Jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka…
Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka. Watu wakamuullza, unacheka nini sasa wakati umeachwa? Akawajibu: “kinachonichekesha, yule aliyepanda alikuwa ananisindikiza.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Kweli mna ucheshi wa kipekee sana! 😄😂
😆 Hiyo punchline ilikuwa kali!
😆 Hii imenigonga kweli!
😆 Ninaihifadhi kwa baadaye!
Nimecheka hadi machozi yanatoka! 🤣😭