Kimchepuko chako kinakuandikia meseji kama hii…
…Samahani baby kama unavyojua nimeokoka ,nimetubu kanisani lakini nabii kaniambia niwaombe msamaha wote niliowakosea.
Nimemkosea sana mkeo kwa kumwibia mumewe na nimepanga kuja kumwomba msamaha kesho ntakuja na nabii na Mchumba wangu mpya nilie mpata kanisani.
Samahani kwa usumbufu uliojitokeza lakini hilo ni kwa ajili ya utukufu wa bwana!!!
Wako Manka wa Magorofani😅😅
😆 Hiyo punchline ilikuwa kali!
Lazima nikumbuke hii kwa baadaye! 😆
Hii kichekesho inastahili tuzo! 🏆
😂👌😆😊
Nimecheka hadi nina furaha sana! 😆😂