1. Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu.
2. Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu.
3. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?
4. Ukichanganya wali na choroko unapata mseto, lakini hautibu malaria.
5. Hata njiwa nae ana makinda, lakini hawezi kuwa spika wa Bunge.
6. Hata uwe na haraka vipi kwenda Zenj, huwezi kupanda Jahazi ya Yusuph Mzee.
7. Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika.
8. Hata uwe kauzu vipi, huwezi kujamba wakati unatongoza.
9. Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi.
10. Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi
kufunika sufuria.
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
I’m so happy you’re here! 🥳














































































😆 Naihifadhi hii!
yani:mtu:unajickia kumpenda:: :mtu::alafu
anashindwa::kukuamini::
ety we binti wambeya :kwanini huniamini: nakupenda mwenzako
¿? ¿?
”kama ujana maji “”yamoto”””birashaka
“”uleo nimaji yabalidi
watoto waefumbili hamzeeki kila siku watoto wa2000 sasa kwanzia leo nawaita mabibi wa2000
“.nampenda sana mama
nawewe ndugu yangu mpende sana mamayako mana yeye ndo kafanya mimi nawewe tukajuana muheshim mamayako haijalishi yuko vp kabra hujawaza kumzalau mama yako fikilia kwanza amekubeba tumboni myezi 9 mkumbuke kwaicho kdogo ulichopata mana hata yeye kipindi uko mdogo hakuweza kula paka uliposhiba wewe
hakuvaa nguo nzuri paka ulipo pendeza wewe hakulala usiku paka ulipo lala wewe nabado haikutosha miguu yake ukaifanya ndo choo chako mapajayake ukayafanya kiti chako mgongo wake ukaufanya gari lako lausafiri kila alipo upo nabado haikutosha akajifunya lugha yako yautotoni isioeleweka ir unapoongea ajue unahitaji nini akawa kama kichaa kukuchezesha iri usilie kukuongeresha hali yakuwa huongei ili ujuwe lugha sahihi paka leo umesimama amepitia meng mazito nandomana mama amepewa cheo kikubwa kwamtoto mama nimungu wapili baba asingeweza mama akikupa ladhi hutofanikiwa maisha yako yote nawenda ukawa chizi kabisa
ABU menn by
kunasiku baba aliniambia nikasimamie wafanyakazi mi nikaenda kuwasimamia kweli hadi mda wakula nimewasimamia baba akanikuta nimesimama ety wewe mbona unawasimamia watu wako wanakula nikamjibu kwani wewe ulinambia nije kuwakalia au kuwasimamia
waTanzania tutenguege kauri utakuta mtu anajita msimamizi wakati mda wote amekaa oficini sasa wewe nimsimamizi au mkalizi hahaha
abu meenn by
ety wewe nikiungo gani kilichojificha lakini ndo kinatumika sana kwenyemwili wabinadam ….?
:KADI YA MWARIKO:
WA vita
familiya ya mzee MAANDANO na
bibi MAUWAJI wanayo furaha kubwa kukualika kwenye sherehe yamtoto wao mpendwa aitwae KIFO anaetarajia kufunga ndoa nawewe MABOM NA RISASI yaliopo eneo lamtaani kwako tarehe 19 mwezi 12vinakukaribisha sana kwamaelezo zaidi KAZURURE SOKONI MITAANI NAMJINI hadi usiku UMAUTI WAKO ndiyo mafanikio yasherehe hiyo
ABU MENN BY
HAHAHA nyoote mnakaribishwaa
misimo
:KADI YA MWARIKO: wa VITA
familiya ya mzee MAANDAMANO
NA bibi MAUWAJI wanayo furaha kubwa kukualika kwenye sherehe ya mtoto wao mpendwa aitwae KIFO anaetarajia kufunga ndoa nawewe
MABOM NARISASI NDO chakura chenu kilichopo eneo la mtaani kwako tarehe9mwezi12 tunakukaribisha sana kwa maelezo zaidi KAZURURE SOKONI MITAANI NAMJINI UMAUT WAKO NDO mafanikio ya sherehe hiyo
ABU MAHEMBE
menn by
hahaha misimo
“TANGAZO”
“TANGAZO”
“JAMANI”
“ABU”
“NIMEPOTEA
“ATAKAENIONA
“ANIPE”TARIFA”
“MANA”
NIMESHAJITAFUTA
SANA”RAKINI”SIJIPATI”
ABU MAHEMBE ME by
nipe
taarifa sasa 0681305278
Uko wap
KGM TZ
we Mbosso wewe
kwasasa wapendanao wameanza kuitana
my Pawa
|
| @Emma Maiga
|
| !!
| _/\_
|
|usione nikokimya
nawaza mwaka 2025 ndohuuwo unakatika HIVI SIKUDAI¡! KWERI
fikilia vizur kama nakudai tuma kwahi namba kataa mataper 0681305278 abu ee by
we Mbosso wewe
kwasasa wapendanao wameanza kuitana
my Pawa
TANGAZO TANGAZO eee jamani kucheka nidawa kucheka niafya sasa mimi kama daktar tawatibu bure mpaka lin anzeni kunichangia jamani mcheke muongeze siku zakuishi nipeni kampan namimi nipate nguvu yakukusanya vichekesho kwauwered sasa tapataje nguvu yakufanya kazi isiokuwa namaripo USISEME NAKUCHEKESHA SIJAKUShIKA MDOMONI unacheka mwenyewe mi nik uku unanisingizia mimi kama vile nimelishaka domolako nikalipanua haya jamani tunaomkubar
ABU MAHEMBE wote tujitokeze kwawing kumuunga mkono unatupia umu (0681305278)
jelo au buku au yoyote uliyonayo kikubwa inifikie kama mchango namimi takuuanga text live kwanjia ya sms namba yangu iyoapo nichek kwa text zaid kwasasa sitapost tena text yoyote umu nimechoka kufanya kaz bira maripo sasampa usinitafute nikuunge kama hauna kesh tuma buku kwenye namb hiyo nikuunge
nawapenda jamani ndoma had mnanijuwa jina wapo wanaopost lakn hajurikan hata kwajina sovizur best my text by tukutane live tuchat
nili msimamisha njiani nikamuomba namba yake yasm akasita sita kama hataki mwisho akanipa ila kishingo upande nilipofika nikamtumia mambo akajibu pw nikaanza swaga zangu unajua toka nilipokuona pale mi moyo hauna amani nimetokea kukupenda sana nakupenda akajibu ahsante kwakunipenda tafikilia takupa jibu nikajibu naomba liwe jibu zur nakupenda sana akajibu sawa usijali ila nimeishiwa text nikamtumia vocha yabu pw pw ? zikapita siku3 yuko kimya nikampandia hewani mimimwenyewe vp jibu langu akanambia takupa badae usjal ilipofika badae nikapg 2kaongea tunacheka nikamuambia vp sas jibu akanambia we nimtu mzima sopaka utamkiwe usiaelewa kwamaneno hayo nikahis kabs %100 amekubal nikawa namuhudumia hela kusuka vinini ira sijapga hata busu siku yasiku ndo ananambia leo ndo nakupa jibu lako nikashtuka ila nikapuzi2 mida yasa3 usiku akapg sm mwenyewe nakuuwanza kusema mi namtuwangu SIKUPENDI alafu alishatumia kama 80000 yangu oya nimfanye nini uy dem au nim’bake ABU_MAHEMBE BYME
Potezea utalipwa na mungu
Abuu mahembe@Emma Maiga
KARIBU Tanzania
nchi yenye utajiri wamajungu
nchi yenye baraka za uwongo”””
nchi yenye wivu””¡
nchi yenye kiu ya umbea nchi ya unafki
ukipata pesa unalogwa ukifulia unachekwa ukiwaomba fanyakaz mwanangu mwanamke akinenepa unamimba ukikonda unaukimwi ukisafiri kwenda kutafuta amekimbia madeni ukikaatu! hana jipya hana nyuma wala mbele ukisimama napisi dakika5 anamtongoza hawajui kama nidadayako ukivaa vizur sharobaro ukivaa vibaya huyu maskin nimchafu ukilala nimvivu ukitembe mzurulaji sasa unaesoma ujumbe huu ukisikiliza maneno yawatu hutofanikiwa mana wanakaba paka pena naTanzania ndonchi pekee maskini hakusoma ira anailaum selekar naaliesoma anailam selekar et hana ajira wakat hata watumishi waselekar wameajiriwa sara huyu selekar nanani anaeajir wasomi mtafuteni selekar ABU_MAHEMBEbyme nicheki tubonge 0681305278
sorry
aliesoma anailaum selekar et hana ajira wakat hata watumishi waselekar wameajiriwa
sasa
huyu selekar ninani anaeajiri watu
wasomi mtafuteni anaeitwa selekar ndoanae ajir au kipnd anaajiri we ulikuwa wap
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! 🤣
:ukiamua kujitumazako :ufanye kazi
:utaskia akishavutaga :bangi ndoalivyo
yani waTanzania
mhh^_^
,ukozako sebreni
,umechoka unaskia
,mamayako anakwambia wewe? kamwangalie mtoto inje analia we unamjibu
aliaa_anashoto
“.WAKIKULIZA.”
“.WAMBIE.”
“.BADO
NATAFUTA
Hii ni joke ya kipekee! 🤣👌
|YANI UTAKUTA |KUNALIJAMAA |RINAMUOGOPA
|BINADAM MWENZAKE |KULIKO HATA LINAVO MUOGOPA MUNGU
IVI UNAAKIRI WEWE!!
“WEWE DADA WEWEKAKA UNAKUWA NAHOFU NABINADAM KULIKO HATA MUNGU UNAAKILI KWELI WEWE(%)
%utakuta libaba lizima linamindevu linakwambia nakula ujana
kumbe ujana unaliwa
uleo je?hauliwi
Hii ni joke ya kipekee sana! 😂👏
😆 Ninakufa hapa!