz waliliteka gar moja lililokua limeshehen abiriaBaada ya abiria kusachiwa na majambaz hao na kukutwa hawana pesa, majambaz wakasema kila m2 atapigwa viboko (bakora) kutokana na namba ya shati alilovaaAliyekua hana namba atasalimikaKaz ikaanza, jamaa alievaa jez ya ROONEY wa Man U akapigwa fimbo 10, mwengine alievaa nguo ya 50cent akapigwa 50, n.k, sasa …

Utani kwa wadada wembamba
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Wadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii โฆโฆโฆmnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekanii ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ Read and Write Comments

Angalia jamaa alivyouweza huu mchepuko wake
Kuna mchepuko nilimtumia nauli jana ili aje,.kwang sasa leo kaniambia eti ” nimesahau ile line yenye M-pesa home plz nitumie tena kwa tigo mpenz””!! Me nikajifanya chizi nikatuma Kule kule kwenye voda (aliosema kaacha home) Nikatuma huko message ivi “nikuongezee Sh. Ngapi tena mpenz..!!” Akanjbu “elfu 20,000 tu mpenzi” Mtuhurumie jamani ๐๐๐ Read and Write …

Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata
Angalia kilichotokea
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema “hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!

Mabinti wengine kwa kupenda hela! cheki huyu anachokifanya
Phone call
gal: hellow
Boy: sweety mambo vipi?
Girl: poa
Boy: utakuwa free weekend? nilikuwa nataka uje nyumbani
Girl: oh sorry ctoweza kuja sababu kuna haruc ya aunt yangu

Ikitokea hii kwenye chumba cha mtihani
Upo kwenye chumba cha mtihani,maswalii yamekupiga kinyamaUnaamua kuchukua smartphone ugoogle kisha ucopy na kupaste kwenye booklet yako, Ghagfla lecturer aningia na wewe kwa woga wako unaficha calculator na kuweka simu mezani,Hapo ndo utajua shetani naye alikua anasimamia paper.๐๐๐๐๐ Read and Write Comments

Mzunguko wa elimu kiafrikaafrika
01.๐ Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.๐ Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.03.๐ Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili.04.๐ Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao …

Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Msanii mmoja anaitwa ”KINYA” alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
”YEAH NI TEMBA hapa au

Duh, huyu mama alichokifanya
Mke:ย Naelekea london, nikuletee zawadi gani? Mume:ย kitu gani unaweza niletea wewe? Mke:ย we omba Alafu utaona. Mume:ย Niletee msichana wa kizungu. Mke:ย (mke akaendaLondon na kurudi) Mume:ย zawadi yangu iko wapi? Mke: Subiri ndani ya miezi 9!!!! ๐๐๐๐๐๐๐๐Pia Wamama hawapendi ujinga Read and Write Comments

Nimeitoa sehemu
Ifโฆ99 is: Ninety nine,88 is: Eighty eight,77 is: Seventy seven,66 is: Sixty six,55 is: Fifty five,44 is: Forty four,33 is: Thirty three,22 is: Twenty two,Why 11 not Onety one? Wazungu msitufanye Vilazaโฆ.!! ๐ ๐ ๐ ๐๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐Mungu anawaona Read and Write Comments

Angalia nilichokifanya baada ya kuumwa na meno
Baada ya kuumwa na Meno nikaamua hivi. mimi sipeรฑdagi ujinga,,,Nmeumwa na jino moja la chini..nimeng’oa meno yote ya chini ili iwe funzo kwa meno ya juu๐ก๐ก Read and Write Comments

Duh! Wanaume jamaniโฆ
Lakini sisi wanaume hatuko fair โฆ Yani demu anang’ng’ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. ๐๐๐mungu anatuona jaman๐๐๐๐๐๐Makeup ya matako iletwe Read and Write Comments

Angalia huyu mvulana anachomwambia huyu daktari baada ya rafiki yake wa kike kupata ujauzito
๐๐๐๐ MVULANA:ย Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii? DAKTARI:ย Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simba mbele yake. Ili amtishie Simba, muindaji akatumia mwamvuli na kummiminia risasi Simba. Simba akafa …
Recent Comments