Huyu Baba ni noma, Cheki anachomjibu huyu mtoto wake Mtoto: baba eti Botwasna ipo wap? Baba: angalia itakuwa humo humo kabatini maana mama yako nae kwa...
Angalia huyu mwanafunzi anachomjibu huyu mwalimu wake 1. Ticha:"Punda ni mnyama anaefugwa nyumbani,lakini akiwa mwituni anaitwa pundamilia….Je sungura anayeishi mwituni anaitwaje?"ZUZU:"Sunguramilia."2.Ticha:"Rais wa...
Kweli shilingi yaua, Huyu jamaa kapatikana, angalia anachomjibu mke wake, Jamaa alikuwa anagombana na mkewe,hatimae akamwambia kwa ukali "Unajua nimechoka sasa, haya kusanya nguo zako...
Angalia huyu baba alichowafanya mtoto wake wa kike na boyfriend wake BABA OYEEEEEE💪💪Soma hii… Msichana alikuwa amekaa na baba yake kibarazani, mara akamuona MVULANA friend wake...
Angalia huyu mtoto anachomjibu baba yake baada ya kutoka kwenye mtihani BABA: mwanangu kwenye huu mtihani uliofanya natumaini utafanya vizuri.DOGO: ndio baba nitapata mia kwa mia.BABA:...