Breaking news
Breaking news 💥Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana naKufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia🏃🏿 kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema 😕😕 Read and Write Comments
Nani Mkali Hapa kati ya DEMU na MSHIKAJI?
“MAENEO FLANI ya KISHUA” -Mshikaji kamwona demu mkalianakatiza kitaa akamkubali akaamuaamfuate amtemee cheche MSHIKAJI- mambo dada? DEMU- pouwa MSHIKAJI-umependezaa!!! DEMU- asante. MSHIKAJI- unaweza ukanisaidianambayako ya simu……..maana duhnmekukubalikinyama. Demu baada ya kuambiwa vileakazama kwenye pochi lake akatoanoti yash.10000 akaandika namba yakekwenyenoti akampa mshikaji. Mshikaji kapokea ile noti kachanasehemiliyoandikwa namba halafukamrudishiaDemu noti yake..!!! NANI ANA DHARAUNA NANI …
Huyu mwanafunzi kweli kiboko
Ticha: Wa kwanza kujibu swali langu ataenda Home mapema.. John kusikia hivyo….Karusha begi la daftari nje…..` `Ticha akauliza: Nani karusha begi nje!?!`* `John: Mimi….. Kwa herii Mwalimu……` 😂😂,😂😂 Read and Write Comments
Ziara za kushtukiza zinachekesha sana
Mimi Nimecheka sana👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇 ZIARA ZA KUSHTUKIZA😀😀Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa wiki hii nimesikia mengi kuhusu hizi ziara za kushtukiza za viongozi wetu, nikaona hili ni jambo zuri tena linafaa kuigwa na sisi wananchi wapenda maendeleo. Nikaona …
Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake
Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-
Demu: hello baby wangu leo bata wapi?
Wazo la asubuh – penzi la kuku
Wazo la asubui 🙈Penzi la kuku sekunde 2 ila vifaranga kibao.Lakini binadamu masaa kibao mtoto 1 au 2. Sasa binadam na kuku nani JEMBE? Ukimwona JOGOO popote piga SALUTI!😂😂😂😂😂😂😂😂ukinuna poa tu!!!!!🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃 Read and Write Comments
Tofauti ya ukopaji wa mzungu na mswahili
MZUNGU: Hi, I need $100, will pay back on Monday MSWAHILI: Kaka vipi, shwari? Dah.. hatuonani mzee, mishe vipi, mnatunyima nini? Juzi nimekuona kwa mbaaali… mzee shavu dodo, full kipupwe! Sie tupo bwana, shida tu, afu misiba mingi tu, wife nae kajifungua ghafla. Sasa, kuna cheque naisubiri haijatoka hadi leo, wanasema itatoka next week, hapa …
Huyu mme ni shida
MKE..mume wangu unaweza kuua simba kwasababu yangu??? MME: Hapana mke wangu, sema kingine MKE:unaweza kunipa nione watsapp yako nione msgs? MME: Haya sema huyo simba yukwap nikamuue Read and Write Comments
Baada ya kunitumia SMS usiku ikawa hivi….
Jana usiku kuna Jirani yangu..kanitumia text “mambo vipi?”…halafu tunakaa nae mtaa mmoja nikaona nikimjibu ni uharibifu wa hela nikaenda kumgongea mlango saa 7 usiku. Alipofungua nikamjibu “shwari”halafu nikarudi nyumbani kulala zangu.. Sipendagi kuchezea salio.. 😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Punguzeni pombe. Cheki kilichompata huyu
Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga nimetoka nikamwambia mwenyewe kasafiri.Nae kaondoka. Read and Write Comments
Vichekesho kumi bora vya leo vya kuvunja mbavu
Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya
Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya minyoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mm!! 😏😏😏 Read and Write Comments
Mshahara usiobadilika
PAMOJA NA HALI NGUMU YA UCHUMI NCHINI HUWEZI AMINI MSHAHARA WA DHAMBI HAUJABADILIKA HATA KIDOGO…BADO NI MAUTI VILEVILE 😊😊😊😊 Read and Write Comments
Angalia nilichomfanyia huyu dereva sasa
Tulikua kwa basi tunaelekea arusha,ile namcheki dereva kumbe ni best yangu na basi ilikua kwenye spidi hatari, nikaenda kumziba macho nkamuuliza otea mi ni nani, kabla hajanijibu nikasikia kishindo kikubwa sanaNA SASA HIVI NIMEZINDUKA NIMEONA ABIRIA WOTE TUPO WODI NAMBA 3 HAPA KCMC MOSHI. 🤕🤕🤕🤕SODA ZA WAGONJWA PLIIIZ!!! 🙏🙏🙏🙏🙏 Read and Write Comments
Sababu ya mwanaume kunya kitandani alipokuwa kalala na mke wake
Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani.
Jamaa akafoka, “Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?”
Yule mtu akajibu, “Mi ni malaika na hapa sio kitandani mwako uko mbinguni!”
Jamaa, “Huh! Inamaana nimekufa,mbona mi bado kijana… naomba nirudishwe!”
Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani
Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo.
Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal:
Jamaa: dada mi nakupenda saana
Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji
Angalia kilichonikuta nilipoenda kwa mganga
Usije ukaenda kwa mganga, mwenzako yamenikuta, yani masharti niliyopewa, acha tu,yalikua hivi:- 1.Jasho la nyoka.2.Manyoya ya mende.3.Sisimizi Shoga.4.Mbwa mjane.5.Kuku aliye single.6.Samaki mwenye miaka miwili bila kuoga7.Mti wenye ujauzito.8.Mbavu za Nzi.9.Nywele za Kiroboto.10.Mwanya wa Mbu.Duuh..!! mwanangu kwa hali hii mbona itakula kwako.Wengine wanasemagaIGA UFE! Rizik anagawa Mungu tu shetan simuelew! Read and Write Comments
Hawa Machizi wamezidi sasa
Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila nikionja bado ina chumvi. Mwenzake akacheka sanaaaaaa akamwambia. Hujakoroga!!!!😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Cha kufanya mpenzi wako akikuacha
Kumkomoa… MPENZI WAKO AKIKUACHA BILA SABABU CHUKUA SIMU MPIGIE MAMA AKE MWAMBIE MWANAO AMEKUFA UWEZI…. KULIA PEKE YAKO🤒 Read and Write Comments
Maisha ya kijijini hadi raha!!
Jamaa alimfumania mtu anazini na mkewe, Akamtoza Faini ya sh 5000 tu,yule mtu akatoa 10000. Jamaa akasema lala nae tena sina chenji!😀😀😀😀😀😀😀 Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments