Dogo kampigia simu baba yake;
DOGO: Baba katika zile shilingi laki mbili ulizonipa
nikalipe ada nimetumia shilingi alfu 30 kubeti
BABA : Unasema nini we mpumbavu mshenzi
mkubwa? Nimekukanya mara ngapi kuhusu kubeti?
DOGO : Lakini baba
BABA : Lakini baba nini ngoja urudi utaona
ntakachofanya.
DOGO : Nilitaka kukwambia kuwa nimeshinda
shilingi milioni 3
BABA : Ndio hayo ninayosema wewe mpumbavu
sana kwanini hukutumia laki nzima kubeti? Si
ungepata pesa nyingi zaidi? Ngoja urudi niwataarifu
ndugu zako kuhusu uulivyo na akili za kuamua
haraka mwanangu mpenziโฆ
๐๐๐๐๐๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Hii imenipa kicheko cha siku! ๐๐คฃ
๐ Umenishika vizuri!
๐ Hii ni ya kuhifadhi!
Hii imenibamba sana! ๐๐
๐คฃ Hii kichekesho ni nzuri sana!