Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Bro: Tumia tu mpaka uchoke.
Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.
Angalia mtoto alivyowaumbua Baba na mama yake
DOGO: Mama Jana Baba Alikuja Na Mwanamke NaAkaanza Kumtoa Nguo Huku Akimuita Beib…BABA: Kwa Hasira Ebu Wacha Kuongea Na Chakula Mdomoni Wewe Mpumbavu Sana Khaa!!!MAMA: Eti Nini Hebu Endelea Mwanangu AlafuWakafanya Nini Hawa Nguruwe… DOGO: Wakanza Kufanya Kama Vile Mlifanya Na Anko nassoro Wakati Baba Alikua Safari Zakikazi…MAMA: Kwa Hasira Babako Amesema UwacheKuongea Na Chakula …
Sitasahau mwaka huu
Sitasahau mwaka ule ambapo nilipeleka barua ya maombi yangu ya kazi kwenye kampuni moja maarufu. Wakati nasubiri majibu siku moja nikaenda kwa mama ntilie kununua maandazi akanifungia vizuri, kufika nyumbani hamu yote ya maandazi iliniishia pale nilipogundua karatasi iliyofungiwa maandazi ni barua yangu ya kuombea kazi😂😂 Read and Write Comments
Huyu mme ni shida
MKE..mume wangu unaweza kuua simba kwasababu yangu??? MME: Hapana mke wangu, sema kingine MKE:unaweza kunipa nione watsapp yako nione msgs? MME: Haya sema huyo simba yukwap nikamuue Read and Write Comments
Kilichompata huyu jamaa akiwa anaangalia mpira mechi kali na mke wake
WIFE: Baibie, yule ni nani? Ni Chris Brown??
HUSBAND: Yule ni Theo Walcott
WIFE: ile Yellow Card ni ya nini?
Kilichotokea baada ya jambazi kuvamia kanisa
Jambazi mmoja aliingia kanisani na bunduki akapiga risasi juu ya bati akasema “asiyempenda YESU atoke nje” wakatoka wote ispokuwa Mchungaji na Wazee wawili.
Maswali ya kijinga yakijibiwa vizuri
Haya ndiyo majibu mazuri😁😁👇👇👇👇👇👇👇👇 Q: Umenyoa nywele? A: *Hapana, nimebadilisha kichwa.* Q: Hiyo simu umenunua? A: *Hapana nimeitengeneza mwenyewe.* Q: Utakula mboga na nini? A: *Mdomo* (Simu inaita usiku,then aliyepiga anauliza) Q: Nimekuamsha? A: *Hapana nilikuwa naota jua hapa nje.* Q: Gazeti la leo linasemaje? A: *Sijaongea nalo.* Q: Gari limejaa, nitakaa wapi? A: *Usijali …
Acha usumbufu…
UNAMNG’ANG’ANIZA MPENZI WAKO AKUWEKE KWNY PROFILE PICHA MLOPIGA PAMOJA HIVI ULIDHANI MWL.NYERERE ALISHINDWA KUKAA NA MKEWE MARIA KWNY NOTI YA BUKU 😂😂😂😂😂😂😂 Acha Usumbufu….. Read and Write Comments
Tofauti ya mke na mchepuko!!!
MKE NA MCHEPUKO. Mke ni kama Tv na Mchepuko ni kama Simu.Nyumbani unaangalia Tv lakini ukitoka unatoka na simu. Mara chache unafurahia Tv lakini Muda mrefu unacheza na simu yako. Tv ni bure kwa maisha yako yote, lakini Simu kama hujalipia hupati huduma. Tv ni kubwa nzito na wakati wote ni ya zamani. Lakini simu …
Ulishawahi kukutana na hii? Maana yake ni nini?
Ulishawahi kutana na hii….Issa: mamboJeni:poa vpIssa:poa nambie: Jeni:poa aje ww:Issa:poa nambieJeni:poaIssa :bas poaJeni:poa….Issa:poa badee basiJeni:hayaIssa:bai😂😂😂😂……..HII KIITALIANO INAITWA LACK OF SOUND ENGINEERING NA HII INASABABISHWA NA UOGA…… Read and Write Comments
Mzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya
Mzee moja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama,kisha anapiga honi,akitoka askari mlinzi,anaondoka.Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, askari akawa na mvizia yule mzee wa kichaga ,siku alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Haki ya mungu babaangu , Nina pesa zangu ktk account hapa bank naogopa usilale …
Mzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya Read More »
Eti kwani wewe ni turubali?
Unakuta MTU mwaka Mzima Umehudhuria, birthday parties 20 , misiba 30, Mikutano kanisani 40, Ndoa 80 na bado uko Single Kwani wewe ni turubai jaman?? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Alichokifanya jamaa baada ya kuokota wallet yenye pesa za kumwaga
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station
“Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…”
Utani kwa wadada wembamba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Wadada wembamba hebu nenepeni basi mnatupa tabu kusoma maneno ya kwenye kanga jamanii ………mnaviringisha kanga mwili mara 3 mpaka maandishii hayaonekanii 🤣🤣🤣🤣 Read and Write Comments
Kweli shilingi yaua, Huyu jamaa kapatikana, angalia anachomjibu mke wake,
Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae
akamwambia kwa ukali
“Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo
zako na……..
Angalia nilichokifanya baada ya kuumwa na meno
Baada ya kuumwa na Meno nikaamua hivi. mimi sipeñdagi ujinga,,,Nmeumwa na jino moja la chini..nimeng’oa meno yote ya chini ili iwe funzo kwa meno ya juu😡😡 Read and Write Comments
Mume mgonjwa kazua mpya baada ya kuruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospitali alipokuwa kalazwa
John aliruhusiwa kwenda nyumbani kutoka hospital ya
Vichaa, akapakiwa ktk ambulance hadi karibu na
nyumbani kwake, akaulizwa kwako unapakumbuka?
Bongo usanii mwingi!!!
BONGO USANII UMEZIDI DAAH!! …yani nakupeleka dinner unakula sana vipaja vya kuku na chips yai halafu nakupeleka bar unakunywa sana tu, tukitoka hapo nakupeleka club, Masaa yote hayo hakumbuki kuniambia upo periods hadi mdaa wakwenda kulala ndo beiby nipo kwenye siku zangu!! jamani jamani… Hapo ndo unaanza kupiga hesabu pesa iliyopotea buree😂😂😂😂 Ndooo maana mabinti …
Ni wazo tuu!
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel 🙆🙆🙆🙆🏃🏃🏃 Read and Write Comments
Mwizi kawezwa ki kwelii
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwangu akaanza kutafuta kitu kila kona ikabid na mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta nae maana hta hela ya kula Jana sikua nayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? sipendagi ujinga🚶🏻 na kitu hela mm! Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! 🥳











































































Recent Comments