1. Ati wee ni m-black mpaka ukiingia kwa dinga(gari), dirisha zinakuwa tinted!
2. Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate.
3. Vile wewe mfupi, ukipiga picha ya passport inatokea full.
4. Ati(house) yenu ina gate lakini hakuna fence.
5. Baba alienda ku buy ngombe akaona ikikojoa akasema sitaki hiyo imetoboka.
6.Wee mblack mpaka ukikutana na mzungu afternoon anakusalimia: Good evening.
7. Mko wengi kwa house mpaka kuna rush hours na kukinyesha kunakuwa na jam.
8. Paka yenu noma mpaka ikishika panya inaomba chumvi, fork na pilipili.
9. We ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa inafika kwa tumbo ikiwa mgando.
10.Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha footprint nyeusi.
11. Kwenyu mkikunywa maji mnaitisha toothpick
12. We ni mbishi hadi ulikataa kuzaliwa uchi
13. Kwenu kuna insecurity ikifika usiku hadi geti mnaingiza ndani
14. Kwenu ni wengi sana hadi mmeweka round about ndani.
15. Wewe ni mlafi hadi maji uliyochemshia mayai unayafanya supu.
16. We ni mjinga sana hadi blood test ulifeli.
17. Una chogo refu hadi ukigeuka haraka unaweza kuliona.
18. Una kichwa kikubwa hadi ukiingia kwenye daladala konda anakwambia “abiria usiingie na mizigo, tunaweka juu kwenye carrier
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
I’m so happy you’re here! 🥳













































































😆😅😂
ABU MAHEMBE
“utani huu jamaa “alinikuta….
“nimekaa chini yamti
“nimeshika soda naiyangalia nataka ninywe akafika nakuninya nganya
“akanywaa yotee nikamuangaria ”
“nikaanza kuria “akaniambia
aaaaa mtani unalia kisa soda nilikuwa nakutania ngoja bas nikakununulie nyingine ” namimi nikamwambia shida sio soda minaona leo nisiku yamajanga “nimenda kazini nimefukuzwa kazi “nimetoka njee gari langu limeibiwa naludi nyumbani ety mkewangu ameniacha “ndo nimeweka sumu kwenye soda ninywe nife2 we umeenda kunywa “nayeye kuckia ivo akazimia alivozinduka namimi nikamwambia aaaaaa mtani unazimia nini namimi nilikuwa nakutania
akabaki ameduwaa
ABU MAHEMBE “kunaomba omba “amekuja nyumbani
“akanikuta mimi ” akaniambia naomba unisaidie kama unahata buku mia amsini mi napokea
“nikamwambia sina hela “akaniambi nisaidie basi hata nguo sina nguo “nikamwambia sina ” “”akasema nisaidie hata chakula naskia njaa
“nikamwambia hamna chakula
“akasema eee braza “unaonaje tuongozane kuomba omba wote mana nawewe nikama mimitu hauna kilakitu duu?jamani naombeni hata buku nimpe aendee ila kwel
%inagongwa hazarani
%kira anaejickia huigonga %haina choyo..
%hutoa mayoe makari %sana unapoigonga
%paka watoto %wanashangiria
%haijawahi kuvaa nguo
%inagongwa sana lakin %haizai mda wote %imeninginizwa angani %kila kipindi hugongwa %namti wachuma
%nayo sinyingine nikengele yashuleni
ha ha ha acha ujinga
ABU MAHEMBE
ABU MAHEMBE
“we dada njoo njoo nikuto
nikutongozee unisikilizee
alafu njoo njoo nikufii
nikufiikishe kwamama akuoneee
“usijali napenda kuu
kuuongea sana
“nimejaliwa uboo
uboongo waakili
hata ukinipa umwo asee utainyoi
“siombeletu hata nyuma ”
napitaga mlango wetu wanyuma huwa nawah kufunga
“nami mwenzako sichagui pakumwaga namwaga moto popote nikimaliza kukuwagaaa
acheni kumanisha
hahahahahahahahahaha
ABU MAHEMBE
abu boy-
mashairi muziki
nambayangu
ni 0681305278
|||
minajua tupowengi tunaosaka shiring ira tukumbuke siwapitanjia nayaona mengi kuyasema siwezi hayamaisha nayopitiaa
,hata ingekuwa story haya maishayangu nisingeweza kuaditia unaepitia meng kumbuka kunamungu usisahau kuweka niaa
tufanyeni yote mabaya mazur ira kwake tutalejeaa mwanamke zaa kwauchungu mwanaume haso ira tukumbuke hiii nidunia
unashinda kutwa hujamtaja mungu tunasahau letu kudio duniani ametuleta iri tumwabudu ira kwenyepesa tumekimbilia shetani niache nilud kwamungu mimii dhambi najiogopea aisee naokoka naokoka naokokaa|||naokoka naokoka naokokaa|||| naokoka naokoka naokokaa
….?
ABU MAHEMBE
ikiingia nitam kama asari ikikaa sana inapoteza radha…
%huwezi kupata “kama hauna pesa
kira mwenyepesa anatafunatu
.inaiimgia imesimama wima inatoka imeregea uku inanata nata haina radha tena nayo sinyingine ni jojo bgg
acha kuwaza ujinga ww
hahahahaha
kwaumpendae2
. +”” ‘ ” “+.+” ” “”+ .
+ MAISHA + + MEMA + + + + + + NI KUPENDANA KUSALIMIANA kukumbukana kusameheana
*
*furaha yangu iwe kivuli chako upendo wangu iwe ndovazirako
nakuombea kwa MUNGU kira atakae kubariki nae abarikiwe kira atakae kulaani nae araniwe
dunia inawatu weng ira wenye utu niwachache sana kinacho mtamburisha mtu sio jinarake wara sura yake wala uzur wake kinacho mtambulisha mtu ni
*tabia nzur
*kaur nzur
*ustarabu
*uskivu
nipende nikupende dunia tunapita pesa wachie wao upendo nipe mimi wp imeandikwa mwanaume ndo awe napesatu hata mwanamke inatakiwa nae awe napesa ira mbona mimi nimekupenda japokuwa hauna pesa
ILOVYOU MI
NIYULE YULE TAJIRI WAUPENDO
MASKINI
WACHUKI
ABU MAHEMBE BY ME
0681305278
mesege tochat
WOYOOOOOOOOOOO “wasomi mpo
“kunaswali apa atake “atakaeweza kujibu ” “kunavocha ya 2000/=
%swali
“mke wakipofu “Anatembea nakiziwi
“naanae ijuwa siri hiyo “nibubu ” “je? “bubu “atawezaje kuitoa siri hiyo kwakipofu “ingarikuwa hajui kusoma wara kuwandika “nahatoi sauti fowadiya “nawengine paka tupate “jibu apa
ABU MAHEMBE ME by 0678 1305 278
ABU MAHEMBE
%kweli ubishi@sio mzur
“nacheo sio tishio
“waziri mmoja arienda ” “kwenye mradi wanyuki naasari kufika getini “mrinzi akamzuiya akamwambia haruhusiwi mtu kuingia kwasasa “wazir akafoka “nakusema kwani haujui mininani huku anamwonesha kitambulisho
“mlinzi kwakutii akamruhusu haya ingia mueshimiwa akaingia “baada yamda kidg wazir aliskika akiiita mlinzi mlinzi nyuki wamenivamia “mlinzi akamjibu waoneshe kitambulisho wakujue weninani hahahahahahaha
1.mbuzi wa maskini hazai
2.abiria poteza nauli ujue njia zamkato
3.ukubwa so madaraka hata mlango nimkubwa ira mwenye madalaka kufuri
4.hata babu alikuwa kijana
5.mtaji wamaskini nguvuzake mwenyewe
6.kura iri usife utashibaga mbele
7.maskini habagui chakula
8.jogoo washamba hawiki mjini
9.kuku mgeni hakosi kamba mguni
10.usishangae mimi kuwa maskini wanoti kashangae makaburini watu wanapandwa rakini hawaoti
11.alie sema sasampa maskini tunakosa madem uku kira dem toa sasampa
12.tambua kila lenyemwanzo linamwisho hatamwisho unamwishowake…..?
NIMIMI HAPA TAJIRI WAUPENDO
MASKINI WACHUKI BY ME ABU MAHEMBE
Kama kawaida! Bado nacheka! 😄
Hii imenichekesha sana! 😄😂
😆 Ninacheka sana sasa hivi!
Hii kichekesho inastahili tuzo! 🏆