Lugha za namba ni noma

Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibu 21002 Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU 😂😂mtatuua na lugha zenu😜

0 0 votes
Rating
Enjoyed? Rate this Article by click a Star Above and then Drop your Comment Below
OR Chat Live with AckySHINE here
Read and Write Comments
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Shopping Cart