Simu ilivyozua utata
Mama alichukuwa simu akampa mwanawe. Mama..Mpigie babako mwambie chakula tayari. (Mtoto akachukuwa na kupiga) Mtoto…Mama simu ya baba imepokelewa na mwanamke. (Mama kwa hasira) Akirud atanitambua leo. (Baada ya muda kidogo baba akarud,kufika mlangon tu kapokewa na sufuria ya kichwa. Hajakaa vzur mwiko wa pua) Mama..Mwanangu ulipopiga simu ya babako mwanamke wake alisemaje?? Mtoto..Alisema mteja …
Hizi sifa zimezidi sasa
MADEM KWA SIFA.. kuumwa aumwe yeye lakn kujifanya anajali sana bas utamsikia BABY KARIBU TUMEZE DAWA 😂😂😂 Read and Write Comments
Hii dunia ina mambo, cheki kilichotokea wakati mme anakata roho akiwa na mke wake
Bwana mmoja wakati anakata roho alimwambia mkewe hivi:
MUME – mke wangu natubu mbele yako kwamba nimezini na mama yako, dada yako, shangazi yako, mama yako mdogo na mtoto wa shangazi yako.
Hapo sasa!! Ni shida!!
Umeshawahi saidiwa homework na mzazi halafu unapata zero? Hapo ndio unajua shida siyo wewe 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😂😂 Read and Write Comments
Dunia ina mambo, soma hii
Dunia ina mambo Kuna mama mmoja kavamia bank uchi cha kushangaza hakuna anae kumbuka uso wake😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Sifa mbaya: Cheki kilichompata huyu mwanaume mpenda sifa
SIFA MBAYA…Jamaa alikuwa ndani ya daladala Mara simu ikaita alikuwa ni mkewe kwa sifa jamaa akaweka loud speaker ili watu wasikie wanavyopendana.JAMAA;wife Mara hii umenimiss jamanWIFE; kwa nini umekunywa uji wa mtoto?!!!😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Hii ya mamba na kiboko kali, Wewe unaonaje?
Eti kati ya MAMBA na KIBOKO nani kiboko???😜😜😜😜 Mi naona MAMBA ndo kiboko!😳 Ujinga mbele kwa mbele😜😜😜😜😜🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻🏃🏻 Read and Write Comments
Baada ya kuumizwa kimapenzi haya ndiyo maneno
Mkishaumizwa ndo utasikia, Moyo sukuma damu sio mengine. wakati mnapenda mlizani moyo ulikuwa unasukuma kinyesi!!!!!??????😂😂😂😂 Read and Write Comments
Nimeitoa sehemu
If…99 is: Ninety nine,88 is: Eighty eight,77 is: Seventy seven,66 is: Sixty six,55 is: Fifty five,44 is: Forty four,33 is: Thirty three,22 is: Twenty two,Why 11 not Onety one? Wazungu msitufanye Vilaza….!! 😂 😂 😂 😂😂 😂 😂 😂 😂 😂Mungu anawaona Read and Write Comments
Hizi swaga za huyu jamaa ni shida, Google!
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kunadada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa mudakisha halafu akamuuliza “Samahani dadaunaitwa Google?”.Dada: “hapana, kwanini umedhani naitwahivyo?”. Jamaa: “Una kila kitu nnachokitafuta“😅😃😃😃😃😃😃😃😃😃 Read and Write Comments
Analia kilichompata huyu jamaa baada ya kubadili jinsia yake kichawi
Jamaa alimpa ujauzito mwanafunzi akashtakiwa kumbe yule jamaa ana bibi yake mtaalam wamambo yetu ya Jadi…
Jamaa akaongea na bibi yake amuwekee jinsia ya kike ili akashinde Mahakamani na akitoka arudishiwe mambo yake kama kawaida.
Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu
Nimeamka asubuhi nikiwa na elfu 1 tu mfukoni, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi nipate kunywa chai. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya AZAM kama Simba vile. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti wakati anafika yanapouzwa maandazi akagundua kuwa kapoteza hela yangu, hivyo akaanza kurudi, ila bahati nzuri wakati anarudi ili kuja …
Hii mitoto mingine mijinga, cheki alichokifanya huyu Read More »
Wazo la jioni hii
📢WAZO LA JIONI HII 📢 KAMA MWAKA JANA ULIPIGA HATUA NA HUJAFIKIA MALENGO MWAKA HUU PIGA MSAMBA😝 Read and Write Comments
Hali za ndoa
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke, mkewe akakataa, akamwambia baba yake akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa zina mengi! akawa kila siku analalamika kwa babaake, mwisho babaake akamwambia basi ntakusaidia. Itabidi ujifanye unaumwa sana hoi hujiwez halafu nitakuonyesha jawabu! Basi kijana akajifanya anaumwa mzee akaitisha kikao cha …
Huyu mgeni wa huyu jamaa ni shida
Pale unapokuwa umefulia sana… Mgeni anakutembelea Maskani kwako….Unaamua Kuchukua Ile Sh 600 iliyobaki na kwenda Dukani Kumnunulia Soda Unaondoka na Chupa Mbili Unanunua Fanta Moja kwaajil ya Mgeni na Ile Chupa ya Sprite Unaijaza Maji ili Ukirudi Uweze kumpa Kampani Mgeni……Unafika Seblen Unampa Ile soda ya Fanta Mgeni anakuambia Fanta huwa situmii Nipe hiyo sprite …
Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe
Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala jamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker) Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka. Read and Write Comments
Haya ndiyo madhara ya kulala kanisani
Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema” SIMAMA”Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimamaPastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri” kama wew umewahi kumsaliti au bado unasaliti …
Mkwe kazua mpya, Hii dunia ina mambo sana
Mama mkwe alimuuliza mkwewe “binti” samahani mbona mtoto hajafanana na mwanangu kabisa?
Binti akajibu, “bila samahani mama huku chini nina njia ya uzazi sio mashine ya photocopy”
Alichokijibu chizi baada ya kuanguka ghorofani
Chizi kaanguka toka kwenye gorofa fasta watu wakamfuata kumsaidia wakamuulza VP IMEKUAJE?
Huyu mtoto kaongea point kweli, angalia anachomwambia baba yake
Mtoto alimwuuliza baba yake,
Mtoto: Baba unaweza kumwachia hilo gari lako house boy/girl akaliendesha?
Baba: siwezi kumwachia gari langu hili aliendeshe ni ghali sana.
Mtoto: je mnaweza kumwachia chumba chenu house boy/girl kikiwa wazi na mkaenda kazini?
Baba: haiwezekani kamwe kuna vitu vya gharama na pia heshima haitakuwepo.
I’m so happy you’re here! 🥳












































































Recent Comments