Wanaume ni noma, Angalia huyu alivyomdanganya huyu ๐ง girlfriend wake
Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE.Girlfriend akamuuliza jamaa โbeby vipi mbona uko hapa?โ Jamaa bila woga akajibu โNIPO FIELD.Wanaume hatupendi ujinga sisi ๐ ๐ ๐ Read and Write Comments
Mambo ya pesa haya..
MAMBO YA FEDHA AISEEโฆโฆ. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= โฆacha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi Aโฆ safi sana, najua umeangalia tena kuiona hiyo herufi, bahati mbaya hujaiona. ๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Upendo wa kweli ni nini?
*Upendo wa kweli ni nini?**๐Upendo wa kweli ni pale mwanaume anapomfumania mwanamke wake na kisha kumwambia baby vaa nguo twende nyumbani* *Kifo ni nini?**๐Kifo ni pale mwanamke anapokubali kwenda nyumbani na mwanaume yule.* ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Mchaga aliyemshangaza Mungu
Mchungaji anawaambia waumini: Fanya jambo moja la kumshangaza Munguโฆ Dakika mbili nyingi Mchaga akakimbia na kapu la sadakaย ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Ameniomba nimfungulie akaunt facebook cheki nilichomjibu
Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambielazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya nmb bank. Alafu awe na marefa wanne ambao wamekuwa facebook for more than 3 years. Amesemahataki tena kujiunga fb! ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Saa ivi niko zangu nimelala …
Ameniomba nimfungulie akaunt facebook cheki nilichomjibu Read More »
Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti
MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa tumeminyana ndani ya daladalaMKE: Na lipstiki kwenye shati?MUME: Tulikumbatiana na wageni toka Zambia walitembelea ofisi yetuMKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye mfuko wa suruali?MUME: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi nalala nina usingiziMKE: Lazima niulize mie huwa nahakikisha nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi …
Cheki huyu mwanamke anavyomkomoa mme wake baada ya kumsaliti Read More »
Jinsi ya Kubana matumizi X-mass
Badala yakupika PILAU tutapika TAMBI kwenye Xmas maana tutakua tumeokoa sh.15,000/= Vitunguu swaumu 2000, Vitunguu maji 1000, hiliki 1000, Magome 1000, Michele wa 2000, Soda 3000, Nyama 5000 . Fedha hizi zitatumika kununua mfuko wa cement ili tuanze kujaza kibubu cha ujenzi wa nyumba badala ya kupanga. Karibuni saana maji ya kunywa tumechemsha ndoo nzima. …
Duh! Hiki nacho chombo cha moto?
_Sheria inasema kila anaetembea na chombo cha moto barabarani sharti awe na leseni.__Sasa hawa wauza kahawa mbona wanatembea na chombo cha moto lakini hawakamatwi ๐ก.__Hizi sheria zinapendelea._๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?
*Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu?*Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu. *Boss*:-umesoma mpaka wapi?*Jamaa*:-mpaka form four.*Boss*:-unajua kingereza?*Jamaa*:-kwani hao wezi wanakuja na wazungu???.๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Read and Write Comments
Hapo sasa patamu, cheki jamaa alivyowezwa na huyu dogo
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo yakafuatia:
Mkulima: Baba yako yupo?
Mtoto: Hapana Mzee, amekwenda mjini.
ย
Watu wana vimaneno
Eti linalo jamba ni tumbo makalio ni spika tu Dah!! Nimecheka hadi basi leo ๐ธ๐ธ๐น๐น Read and Write Comments
Kilichotokea baada ya mzungu na mbongo kukaa siti moja, bongo wasanii wengi
Mzungu akamdharau sana Mbongo nakujiona anajua kila kitu duniani!,
Akamwambia Mbongo waulizane maswali na Mbongo akishindwa anatoa sh.500 na endapo yeye atashindwa atatoa 100,000/=.
Mzungu akauliza ni nchi ipi ilishindwa kwenye vita kuu ya kwanza ya Dunia?
Mbongo akatoa 500 kuashiria hajui.
Dongo kwako kama una degree moja Halafu unachagua kazi
Mtu una degree 1 unachagua kazi! Wakati thermometer ina degree 100, inafanya kazi kwenye kwapa. ๐๐๐๐๐ Ni Utani tuuuuu! Read and Write Comments
Cheki jinsi huyu mwanaume alivyomuweza mwanamke wake
Demu alimpigia simu jamaa yake ilikua weekend mazungumzo yalikua hivi:-
Demu: hello baby wangu leo bata wapi?
Stori za simu za wavulana na wasichana
STORY ZA WASICHANA KTK SIM Maryโฆ Hallow mpenziiLilyโฆ. Niambie my dearMary..Pouwaa za siku jamaniLilyโฆNzuri rafiki Yangu wa damuMaryโฆJioni nakuja kwako tule Nakunywa japo wine wanguuLilyโฆNakusubiri kwa hamuumpenziiii BAADA YA KUKATA SIMUโฆKILAMMOJA ANAWAZA LilyโฆHuyu mchawi wa kike Leoanataka kuja kwangu wala hanikuti.Mary..Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyukahaba eti nakusubir Kwa hamuunani aende!!! STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU JohnโฆNiaje we …
Huu mchezo hautaki makeup
Mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ huu mchezo hautaki mekapu Read and Write Comments
Alichokisema mtoto baada ya kusikia baba na mama wakiongea mambo yao usiku
MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
Angalia uhuni wa huyu dereva
Dereva alikamatwa kwa kosa la kusababisha ajari ya watu wa5 aliowagonga. Trafik akamuliza kwanin umewagonga awa watu? Jamaa akajibu,”nilikua mwendo wa kasi sana, alafu nimejaza abiria ndani, gari likawa linakuja mbele yangu nilipokanyaga breki zikakatika, sasa ningefanya nin?”
Kuna watu makauzu ila huyu kazidi.. Soma hii!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisaโฆ. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeyeโฆโฆBaada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.“Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatokaโฆ sorry bae sitaweza kuja kwa leoโฆ sooo sorry!”Mshkaji jiii! hajajibu kituโฆ.. …
Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Msanii mmoja anaitwa ”KINYA” alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
”YEAH NI TEMBA hapa au
I’m so happy you’re here! ๐ฅณ













































































Recent Comments