Soma hii, Nani haelewi kati ya hawa?
Dogo: Bro naomba nitumie hela.
Bro: Tumia tu mpaka uchoke.
Dogo: Hujanielewa,nitumie hela.
Jambo la kufanya kama binti alikuachaga zamani na sahizi anakutaka
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniβ¦unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ¦ππππ Read and Write Comments
Angalia huyu boyfriend alivyomuweza huyu msichana wake
Siku moja msichana alikuwa anapita maeneo ya A.T.M gafla
akamuona boyfriend wake anatoa pesa kwenye A.T.M binti
akaamua kujificha na kumtumia boyfriend wake sms ya
kimahaba
Kilichompata sista duu bishoo wakati akijidai kununua pete
Mwanamke mmoja aliingia duka la vito vya thamani, akaona pete moja ya dhahabu nzuri sana amabayo ilikuwa kwenye shelf ya chini, wakati anainama apate kuitazama vizuri kwa bahati mbaya (au nzuri!), shuzi likamtoka- druuuuuu,
Angalia huyu house girl wa mzungu alichokifanya na anachokisema
House girl mmoja alipewa kazi na mzungu mara akavunja sahani.Mzungu aliporejea,kazin akamuuliza ‘what happened to my plate?House girl akajbu: ‘The dog wow wow friji paaa, mchuzi mwaaaa the vyombo pangalapangala the sahan ngelengenjeeβ¦β¦the pasuka paaaaaaaaππππhadi saiz mzungu bado anasoma dictionary hajui lugha gani imetumika Read and Write Comments
Mipango ya mke na mume ya pasaka
Mke: Unampango gani na pasaka hii mmewangu..Mume: Nitafanya kama yesu..Mke: Unamaanisha Nini? Mume: Nitaondoka ijumaa na Kurudi j3..Mke: Unanishangaza, kama utafanya hivi nami nitafanya kama Maria..Mume: Unamaanisha Nini?Mke: Nitapata mimba bila ya kuingingiliwa na wewe mume wangu..Mume: π³π³π³ πππππππππ Read and Write Comments
Angalia haya maswali ya huyu mtoto yalivyomagumu, ndio maana wazee wetu walikua wanatudanganya
Mtoto: Mama, hivi kabla hujanizaa uliniona!?
Mama: Hapana mwanangu sijakuona.
Baada ya mwanamke kukataa kufungua mlango angalia kilichomkuta
MUME: Fungua mlango! MKE: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako. MUME: kama hufungui najitupa kwenye hili shimo nife kabisa. MKE. Kufa huna faida yoyote duniani! MUMEΒ kachukua jiwe kubwa kalitupa kwenye shimo chubwiiiiiii! MKE kajifunga kanga, kafungua mlango. Ghafla mume kaingia ndani na kumfungia mke nje. MKE: Nifungulie la sivyo nitapiga kelele majirani waje. MUME: Piga …
Baada ya mwanamke kukataa kufungua mlango angalia kilichomkuta Read More »
Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti anayetaka aolewe angependa aolewe naye!!
1. Awe na pesa nyingi 2.Siyo lazima awe mzuri wa sura 3. Ajenge ukweni 4.Awe mpole 5.Asimuonee wivu mke wake 6.Awe mwenye upendo wa dhati 7.Asishike simu ya mke wake. 8.Akimkuta na mwanaume apite tu, akitaka kujua ni nani asubiri nyumbani 9.Awe anamskiliza mke wake kwa kika kitu. 10.Asipende mwanamke mwingine zaid yake UKIMPATA MWANAUME …
Sifa 10 za mwanaume ambaye kila binti anayetaka aolewe angependa aolewe naye!! Read More »
Status za Whatsapp za Wazungu na Wabongo
STATUS ZA WAZUNGU kwenye Whatsapp vere vere kliaaaβ¦πsickπat movieΒ π in a meeting2π kind of happy,, πbusy,,πavailableπDrivingπsleeping STATUS ZA WABONGO SASA MBUTA NANGA MBONGO NGAFU “Akutake nani una shepu la Kitorondo utaishia kumegwa na kuachwa “Watu tuna nyota za Chips Mayai sio wewe mwenye Nyota ya Punda,halulaaa” πKantangazeee ndo Kwanza naanza na ntakukomesha Mwanaharamu we! π …
Cheki huyu kiherehere alivyojibiwa
Za asubuhi? Nzur sjui huko? Huku kwema tuu VP si ulimaliza chuo ww? Ndio kwani vp? Mbona hatuoni matunda yake? Kwani mi nlienda na miche ya mipapai au miembe au umeambiwa TIA, IFM na IAA wanakodisha Mashamba ya nyanya ???????? Hamna sio hvyo umeenda mbali kaka Kama kilomita ngapi? Haya yaishe bhanaβ¦ Ukome kwa kiherehere …
Angalia nilichomjibu huyu kuhusu kabila langu
Kuna mtu kanikeraΒ et nmemkubalia urafiki Leo tuΒ Facebook anataka kujua kabila languBac akajifanya mjanjaa etΒ akaniuliza mbu kwenu mnawaitajeMimi nkamjibu hatuwaiti wanakujagaΒ wenyeweπππππππSi kwamba cjamuelewa ila sipendagi Ujinga Mimi Read and Write Comments
Hii ndio ndoto ya harusi ya kila msichana anayotamani
GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enheeβ¦
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la ng’ombe napeleka kwa babu yako
GIRL: Ooh baby u care..
Je, hii ni kweli kwa wale wasichana wasiojibu meseji WhatsApp!!!?
Ukiona hivyo ujue ndio hivi Mwanaume mwenzangu ukiona unamtext msg msichana WhatsApp kaisoma hajajibu, umetuma ya pili kasoma hajajibu, ukatuma ya tatu hajajibu mmmmmhπ¨π¨ hapo ujue mwenzio kaangalia kwenye profile yako, kakagua picha weee mwishoni akajisemea tuΒ “Huyu.mkaka hapana kwa kweli”π€£π€£π€£π€£π€£π€£ πββπββπββπββπββπββ Read and Write Comments
Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi
*Hadith ya Shemdoe na Mwalimu wa English:* *Teacher:* `Who is a pharmacist?` *Shemdoe:* ππΏ _(raised up his hand.)_ *Teacher:* `So itβs only Shemdoe that can tell who a pharmacist is in this class? Thus, no body else to answer the question except Shemdoe?` _(There was no reply from the students)_ *Teacher:* `Ok. now Shemdoe, chukua …
Angalia huyu mwalimu alichomfamya huyu mwanafunzi Read More »
Kwa Wadada wanaotaka kuolewa
Kuishi kijijini kunahitaji moyo sana ..unaenda kuoga, unakumbuka kuwa umesahau sabuniβ¦unaenda kuchukua sabuni kurudi bafuni, unakuta ng’ombe amekunywa maji yote..unaamua kufuata mengne,unarudi unakuta mbuzi kala sabuniβ¦ππππ Read and Write Comments
Ni wazo tuu!
Siyo watu wote wanaokuuliza kwamba watoto hawajambo,wanakuuliza kwa nia nzuri,wengine wanaulizia watoto wao waliozaa na mkeo.duh!! tutafika kwel πππππππ Read and Write Comments
Angalia huyu jamaa anachomwambia mwizi baada ya kumuibia simu yake
Foleni ndeeeeefu jamaa yupo kwenye daladala anaenda kazini kaona heri amuandikie boss wake msg kumtaarifu kuwa atachelewa ile anatakubofya SEND kibaka akaipitia simu. Jamaa kaishia kupga kelele “bonyeza send, bonyeza send wewe” abiria wote hawana mbavu Read and Write Comments
Kilichotokea baada ya polisi wa kibongo kukutana na mwizi mzungu
POLISI KAKAMATA MZUNGU ‘yestaday I saw u at ze maize shop..(jana nilikuona dukani kwa muhindi) when u saw me u started 2 six six.(uliponiona ulianza ku-sitasita) u ran n decided 2 plant a car.
Jinsi nilivyogundua kuwa nina kipaji leo
LEO NIMEPITA MTAA FULANI NIKAKIMBIZWA NA MBWA, NDIO NIKAJUA NINA KIPAJI KINAPOTEA TUβ¦β¦β¦ SIO CHA KUKIMBIA, NI KUPIGA KELELEππππππ Read and Write Comments
I’m so happy you’re here! π₯³













































































Recent Comments