Duh, hii sasa kazi
Wakati unafikiria dingi yako afe ili urithi nyumba, dingi nae anafikiria uanze kufa ili apangishe chumba unacholala.. hiyo inaitwa kufa kufaana.. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ #Hatutaki ujinga Read and Write Comments
Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi
*Jihadharini* na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa! Mchapaji aliombwa aweke 1 Yohana 4:18 katika kadi ya harusi lakini mchapaji kwa makosa aliweka Yohana 4:18. 1 Yohana 4:18 panasema, “Katika pendo hakuna hofu, lakini pendo lililo kamili huitupa nje hofuโฆ” Lakini Yohana 4:18 tunasoma, “Kwa maana …
Angalia sababu ya mke Mtarajiwa kuzimia kabla ya harusi Read More »
Lugha za namba ni noma
Leo kuna mdogo wangu nimemtumia meseji nimemuomba aniazime chaja yake ya simu. Akanijibuย 21002ย Nikawa mkali nikamuambia kuchajia mara moja tu ndio HELA yote hio si bora nikanunue Chaja yangu mpya. Akaniambia nimesema TUMIA TU ๐๐mtatuua na lugha zenu๐ Read and Write Comments
Tabia za Kimama kwa wanaume
1, mwanaume kuoga haraka haraka ili uwahi kuangalia igizo, huo ni UMAMA..๐ 2, mwanaume kupiga picha umeng’ata Lips na Unapiga na Camera Beauty Plus huo ni UMAMA..๐ 3, Mwanaume kuangalia tamthilia na Jamai Raja na Maigizo kwenye chanel ya sinema zetu wakati mechi za kombe la dunia zinaendelea, pia nawe ni MMAMAAโฆ๐๐ 4, Mwanaume kuandika …
Hapo sasa akili itakuja
Pale unapo gundua kuwa yule ulie mtukana kwenye bajaji ndio boss anaeenda kukufanyia interview๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ญ My freand apo ndo utagundua kwaanini wimbo wa Taifa tokea 1961 ni audio aujatolewa video๐๐๐๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo
Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia “Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/=” Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.Kwenda na kurudi sh.12,000/=.Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA. SIPENDAGI UJINGA MIMI NA BEI ZA TEKSI. Read and Write Comments
Kuna watu makauzu ila huyu kazidi.. Soma hii!
Kakubaliana vizuri na msichana fulani hivi kuwa aibuke gheto, mchizi kajipanga vizuri kabisaโฆ. mara saa nne hivi mdada kasema hana nauli.Mshkaji kajikunja kamtumia Elfu tano maana mwenye shida alikuwa ni yeyeโฆโฆBaada ya nusu saa yule dada akamtumia meseji.“Jamani mpenzi, kumbe baba hatoki nilijua atatokaโฆ sorry bae sitaweza kuja kwa leoโฆ sooo sorry!”Mshkaji jiii! hajajibu kituโฆ.. …
BREAKING NEWS: WAZIRI ANASWA KOFI
Mkazi wa Mbagala Kibondemaji, Waziri Salum (23) amejikuta akinaswa makofi baada ya kupishana kauli na jirani yake. Read and Write Comments
Angalia alichojibu huyu mwanafunzi, Ungekua wewe ni mwalimu wake ungemfanyaje?
Mwanafunz alikuwa kila siku anachelewa shule, na kila siku alikuwa anachapwa, basi siku moja mwalimu akaona ngoja amuulize. Mwalimu: Mbona unachelewa kila siku?Mwanafunzi: Nakaa mbali mwalimuMwalimu: (huku ana hasira akauliza)Mbali mbinguni?Mwanafunzi: Mbinguni kwa mbele๐๐๐๐๐ Read and Write Comments
Angalia nilichomfanyia huyu mwizi
Et jana usiku mwiz kavunja mlango kwanguakaanza kutafuta kitu kila kona ikabidna mie niamke namuuliza unatafuta nini ananijibu hela ndipo nilipoanza na mie kutafuta naemaana hta hela ya kula Jana sikuanayo alichoka zaid nilipomuliza una uhakika uliweka humu? *sipendagi ujinga Read and Write Comments
Kuwa na Binti aliyeacha shule
Kuwa na binti aliyeacha shule ni BALAA. Anaweza kukuacha kwa staili ileile alotumia kuacha SHULE ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ Read and Write Comments
Mambo ya kijijini haya!
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniโฆunaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniโฆ๐๐๐๐ Read and Write Comments
Eti hii ni kweli kwa mwanaume anayempa simu mkewe
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniโฆunaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniโฆ๐๐๐๐ Read and Write Comments
Duh. mjamzito ana kazi
๐๐๐๐ukimuona mjamzito katema mate ujue mtoto kajamba Read and Write Comments
Kilichotokea Baada ya mlevi na mchungaji kukutana
MCHUNGAJI; “Unakunywa bia!?
MLEVI; “Ndio.
MCHUNGAJI; “Kwa siku unakunywa bia ngapi!?
MLEVI; “Nakunywa bia tano!
Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata
Angalia kilichotokea
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema “hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
MAJIBU YA MAKONDA WA DALADALA ZETU GONGOLAMBOTO HUKU
1. wewe Dada unaturingia nini na matiti yako mawili , mbwa pia ana matiti nane na haturingii eboo !!!!
2. Ka wafikiri Una haraka sana Shuka ukimbie.
3. Nauli kulipa lazima ,Chenji ukikumbuka.
Duh! Huyu kazidi sasa
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begi๐๐๐ Read and Write Comments
Dongo kwako kama una degree moja Halafu unachagua kazi
Mtu una degree 1 unachagua kazi! Wakati thermometer ina degree 100, inafanya kazi kwenye kwapa. ๐๐๐๐๐ Ni Utani tuuuuu! Read and Write Comments
Wachaga wana mambo mbele ya hela, angalia hii bili ilivyomchanganya MASSAWE
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000

I’m so happy you’re here! ๐ฅณ











































































Recent Comments