Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa
Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize…Kaka, mbona u mnyonge hivyo?”Jamaa : ‘aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!!😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Cheki hiki kibabu kulivyowaacha watu hoi wakati mchungaji anafungisha ndoa
Mchungaji Kauliza: Yeyote mwenye pingamizi la haki kwa ndoa hii asimame na aje mbele. Mara kasimama kibabu na kwenda mbele, bibi harusi alipomuona tu yule babu akazimia. Mchungaji akauliza: tueleze pingamizi lako Kibabu kikajibu: Nimeamua kuja mbele kwasababu kule nyuma sisikii!!!. kanisa zima hoi, Read and Write Comments
Eti ni kweli hii ni sababu wanaume wana Upendo Sana?
Wanaume wana upendo kwa kweli. Mwanaume hata akipewa kundi la wanawake 90 achague mmoja!! Hata akichagua mzuri kupita wote bado roho itamuuma kuwaacha wale 89 waliobaki!!*Kwa namna hii wanaume wana Upendo Sana😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Huu mchezo hautaki makeup
Mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huu mchezo hautaki mekapu Read and Write Comments
Mke anamwambia mme wake kuwa angetamani mme wake awe tajiri cheki alichojibiwa
Mke; mme wangu ungekuwa tajiri ningefurahiMimi; kwa nini?Mke; ungekuta na sisi tuna gari nzuri hatutembeu kwa mguuMimi; ah wap,unadhani ningekuwa tajiri ningekuwa na wewe?ungekuta natoka na kina wema,zari…😁😁😁naona anakusanya nguo zake itakuwa anaenda kufua Read and Write Comments
Cheki huyu jamaa alivyoumbuka akiwa ndani ya dala dala baada ya kupokea simu ya mkewe
Jamaa kapokea simu kutoka kwa mke wake ndani ya daladala jamaa: hellow hellow ( jamaa akawa hasikii vizuri ikabidi aweke loud speaker) Mke: Umeweka wapi soksi zako yaani nyumba nzima inanuka. Read and Write Comments
Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata
Angalia kilichotokea
Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema “hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
Huyu Jamaa bwana! Cheki anavyojibu sasa
*Mdukuzi:* _halloo massai unasemaj_*Massai:* _safi rafiki_ *Mdukuzi:* _nikikuuliza swali unaakili ya kujibu?_*Massai:* _ulisa acha maneno yako._*Mdukuzi:* _nitajie wanyama kumi wa porini_*Massai:* _swala watatu na tembo saba_😆😆😆😆😆😆👆🏿 Read and Write Comments
Angalia huyu mke wa mtu anavyojichanganya hadi kwa mme wake
MUME: “Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!”
MKE: “Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!”
Duh! Huyu kazidi sasa
Kuna jamaa kapita hapa kaniuliza et mbona umekunja sura nikamjibu nataka niweke kwenye begi😂😂😂 Read and Write Comments
Mambo ya pesa haya..
MAMBO YA FEDHA AISEE……. Kuna jamaa alipewa shilingi 983628763600/= …acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi A… safi sana, najua umeangalia tena kuiona hiyo herufi, bahati mbaya hujaiona. 😜😜😜😜😜😜😜 Read and Write Comments
Vituko vinavyoandikwa kwenye daladala
Huwa naenjoy sana kusoma yaliyoandikwa nyuma ya daladala hasa ninapokuwa kwenye foleni. Misemo maarufuya kwenye daladala. 1.Yatima hadeki2.Utamu wa chips mimba3.Ukitaka kujua ugumu wa kudai kopesha ukweni4. Usiyempenda kaja5. Kobe hapimwi joto6. Acha kazi uone kaz kupata kaz7. Ukichezea koki utalowa8. Heshima pesa kipara kovu tu!9. Mtumbwi hauna saitmira.9. Silaha pesa bastola mzigo10. Hata uoge …
Hii ndio ngoma droo kwa wanaume kati ya wanawake
{ NGOMA DROO}Sikuizi utawasikia wadada wakisema kuachwa na mwanaume asie na pesa nisawa na kuluhusiwa hospital {Sasa na sisi} wanaume tunasemaKuachwa na demu mpenda pesa nisawa na kumaliza mkopo benk 😂😂😂😂😂😂Wanaume atutakagi ujinga!!!! Wanaume heeeeee🏃🏾♂🏃🏾♂🏃🏾♂🏃🏾♂ Read and Write Comments
Jamaa amkomesha boss wake
Kuna jamaa alifutwa kazi… Ikawa kila siku anaenda nyumbani kwa boss wake na kunya mlango wa mbele… Ikawa hv…boss: _mbona waja kunya kwangu?_jamaa: _nataka kukuonesha kuwa silali njaa_😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Hyuyu daktari ni noma, cheki anachokisema
Kuna Daktari wa Moyo alifariki wakamchongeaa jeneza lenye umbo la Moyo. Ghafla Daktari mwingine akaanza kucheka, watu wakamuuliza “kwanini unacheka unafurahia mwenzako kufariki?” Daktari yule akajibu “hapana mimi ni Daktari wa kutahiri nafikilia nikifa mtanichongea jeneza lenye umbo la ….” Read and Write Comments
Duh! Hii sababu ya huyu mwanaume kulewa ni shida
👧: “Mpenzi, nakuomba uache kulewa” 👨: “poa, na wewe acha kutumia make up” 👧: “Mimi napaka make up ili unione mzuri” 👨: “Na mimi nalewa ili nikuone mzuri” Vodka hatareee😂😂 Read and Write Comments
Angalia wanachokifanya Zuzu na msichana chumbani kwenye giza
Zuzu: Mambo Anna!
Anna: Poa!
Zuzu: Kuna kitu nataka nikuonyeshe…
Anna: Kitu gan?
Zuzu: Twende chumbani kwako (wakaenda)
Anna: Haya nionyeshe…
Wanandoa wa Kijapani wakibishana
*Wanandoa wa Kijapan wakiwa wanabishana hadharani* *Husband: Takamushi jiku.**Wife :hashi jiku mishihe**Husband: inamoto kushini hat a pi**Wife: jejeta takuna mota shinita**Husband: kituya sitina kutara*.*Wife: totori yatika miniya* _Uko busy kusoma utadhani unaelewa kijapan kuwaga serious saa zingine_ 😂😂😂😂😂😂 Read and Write Comments
Hii sasa kali kweli kweli! wazazi wanachofanya pale binti yao anapochelewa kuolewa
Wazazi wengine wanaandika MBWAMKALI kwenye geti lao kama binti wao ana miaka 18.. Binti akifika miaka 30 na hajaolewa wanapabadilisha na kuandika TUNAUZA BARAFU 😂😂😂😂😂😂😆 😆😆😆😆😆😆😆 Read and Write Comments
Huyu mke kwa kupenda hela! Cheki anachomwambia mume wake
Jamaa karudi toka kazini mpole na hana furaha!
MKE; Vipi leo mbona mpole?
MUME; Ofisi yetu imeungua na watu wote waliokuwemo wamekufa.
MKE; Ilikuaje wewe ukapona?

I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments