
Cheki huyu mtoto anachomjibu mwalimu wake, kufundisha watoto ni kazi kweli kweli
Mwanafunzi wa darasa la 2 kaulizwa na mwalimu wake
Hivi:je ukipewa maandazi 5 ukiambiwa kula 3 tu yatabaki mangapi?
Akamjibu hivi:nikipewa na chai hakibaki kitu mwalimu.

Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta
Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake….Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe walale tu halafu ananyata mdogo mdogo mpaka chumbani kwa binamu yake.Siku moja umeme ulikuwa umekatika ikabidi aamue kuvua nguo kabisachumbani kwake….Akanyata taratibua akafungua mlango akazama chumbani kwa mjomba ake bila kujua, ghafla umeme ukarudi…MJOMBA; we mshenzi umefata nini chumbani kwangu tena uko …
Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake cheki kilichomkuta Read More »

Nilichojibu kwenye interview walipoulizia status
Nimetoka kufanya interview wakaniuliza status yangu nikaawabia status yangu ni Hey there! Iam using watsApp, wameniambia nitoke nje I think wanajadiliana namna ya kunipangia kituo cha kazi Read and Write Comments

Duh! Hiki nacho chombo cha moto?
_Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni.__Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakini hawakamatwi 😡.__Hizi sheria zinapendelea._😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Tatizo la kukuta nywele kwenye chakula
Hapa ni shida KUKUTA NYWELE KWENYE CHAKULA SIO TATIZO,TATIZO NI KUWAZA ITAKUWA IMETOKA SEHEMU GANI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Read and Write Comments

Kuna watu makauzu ila huyu kazidi.. Soma hii!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisa…. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeye……Baada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.“Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatoka… sorry bae sitaweza kuja kwa leo… sooo sorry!”Mshkaji jiii! hajajibu kitu….. …

Utoto bwana. Raha sana!
Utoto buana! eti mnacheza mpira wa makaratasi(chandimu) unapiga chenga kibao afu ukifika golini ufunge unakuta goli hamna kumbe mwenye ndala zake ameitwa kwao😆 Read and Write Comments

Ukimuona mbwa kwenye harusi hii ndiyo maana yake
Hili nalo neneo. Ukimuona mbwa🐶 harusini usimpige mawe wala kumfukuza inawezekana kilichomleta pale ndicho kilichokupeleka na wewe hapo Read and Write Comments

Cheki kilichotokea baada ya kufumaniwa
Nimefumaniwa hapa na jamaa ameniambia nitulie tuyamalize kishikaji, yaani nisijali sasa ametoka nje nasikia ananoa kisu nadhani anataka anichinjie kuku! WATU WENGINE WANA ROHO NZURI!😋😋😋😋 Read and Write Comments

Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!!
Mchaga alinunua mbuzi akamwambia mpishi Nyama nusu ipike pilau na ingine itie kwenye friza. Kichwa fanya supu, miguu fanya mchuzi chukuchuku. Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pikia ndizi na mifupa tutawauzia wenye mbwa. Kinyesi kihifadhi kwa mbolea ya bustani. Mpishi akamuuliza Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako? Mchaga akajibu Yesuu! …
Wachaga kweli kiboko: Mcheki huyu mchaga na mbuzi!!! Read More »

Mcheki Chizi na daktari
Tafakari na ujumbe huuuu!!!… DAKTARI :- Unajisikiaje? CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu. DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena. CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet 😂😂😂😂 Read and Write Comments

Ukata wa January
Boss;- kwa nini umechelewa kaziniJuma;- kuna mtu njiani alidondosha elfu1Boss;- ohhoh kwa hiyo ulikuwaunamsaidia kuitafutaJuma;- hapana nilikuwa nimeikanyaga 😃😃😃😃😃😃😃😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments

Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada
Mdada alienda super-market kununuakuku, bahati mbaya kwenye frijkulikuwa na kuku mmoja tu, muuzajiakamtoa akamuweka kwenyemzani, akaonekana ana kilo moja na robo. Mdada akamuulizamuuzaji,’Huna mkubwa zaidi?’ Muuzajiakamchukua yule kuku nakujifanya kamrudisha kwenye friji, halafuakamtoa tena kwenye friji nakumrudisha kwenye mzani, safari hiiakagandamiza mzani kwa gumba,kuku akaonekana ana kilo mbili. Mdadaakasema ‘Duh afadhali huyumkubwa kidogo, naomba unifungienawachukua wote …
Jamaa anayependa kuwafanyia watu uhuni leo kapatikana na huyu mdada Read More »

Angalia uhuni wa huyu dereva
Dereva alikamatwa kwa kosa la kusababisha ajari ya watu wa5 aliowagonga. Trafik akamuliza kwanin umewagonga awa watu? Jamaa akajibu,”nilikua mwendo wa kasi sana, alafu nimejaza abiria ndani, gari likawa linakuja mbele yangu nilipokanyaga breki zikakatika, sasa ningefanya nin?”

Hii kazi kweli kweli, Ungekua wewe ungefanyaje?
UNATOKA SEBULENI UNAENDA ZAKO CHOONI UNAINGIA TU HIVI GHAFLA UNAKUTANA NA MZIGO MKUBWA WA MAVI JUU YA CHOO ALAFU UNAAMUA KURUDI ZAKO ILE UNATOKA TU UNAMUONA DEMU MZURI ULIYEMTONGOZA JANA ANAKUJA KUINGIA CHOO ULICHOTOKA WW NA KINA MZIGO WA MAVI JUU NA AMEKUONA WW NDIO UMETOKA MLE NDANI ..unaamua kurudi ili uka flash bahat mby …

Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?

Huyu mwanamke ni noma cheki alichomwambia mme wake baada ya kumnunulia nguo za ndani
Mume kaingia duka la nguo na kamnunulia mke wake chupi dazeni moja zote za rangi nyeusi, akaenda kumzawadia. Mpenzi akashukuru lakini alipogundua kuwa zote ni nyeusi si akaropoka.
MY HONEY: Sasa umeninunulia chupi zote nyeusi, sasa watu si watadhani nina chupi moja tu sibadili,

Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuni…unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuni…😂😂😂😂 Read and Write Comments

Huu ndio uhondo na raha ya kupanda daladala wajameni
Wasiopanda dalaladala wanakosa uhondo wa kauli hizi
1. nitakupa
2. Atapewa mbele
3. Hujapewa mbele?
4. Utapewa nyuma
5. Nitakupa nikikaa vizuri
6. Ngoja isimame nikupe

Angalia anachokisema Madenge sasa
MWALIMU kaingia darasani na kusema. “Wanaojijua wajinga wasimame”. MADENGE akasimama peke yake. MWALIMU: Wewe ndio mjinga? MADENGE: Hapana, ila nimeona umesimama peke yako nikaona usijisikie vibaya angalau tuwe wawili. Read and Write Comments
Recent Comments