
Nilichokifanya leo
Leo nmemlipa konda nauli, akasahau kunishusha kituoni. Na mimi nkakaa KIMYAAA kumkomoa…..*nataka ujinga kwan mimi😆😆😆*Sahv narudi zangu kwa mguu😩 Read and Write Comments

MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU
1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili , mbwa pia ana matiti nane na haturingii eboo !!!!
2. Ka wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie.
3. Nauli kulipa lazima ,Chenji ukikumbuka.

Cheki huyu mtoto anachosema
sijui hili toto langu nilipeleke wapi, Leo limetoka shule eti nikaliuliza BIBILIA kwa kingereza inaitwaje likaniambia GRANDMOTHER CRY 😠😠😠 sijui nikabadilishane na kijiko cha chumvi🤔🤔🤔 Read and Write Comments

Angalia huyu mgonjwa
Mngojwa: daktari Nina tatizo la kusahausahau kila dakika. Daktari: hilo tatizo lilianza lini? Mngojwa:tatizo lipi? 😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Huyu Jamaa kawaweza polisi kweli
Et jamaa kawekwa jela kwa kosa la kupoteza mamiilion.ya kampun akiwa gerezan babayake alituma baruaIkisema yan.mwanangu tumapata shida maana shamba halijalimwa na jatujii litalimwaje na msimu ndio huo nataman.ungekuwepo ningepata msaada wa kulimiwa hili shamba Yule kijana alijibu tafadhal baba usilime hilo shamba maana pesa zote nilizo ibwa nimeficha.huko Kwakuwa barua zote laxima zipite kwa …

Huyu jamaa amekomeshwa, majambazi ni shida!
CHEKA KIDOGOMajambaz waliliteka gar moja lililokua limeshehen abiriaBaada ya abiria kusachiwa na majambaz hao na kukutwa hawana pesa, majambaz wakasema kila m2 atapigwa viboko (bakora) kutokana na namba ya shati alilovaaAliyekua hana namba atasalimikaKaz ikaanza, jamaa alievaa jez ya ROONEY wa Man U akapigwa fimbo 10, mwengine alievaa nguo ya 50cent akapigwa 50, n.k, sasa …

Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; “Tupige magoti tusali”,
Wakapiga magoti…:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emen…

Angalia huyu polisi kitu alichonijibu
Nimefika hapa Polisi Station nimefarijika sana na Kustuka baada ya kumkuta Askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani alimuua Goliathi? Akasema Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anausika na Kesi za Mauaji.😂😂 Read and Write Comments

Madogo wa sikuizi ni kiboko, cheki huyu alichokifanya akiwa darasani na mwalimu wake
Muda wa kwenda nyumbani ulikuwa umefika, mwalimuakasema: yeyote atakaye jibu swali langu lolote kwa usahìhi ataondoka asiye jibu atabaki. Dogo mmoja akatupa begi nje ya dirisha.Mwalimu akauliza nani katupa ilo begi nje?Dogo akajibu fasta mimi. Akafungua mlango akaenda kwao. neno moja kwa dogo Read and Write Comments

Cheki huyu kiherehere alivyojibiwa
Za asubuhi? Nzur sjui huko? Huku kwema tuu VP si ulimaliza chuo ww? Ndio kwani vp? Mbona hatuoni matunda yake? Kwani mi nlienda na miche ya mipapai au miembe au umeambiwa TIA, IFM na IAA wanakodisha Mashamba ya nyanya ???????? Hamna sio hvyo umeenda mbali kaka Kama kilomita ngapi? Haya yaishe bhana… Ukome kwa kiherehere …

Mbele ya hela binti usharobaro achia mbali
Boy:- hallowDem:- hellowBoy:- ivi jina lako nani vileDem:- am miss precious A. K. A dope girlBoy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer careDem:-no no baby usipige Ah ah Hapana baby mi naitwa Andongolile Mwakasakafyuka 😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Huyu traffic noma, kweli ulevi mbaya
Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, “naomba leseni yako.”Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama akampatia! Trafik akakiangalia kwa dakika 2Akasema sasa si ungesema kama wewe ni trafik mwenzangu!Haya nendaUlevi sio mzuri😄😄😄😄 Read and Write Comments

Huyu mke ni shida!
MUME: “Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana”.👴😎😎😒MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.👵😷MUME: Akamuuliza kwa hamaki,”Sasa hapo unatafuta nini?”.👴😡MKE: “Sidiria yetu!!”👙💏MUME: (kamfungia …

Cha kufanya msichana akikukimbia halafu atake kukurudia
……… Kama msichana atakutupa kwa sababu huna pesa, na baadaye unapopata pesa akarudi tena kuomba msamaha… Ndugu yangu….. Msamehe…. Mpe ahadi ya ndoa, mwambie utamuoa…. iambie familia yake unataka kufanya ukarabati wa nyumba yao…… Ondoa paa lote la nyumba yao halafu TOWEKA….. 😂……… 😂…….. 😂 Read and Write Comments

Ni wazo tuu!
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel 🙆🙆🙆🙆🏃🏃🏃 Read and Write Comments

Acha usumbufu…
UNAMNG’ANG’ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJA HIVI ULIDHANI MWL.NYERERE ALISHINDWA KUKAA NA MKEWE MARIA KWNY NOTI YA BUKU 😂😂😂😂😂😂😂 Acha Usumbufu….. Read and Write Comments

Usichokijua kuhusu shamba lako
Je wajua?.. Shamba lako likipatikana na dhahabu ni mali ya serikali..ila likipatikana na bangi ni mali yako 😂😂😂😂 Read and Write Comments

Dunia ina mambo, soma hii
Dunia ina mambo Kuna mama mmoja kavamia bank uchi cha kushangaza hakuna anae kumbuka uso wake😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa
Siku hizi wa naume licha ya kukimbia nyumba zao kwa kisingizio cha kazi maajabu weekend hasa Jumamosi utasikia wanaaga nafika hapo njiani naja naenda kununua gazeti. Kumbe wanaenda kunywa supu unasubiri wee mpaka alasiri au jioni Hivyo wanandoa wengi hili limekuwa tatizo mwanaume kiguu na njia asb mchana na njia kumuacha mama na watoto. Nini …
Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa Read More »

Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu
Kuna mtu kanikera et nmemkubalia urafiki Leo tu Facebook anataka kujua kabila languBac akajifanya mjanjaa et akaniuliza mbu kwenu mnawaitajeMimi nkamjibu hatuwaiti wanakujaga wenyewe😂😂😂😂😂😂😂Si kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi Read and Write Comments
Recent Comments