
Madhara ya kwenda baa na mke ndo kama haya
Jamaa alienda Bar na mke wake wa ndoa wakakaa kwenye viti, wakati wanasubiri vinywaji akapita binti mmoja anayejiuza akamsogelea yule mke wa jamaa

Kilichotokea baada ya kichaa kumfumania mke wake na mwanamme mwingine
Jay akaruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na nyumbani kwake, akaulizwa unapakumbuka? akajibu ndio nyumba yangu ileee, mara wakatoka watoto wawili wamevaa uniform akasema

Angalia nilivyoingizwa mjini na ujanja wangu wote
Ndio nilikuwa nimeshuka kwenye basi la SAI BABA pale Ubungo, nina Begi kubwa Mgongoni na begi Dogo la Lap Top mkononi, sura inatazama Mbele Very Serious kama nipo kwenye Gwaride la Uhuru!..Mabega juu yanafanya Cheers na Mawingu!, natembea kwa madoido…..leo nimetoka Likizo Moshi,“Brother Simu ya ukweli hii..kitu cha Tecno C9 bei poa” hii ilikuwa sauti …
Angalia nilivyoingizwa mjini na ujanja wangu wote Read More »

Hii sasa ni kali
Siku izi kujuana kumezidi hata ukienda msibani kama hauna connection hauli msosi 😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Kuwa single nao ugonjwa eh, cheki huyu alichokifanya
Et Umexhawah kuwa single had ukaamua kununua viatu vya kike kixha ukaviweka mlangon ili majiran wakipita wajue una demu ndani…😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 KUA SINGLE NAO NI UGONJWA EEENH.😉 Read and Write Comments

Breaking news
Breaking news 💥 Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana na Kufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia🏃🏿 kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema 😕😕 Read and Write Comments

Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala
Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufuya kwenye daladala. 1.Yatima hadeki2.Utamu wa chips mimba3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni4. Usiyempenda kaja5. Kobe hapimwi joto6. Acha kazi uone kaz kupata kaz7. Ukichezea koki utalowa8. Heshima pesa kipara kovu tu!9. Mtumbwi hauna saitmira.9. Silaha pesa bastola mzigo10. Hata uoge …

Kwa nini vitu vunavyoanza na “K” ni vitamu sana?
Zuzu kaniuliza, “Anko, unajua vitu vinavyoanzia na K ni vitamu sana.”
Nikashtuka, “Astaghafilulah we mtoto! Niondolee wehu wako hapa!”

Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake
Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha!
MKE; Vipi leo mbona mpole?
MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa.
MKE; Ilikuaje wewe ukapona?

Safari ni safari
FUNDISHO : SAFARI NI SAFARI Maisha ni ya ajabu sana, wakati mwingine maisha ni mazuri na mwingine ni mabaya, katika maisha yetu tumeshapitia safari nyingi sana na za aina mbalimbali kwa nyakati mbalimbali. Lakin kiukweli kila safari ni safari tuu. Japokua kila safari ina changamoto zake lakini mwisho wake ni ule ule , kila safari …

Maajabu ya wananchi wa Tanzania, Je, wajua hili?
JE WAJUA TANZANIA NI NCHI PEKEE AMBAYO WATU WANAPOANZA KUCHAT huanza kwa kiingereza ‘morning’ na hupiga stor zote kwa kiswahil mwishon humalizia tena kwa kiingereza ‘ g9t Read and Write Comments

Duh! Huyu kazidi sasa
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begi😂😂😂 Read and Write Comments

Njia nne za kufikisha Habari kwa haraka
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments

Alichokisema mwizi baada ya kushinda bahati nasibu
Hapa mtaani kuna mwizi sugu ameshinda mil.10 za bahati nasibu ??.Alipoulizwa atafanya nini na hela nyingi hizoAkasema anataka kupanua shughuli zake. Mimi sijamuelewa na sasa hivi watu wameanza kuhama mtaa…😂😂 Read and Write Comments

Tofauti ya mke na mchepuko!!!
MKE NA MCHEPUKO. Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu. Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako. Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma. Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu …

Kweli tamaa ni mbaya, mke wa mtu kaponzwa na tamaa, ndio basi tena
Jamaa kaenda kwa mke wa rafiki yake:
JAMAA: Shem nakupenda!
MKE: Hebu toka hapa! Je rafiki
yako akijua? tena koma!
JAMAA: Ntakupa milioni 1!
MKE: Basi njoo kesho mchana
mume wangu akiwa kazini!

Cheki hiki kibabu kulivyowaacha watu hoi wakati mchungaji anafungisha ndoa
Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele. Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia. Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lako Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!. kanisa zima hoi, Read and Write Comments

Duh! Hii sababu ya huyu mwanaume kulewa ni shida
👧: “Mpenzi, nakuomba uache kulewa” 👨: “poa, na wewe acha kutumia make up” 👧: “Mimi napaka make up ili unione mzuri” 👨: “Na mimi nalewa ili nikuone mzuri” Vodka hatareee😂😂 Read and Write Comments

Ingekua wewe ndio baba au mama ungefanjaje?
Baba na mama baada ya kurudi safari pamoja wakakuta BARUA iko mezani SEBULENI ikisema…. “Baba na mama, ni matumaini yangu kuwa mtasoma ujumbe wangu huu kwenye karatasi niliyoiwekajuu ya meza, naomba msishtuke mana ni mambo ya kawaida kwenye maisha tunayoishi, najua mtaumia kwa vile bado nasoma na ndiyo nipo kidato cha kwanza…” Napenda kuwajulisha kwamba …

Kwa nini watu hawapendi hesabu!! Sababu hii hapa!
Sababu ni hii AL-SHABABAL-QAEDAKwenye MATHEMATICS pia kuna kundi linaitwa “AL-GEBRA” 😂😂😂😂🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻🚶🏻Kumbe ndo maana wengine hawapendi hesabu coz kuna element za ugaidi Read and Write Comments
Recent Comments