Cheki tulichokifanya jana
JANA APA HOMEJENERETA LILIWASHWAACHA TUHANGAIKE KULIKUNA😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Maisha ya Pwani ni Shidaaaaah
😆😆 😂😂😂😂😂😂 Jamaa kagombana na mkewe, akasusa kula🍽🍨 kurudi kazini kamkuta mkewe amevaa kanga imeandikwa ukisusa wenzio wala ilipofika asubuhi mke akavaa kanga imeandikwa ukitoka 🚶🚶mwenzio anaingia💃💃 jamaa akagoma kwenda kazini 😬😬 mke akabadili kanga na kuvaa iloandikwa nimemdhibiti ndo mana hatoki🚷 jamaa akaenda kuomba ushauri kwa rafiki yake akaambiwa twende nyumbsni kwako, walipofika walimkuta mke kavaa kanga imeandikwa ulidhani …
Sababu ya jamaa kujiita fara ugenini
MZEE:”sasa huyu mgeni sijui alale wap?”
MKE:”saa hizi ni usiku akalale na Bebi.”
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
Unakumbuka haya enzi za shule?
Kama umesoma st Kayumba utakuwa una aidia na haya… 1.Unaenda shule umechelewa unakuta mwalim anakamata wachelewaj unaamua urudi nyumbani2.unachukua kimbegu cha ubuyu unasugua sakafuni af unamuunguza mwenzio3.mkiruhusiwa tu unakimbia unataka uwe wa kwanza kwenye njia yenu y kurudia nyumban4.MTU akikukera unamfungia shule (mnapigana baada ya kufunga shule)5.MTU akikunyima kitu chake unamwambia “Ahaa eeh utaona sa …
Jamaa amkomesha boss wake
Kuna jamaa alifutwa kazi… Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbele… Ikawa hv…boss: _mbona waja kunya kwangu?_jamaa: _nataka kukuonesha kuwa silali njaa_😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
SMS Mafua ndiyo hii
JE UMESHAWAHI KUONA SMS MAFUA?Cheki hii hapa…….. “Mabo dugu yagu mziba? Bwada nasubuliwa sada na bafua baka dashindwa kuadika beseji do hayo dugu yagu.Diobeeni dipone😂😂😂😂😂😂😂😂Hapana ChezeaBafua Read and Write Comments
Angalia huyu jamaa anavyojiona msomi, huyu kamuotea, hapa amekwama
USIJIONE MJUAJI SAAAA…NA.Jamaa kamaliza chuo anarudi nyumbani kwa wazee, kufikanyumbani. kwa furaha waliopata wazazi, mama aliamuakurosti kuku WAWILI(2) kwa ajili yao.Mezani jamaa akataka kuwadhihirishia kuwa yeye ni msomi,akawaambia “hawa kuku unaona wako wawili ila kwa kutumiasheria za arthematic na geometric kuna kuku watatu mezani”mama”hee embu tuoneshe mwanangu”jamaa akachukua kuku ya kwanza akainua juu “ngapi?”wazazi”moja” akainua …
Angalia huyu jamaa anavyojiona msomi, huyu kamuotea, hapa amekwama Read More »
Ungekua wewe ni mwalimu ungemshauri nini huyu mwanafunzi?
Mwalimu aliingia darasani na kuwauliza wanafunzi juu ya ndoto zao za baadae. MWAL: John we unataka ukiwa mkubwa uwe nani? JOHN: Nataka niwe daktari wa moyo niwasaidie watanzania wanaougua magonjwa ya moyo. MWAL: vizuri. Na wewe Rose unataka kuwa nani? ROSE: Nataka kuwa rubani, niweze kusaidia watu wanapenda kusafiri kw anga. MWAL: Safi sana Rose. …
Ungekua wewe ni mwalimu ungemshauri nini huyu mwanafunzi? Read More »
Mzunguko wa elimu kiafrikaafrika
01.👉 Wale wanafunzi walioongoza Mashuleni, wanaenda kwenye Engineering na Medical school. 02.👉 Wale waliokuwa wa pili, wanachukua MBA na LLB na kuja kuwa Mameneja wa wanafunzi walioshika nafasi ya kwanza.03.👉 Wale waliokuwa wa tatu, wanageukia Siasa na kuwaongoza wote hapo juu. Yaani wa kwanza na wa pili.04.👉 Wale waliofeli, wanaenda Jeshi, hawa wakigoma, basi hao …
Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
Utoto bwana. Raha sana!
Utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwao😆 Read and Write Comments
Raha ya kuoa mke ambaye hajasoma
Ukioa mke asiyesoma hata hili unaweza kufanya KUOA MKE AMBAE HAJASOMA RAHA SANA LEO NIMEMUAMBIA MWEZI HUU HATUTOLIPWA MSHAHARA KWAKUA HAUNA TR 30 KAENDA KUNGALIA KARENDA KARUDI ANANIAMBIA HAMNA SHIDA MME WANGU TUTAVUMILIA TU 🤣🤣🤣 🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂🏃♂ Read and Write Comments
Baada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno
Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ulikuwa unasukuma kinyesi!!!!!??????😂😂😂😂 Read and Write Comments
Angalia Kiingereza kilivyoniponza
Shikamoo kingereza..! Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa: Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole! Price: TSH 44,000/= Nikaagiza! Nilipoletewa ndio nagundua kwamba: ni makande na parachichi ..🤔 hapo ndo unagundua mwalimu wa kiingereza alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo🤒💨 Read and Write Comments
Mapenzi Stress tupu
Stress Tupu Unapokea Sms kwa mpenzi wako anakuambia “Kuanzia Leo Mimi Na wewe Basi! ????” Unashtuka ??…. Una muuliza kulikoni? ???? Anakujibu: “Sorry Sio Sms yako?” Hapo Ndo utajua Kwanini Hakuna Mmasai Albino?????? Read and Write Comments
Angalia wanachokifanya Zuzu na msichana chumbani kwenye giza
Zuzu: Mambo Anna!
Anna: Poa!
Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyeshe…
Anna: Kitu gan?
Zuzu: Twende chumbani kwako (wakaenda)
Anna: Haya nionyeshe…
Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi Read and Write Comments
Huu mchezo hautaki makeup
Mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huu mchezo hautaki mekapu Read and Write Comments
Duh! Huyu kazidi sasa
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begi😂😂😂 Read and Write Comments
Je, Chuoni kwako Kukoje?
FACT!1.Ukiona geto lina feni, sabufa, meza ya plastic na kitanda ch sita kwa sita na Pc UJUE ni jamaa wa UDSM. 2. Ukaona geto lina nguo nyingi za watu tofauti tofauti, unga mwingi, vtunguu vng, nyanya halaf pembeni, Vitabu vya kutosha na lundo la karatasi za betting ujue huyu JAMAA ni wa SAUT. 3. Ukaona …

I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments