Leo nikaamua niingie misa ya asubuhi kwenye kanisa moja la kilokole kulikua na ugeni wa mchungaji kutoka Bulgaria, Mahubiri yameanza saa 1 asubuhi hali ikawa kama hivi:
MCHUNGAJI: My name is Pastor Livingstone
MKALIMANi: Kwa jina naitwa mchungaji Jiwe linaloishi
MCHUNGAJI: We thank God for All goals we set by our hands
MKALIMANI: Tunamshukuru Mungu kwa Magoli yote tuliyoweka kwa Mkono
Hivi navyoongea kanisa halina viti waumini wote tumekimbia nje naona Mkalimani amebaki na kiatu cha kushoto tu.
Sunday joke
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Hii imenikuna sana! 😆😅
😅😊😂👏
Nimecheka kwa sauti! 🤣🤣
Hii ni dhahabu ya vichekesho! 😄
Wow, hii kichekesho ni mshindi kamili! 🏆