Sababu ya mke kupewa dawa badala ya mumewe
Dokta: Mama tumemchunguza mumeo kwa makini sana, jopo lote la madaktari tumekubaliana mumeo anahitaji mapumziko japo ya mwezi. Sasa tafadhali chukua hivi vidonge vya usingizi vitasaidia sana.
Angalia huyu mvulana anachomwambia huyu daktari baada ya rafiki yake wa kike kupata ujauzito
😂😂😂😂MVULANA: Daktari, rafiki yangu wa kike ni mjamzito, lakini mara zote nimekua nikitumia kinga. Inawezekanaje hii?DAKTARI: Ngoja nikusimulie hadithi. Kulikua na Muindaji ambaye alikua anabeba bunduki kila aendako. Siku moja, alichukua mwamvuli badala ya bunduki na akaenda nayo. Ghafla akatokea Simba mbele yake. Ili amtishie Simba, muindaji akatumia mwamvuli na kummiminia risasi Simba. Simba akafa palepale!MVULANA: Sio kweli!! …
Cheki tabia za kuandika vimaneno vya ajabuajabu kwenye pikipiki na bodaboda ilivyomponza huyu
Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka, sasa bajaji ikawa imem’bana akawa anafurukuta bila mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake alikua Kaandika “NIACHENI KAMA NILIVYO, HII NDIO STYLE YANGU” 😂😂😂 Mpaka sasa nimemwacha bado yuko hapo *Sipendagi Ujinga mimi* 🚶🏽🚶🏽🚶🏽🚶🏽🚶🏽 Read and Write Comments
Hapo sasa akili itakuja
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interview😥😥😥😭 My freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa video😆😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Hakuna mtu mwenye mbio duniani kama huyu
HAKUNA MTU MWENYE MBIO, KAMA MSICHANA ALIYEPAKA MAKE UP ALAFU MVUA INYESHE….. 😂😂 Read and Write Comments
Njia 3 rahisi za kuondoa kitambi
JE, una KITAMBI na unataka kukiondoa? FANYA HAYA; 1. Kopa mkopo mkubwa benki 2. Nunua gari bovu la biashara 3.Oana na mke mwenye kelele. Ukiona miezi mitatu hakijaisha basi ujue umevimba BANDAMA sio kitambi.. Read and Write Comments
Kuna watu makauzu ila huyu kazidi.. Soma hii!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye……Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.“Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka… sorry bae sitaweza kuja kwa leo… sooo sorry!”Mshkaji jiii! hajajibu kitu….. …
Angalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti
Dogo kampigia simu baba yake;DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipanikalipe ada nimetumia shilingi alfu 30 kubetiBABA : Unasema nini we mpumbavu mshenzimkubwa? Nimekukanya mara ngapi kuhusu kubeti?DOGO : Lakini babaBABA : Lakini baba nini ngoja urudi utaonantakachofanya.DOGO : Nilitaka kukwambia kuwa nimeshindashilingi milioni 3BABA : Ndio hayo ninayosema wewe mpumbavusana kwanini hukutumia laki …
Angalia kilichotokea baada ya dogo kupewa ada na kuitumia kubeti Read More »
Kiingereza kinashida kweli, Angalia alichokisema huyu mwalimu
Kiingereza shidaaaa……! Mwalimu wa chakula alipokuwa anaongea na wapishi akiwaeleza maharage kutoungwa vizur Tcha: these beans are not well connected,,😂😂😂 Read and Write Comments
Alichokifanya jamaa baada ya kuokota wallet yenye pesa za kumwaga
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station
“Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…”
KICHEKESHO: Ajira ngumu!! Cheki hawa walivyoamua kujiajiri
Jamaa mmoja alienda kuomba kazi Mbuga ya Wanyama, akaambiwa nafasi ya Kazi ipo ila hakuna Sokwe, “hivyo utajifanya Sokwe na tutakupa ngozi utavaa” Jamaa siku ya kwanza akavaa, walipokuja watalii mambo yalienda vizuri, Siku iliyofuata Banda lake liliwekwa juu ya Banda la Simba, Jamaa ktk kuongeza mbwembwe akawa anarukaruka, kwa bahati mbaya si akaangukia ndani …
KICHEKESHO: Ajira ngumu!! Cheki hawa walivyoamua kujiajiri Read More »
Upendo wa kweli ni nini?
*Upendo wa kweli ni nini?**👉Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani* *Kifo ni nini?**👉Kifo ni pale mwanamke anapokubali kwenda nyumbani na mwanaume yule.* 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Nilichokifanya baada ya kualikwa na mchumba wangu kwao
Mchumba wangu amenialika kwao nikawaone wazazi wake lakini akaniambia nisiende mikono mitupu… Nikaamua kuvaa gloves… Sipendagi aibu ndogo ndogo ukweni.😏😏😏 Read and Write Comments
Vichekesho kumi bora vya leo vya kuvunja mbavu
Taxi Mwanamke aliingia kwnye tax akiwa hana nguo,km alivyozaliwa!Dereva akawa anamshangaa,mwanamke akamuuliza hujawahi kuona uchi au! Dereva akajibu.ninachoshangaa c uchi wako,najiuliza pesa ya kunilipa utakuwa umeiweka wapi?
Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya
Et Umexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndani…😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH.😉 Read and Write Comments
Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?Miaka 26: Wenzio wanaolewa.Miaka 30: Tumekuambia kwamba achakuchagua sana wanaume, hutaki kusikia!Miaka 33: Kuna mtu wa Mungu yupo kuleanaombea unaweza kupata mchumbaMiaka 36: At least pata mtoto mmoja.Miaka 39: We will take care of all the weddingbills…yeyote ni …
Namna wazazi wanavyoongea na mabinti katika umri tofauti Read More »
Balaa la mitoto isiyopenda shule
SINA MBAVU NA HIKI KISA; BALAA LA MITOTO ISIYOPENDA SHULE! Baada ya mwiz kuvamia nyumba moja usiku na kuiba vitu vngi wakati anajiandaa kuondoka ghafla akadakwa mguu na dogo DOGO: Usipoondoka na begi langu la shule NAPIGA KELELE….😂😂😂 Read and Write Comments
Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
Cheki huyu jamaa anavyoungama kwa padri sasa
JAMAA: Baba Padri nimekuja kuungamaPADRI: HayaJAMAA: Niliiba kambaPADRI: Kamba?JAMAA: Ndio, kamba lakini kule mwisho kulikuwa kumefungwa ng’ombePADRI: Kwa hiyo uliiba ng’ombe?JAMAA: Kiukweli nilikuwa nina lengo la kuiba kamba, kwa bahati mbaya mwisho kulikuwa na ng’ombePADRI: Mi naona mueleze Mungu direct, mi sikuelewi kabisaaa 🙈😃😃😃😀😀😀😂🙊 Read and Write Comments
Huyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake
Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap? Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa kuficha kuficha vitu hajambo… Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments