Jamaa: Mambo honey, upo ok?
Mrembo: Sipo ok my dear
Jamaa: Una tatizo gani baby?
Mrembo: Nimetoka hospitali kupima, nna mimba.
Jamaa: Weeh usiniletee balaa hiyo mimba imeingiaje wakati huwa tunatumia kinga?
Mrembo Kwani nani kakwambia mimba ni yako, hebu tuliza mshono huo.
😆😆😆😆😆😆😆
MTATUUA
😁 Hakika hii ni kichekesho changu kipya!
😃 Hali imeboreshwa papo hapo!
😂🤣😆👏
Kweli mna kipaji cha ucheshi! 👏🤣
Hii imenikuna hadi nina furaha! 😊😂