Angalia huyu polisi kitu alichonijibu

Nimefika hapa Polisi Station nimefarijika sana na Kustuka baada ya kumkuta Askari hapa Kaunta anasoma Biblia nikajisikia fahari kuona anasoma neno kituo cha Polisi. Nikamuukiza Afande ni Nani alimuua Goliathi? Akasema Muulize Afande Mwita mlango namba 2 ndo anausika na Kesi za Mauaji.😂😂

236 thoughts on “Angalia huyu polisi kitu alichonijibu”

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart