Cheka kidogo: Majibu ya mhindi kwenye mtihani wa Kiswahili alipoambiwa ajibu methali
Mhindi kwenye mtihani wa kiswahili anaambiwa amalizie methali:(a)Nyani haoni…..valisa miwani!(B)Debe tupu….weka dengu!(c)Masikini akipata….iko acha iba!(d)Penye kuku wengi…chinja bili,tatu!(e)Asiyesikia la mkuuu….peleka yeye polisi!(f)Penye wengi……iko kutano ya chadema! Read and Write Comments
Kifahamu Kidada kimbea kilichofukuzwa kazi
Unafahamu? Kile kidada kimbea kinachosemaga salio lako halitoshi kimefukuzwa kazi saivi kupiga simu ni bure mjulishe na mwenzako 📲 📲 Read and Write Comments
Makonda wana mambo, Kila mtu ni ndugu yao
Hakuna m2 mwenye ndugu wengi kama konda wa daladala.
Utasikia,
“HAYA, DADA HAPO MBELE, MJOMBA KULE MWISHO.
MA-MDOGO UNAENDA?,
NGOJA ASHUKE BIBI.
HAYA SHEMEJI UMEIKUTA YA KUWAH.
Babu njoo ukae!
Baba angu hapo tusogee kidogo,
Huyu Jamaa kawaweza polisi kweli
Et jamaa kawekwa jela kwa kosa la kupoteza mamiilion.ya kampun akiwa gerezan babayake alituma baruaIkisema yan.mwanangu tumapata shida maana shamba halijalimwa na jatujii litalimwaje na msimu ndio huo nataman.ungekuwepo ningepata msaada wa kulimiwa hili shamba Yule kijana alijibu tafadhal baba usilime hilo shamba maana pesa zote nilizo ibwa nimeficha.huko Kwakuwa barua zote laxima zipite kwa …
Huu ndio mlolongo wa michepuko kuwahi kutokea kati ya mke, mume mwanafunzi na boss
BOSS anamwambia sekretari wake: Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe): Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1 week.
MUME (anampigia mpango wa kando): Mambo safi, wife anaenda kikazi Serena, jitayarishe tujipe raha for 1 week
(Mpango wa kando) anamwambia mwanafunzi wake wa tution: wiki hii nina kazi fulani hakuna tution mpaka week ijayo.
Angalia mchezo wa kutuma message mara zikubali mara zikatae.. Lilishakukuta hili???
GARLFREND»»hellow sweetheart BOYFREND»»hellow darling(SENDING FAILED) GARLFREND»»kwanin hutaki kujibu sms yangu,au huna mda»?? BOYFREND»>najitahid kukujibu lakin mtandao unasumbua,imefika??(SENDING FAILED) GARLFREND»»kama hunipend bhas usinijbu,kama unanipenda kwel bhas nijibu BOYFREND»»i love you (SENDING FAILED)GALFREND»»do you lov me???? BOYFREND»»i lov you baby(SENDING FAILED) GARLFREND»»usiongee na mimi tenaaaaa BOYFREND»»i love you sweetieeee(SENDING FAILED) GARLFREND»»unataka mim na wew tuachaneee???? BOYFREND»»nshachoka mie …
Angalia mchezo wa kutuma message mara zikubali mara zikatae.. Lilishakukuta hili??? Read More »
Duh! Wanaume jamani…
Lakini sisi wanaume hatuko fair … Yani demu anang’ng’ana kujipodoa uso na sisi tunaangalia matako. 😆😆😆mungu anatuona jaman😆😆😆😆😆😆Makeup ya matako iletwe Read and Write Comments
Ni wazo tuu!
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel 🙆🙆🙆🙆🏃🏃🏃 Read and Write Comments
MAMBO KUMI YA KUFURAHISHA NA HUWEZI KUYAFANYA
1. Huwezi kuosha Macho kwa Sabuni;2. Huwezi kuhesabu Nywele zako; 3. Huwezi kupumua kwa Pua na huku umetoa Ulimi;4. Unajaribu kufanya namba 36. Umeona inawezekana, sanasana unakuwa Kama Jibwa;7. Unatabasamu kwa kuwa umejiona Mjinga!8. Umeruka namba 5;9. Unahakikisha Kama kweli 5 haipo.10. Unacheka kwa kuwa nimekubamba! Read and Write Comments
Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!
Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke!
Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema
Ufugaji wa nguruwe kazi, Cheki jamaa hawa wake walivyompa mtihani
MWANAHARAKATI: Hawa nguruwe unawalishanini?
.
MFUGAJI: Nawalisha mabaki ya chakula toka migahawa mbalimbali
.
MWANAHARAKATI: Hayo ni makosa unawatesawanyama kwa kuwalisha chakula kichafu. Akapigwa faini… Baada ya siku chache wakaja wanaharakati toka Umoja wa Mataifa
Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake
Msanii mmoja anaitwa ”KINYA” alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
”YEAH NI TEMBA hapa au
Angalia nilivyookoa maisha ya mtu leo
Nmeokoa maisha ya mtu asubuhi ya leo huwezi amini.Nmekutana na ombaomba nikamuuliza atajisikiaje nikimpa sh.30,000/- Akasema ATAKUFA kwa furaha.Nikaondoka bila kumpa ili ASIFE.😃😃😃😃 Read and Write Comments
Utani wa wahindi, cheka kidogo
Mhindi afaulu mtihani wa Kiswahili (1) Mfa maji ?……………….. Tampa life jacket.(2) Mwenda pole?………… Tachelewa fika.(3) Usipoziba ufa ?……….. Mizi taona mpaka dani.(4) Usilolijua ?……………… Uliza google.(5) Mbio za utelezini ?……. Chafua guo yako.(6) Ukipenda boga ?……… Ngoja mezi ya ramzani tapata.(7) Ukiona vinaelea ?…….. iko nyepesi hiyo.(8) Maji yakimwagika ?…… Mambie dada tapiga deki.(9) …
Jinsi Baba na mtoto wanavyoweza kuwaziana
Duh! Maisha Ile time unawaza baba angekua MO DWEJI baba ako na ye anawaza mwanangu angekua MBWANA SAMMATA Ni shetani tu anajaribu kucheza na akili zenu😂😂😂😂 Read and Write Comments
Safari ni safari
FUNDISHO : SAFARI NI SAFARI Maisha ni ya ajabu sana, wakati mwingine maisha ni mazuri na mwingine ni mabaya, katika maisha yetu tumeshapitia safari nyingi sana na za aina mbalimbali kwa nyakati mbalimbali. Lakin kiukweli kila safari ni safari tuu. Japokua kila safari ina changamoto zake lakini mwisho wake ni ule ule , kila safari …
Sipendi ujinga. Cheki nilichokifanya
Nimeingia chumban nikakuta panya wamekula dawa yangu ya minyoo, Na mimi nimechukua yakwao nikanywa. Sipendagi ujinga mm!! 😏😏😏 Read and Write Comments
Hapo sasa akili itakuja
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interview😥😥😥😭 My freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa video😆😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Huyu ndo mwanamke
Akikuta PESA wakati anafua atapiga kimya kimya, sasa ngoja akute umeacha CONDOM ndo utajua kama umeoa KIPAZA SAUTI 😆😆😆😆😆😆 Ndio maana mimi nafungaga condom na hela kwa pamoja… akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu.. 😂😂😂😂😂😂😂 Huwa sipendagi ujinga Mimi 😡😡😡😡😡😡 Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments