Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake
Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele “bonyeza send, bonyeza send wewe” abiria wote hawana mbavu Read and Write Comments
Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu
1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted! 2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate. 3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full. 4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence. 5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka. 6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu …
Kali za leo: Misemo ya kuchekesha na kuvunja mbavu Read More »
Huyu mchungaji ni noma, cheki alichomwambia pedeshe
Mchungaji kamfuata pedeshe moja maarufu kwa kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki; MCHUNGAJI: Kijana, tuko katika harakati za kujenga kanisa, jitafutie nafasi katika ufalme wa mbingu kwa kuchangia ujenzi huu. Na Mungu atakubariki zaidi
Huyu mgeni wa huyu jamaa ni shida
Pale unapokuwa umefulia sanaโฆ Mgeni anakutembelea Maskani kwakoโฆ.Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani MgeniโฆโฆUnafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite …
Mke alichomfanyia mme wake kabla ya kwenda safari, Chezea mawaifu walokole wewe!
JAMAA alimuaga mke wake mlokole kuwa anaenda semina ya siku tatu, kumbe anakwenda kwa bi mdogo.
Mke akamwambia mumewe; “Tupige magoti tusali”,
Wakapiga magotiโฆ:
MKE: Eee baba msaidie mume wangu afike salama safari yake.
MUME: Emenโฆ
Breaking news
Breaking news ๐ฅ Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana na Kufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia๐๐ฟ kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema ๐๐ Read and Write Comments
Kilichompata huyu jamaa mroho wa nyama, Hata kaa arudie tena
Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake Levi, kule sehemu za kwetu, akakaribishwa bonge ya ugali na nyama nyingi tu, wakati anakula akagundua kuwa shemeji yake, mke wa rafiki yake hali nyama;
JAMAA: Aise hili ni bonge ya lanchi hii, lakini Levi mbona
Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya
Et Umexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndaniโฆ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH.๐ Read and Write Comments
Kilichotokea baada ya kuzamia sherehe
Pale unapozamia kwenye Dinner Party ya Jumuiya Fulani, sasa Lengo la Jumuiya hiyo ni kupata Fedha za kutunisha Mfuko wa Jumuiyaโฆsasa unakakaa mbele kabisa ili Muda wa Msosi usichelewe na kukuta kwenye Buffee yamebaki maharage! MC : “Papai zuri kabisa kutoka Newala, Papai Mwendokasi, hili ni Shilingi laki 1..jamani Papai,nipeni ofa!” MOSHA : “Laki 3 …
Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani. Mpishi akamuuliza Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako? Mchaga akajibu Yesuu! …
Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!! Read More »
Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza “kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?” Daktari yule akajibu “hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la โฆ.” Read and Write Comments
Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao
Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupuโฆ Nikaamua kuvaa glovesโฆ Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni.๐๐๐ Read and Write Comments
Wanawake wa leo mbele ya hela. Hii ni hatari
MDADA: Baby nikwambie kituMKAKA: Yeah Baby Uko huru nambieMDADA: nilikua naomba hela babyโบMKAKA: WW nae kwa kupenda hela jana tu nmekupa hela Leo unaomba ya nn ๐MDADA: hapana๐ Bby sio hivyo nlikua nataka nikashuhudie tetemeko la ardhi BUKOBA nasikia huko linaonekana vizur .๐๐๐๐๐๐๐๐Wanawake kumbukeni sio vizuri Read and Write Comments
Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini?
.
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali
.
MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa fainiโฆ Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa
Sio kwa wivu huu
Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya โฆinauma sanaaโฆ WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE Bac tuu Read and Write Comments
Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake
Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-
Demu: hello baby wangu leo bata wapi?
Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
Madhara ya kubeba nauli kamili tuu. Cheki kilichonipata
Kubeba nauli kamili nayo ni shidaYani nimepanda daladalaKondakta mmoja akaingia kwenye Gari amevaa suti za blue za daladala na miwani Kisha akakusanya pesa Gari Zima alafu akakaa siti ya nyuma baade Kondakta mwingine akaanza kukusanya pesa watu wakalalamika na kusema tayari tumelipa na kumuonyesha tuliemlipa Kondakta akacheka na kusema huyo tuliemlipa ni kipofu na alikuwa …
Madhara ya kubeba nauli kamili tuu. Cheki kilichonipata Read More »
Sababu ya girlfriend ๐ง kuniblock
Nimeblockiwa bila kosa X Girlfriend From no where kanitext eti Hi; Vp na huko kwenu mvua inanyesha โฆNimemjibu kwani nimekutumia text ina matope? sipendangi ujinga mimi Read and Write Comments
Duh! Wanaume jamaniโฆ
Lakini sisi wanaume hatuko fair โฆ Yani demu anang’ng’ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. ๐๐๐mungu anatuona jaman๐๐๐๐๐๐Makeup ya matako iletwe Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! ๐ฅณ














































































Recent Comments