Leo nimechoka zangu alafu shangazi amekuja anataka nimuunganishe facebook. Imebidi nimwambie
lazima awe na picha passport size 4 kwaajili ya kuweka profile picture, barua kutoka kwa afisa mtendaji na Atm card ya nmb bank. Alafu awe na marefa wanne ambao wamekuwa facebook for more than 3 years. Amesema
hataki tena kujiunga fb!
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Saa ivi niko zangu nimelala naendelea kupunguza uchovu
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐ Ninaihifadhi kwa baadaye!
Nimecheka hadi nina furaha sana! ๐คฃ๐
Ucheshi wenu unanifurahisha kila siku! ๐๐
Nimecheka hadi nimesahau shida zangu! ๐๐
๐ Siwezi kusubiri kushiriki hii!