Tukiwa kanisani mdada alikuwa amelala , akaamka akasikia Pastor anasema
” SIMAMA”
Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao akiwemo mumewe, akaangalia kanisa zima akashtuka kujiona yeye peke yake ndiye aliesimama
Pastor akaendelea vizur endelea kusimama, tumepata mmoja hadi sasa aliyesimama narudia kwa mara ya mwisho kama hujasikia vizuri
” kama wew umewahi kumsaliti au bado unasaliti ndoa yako SIMAMA”
Binti akazimia
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐ Kali sana!
๐ Hii kichekesho imenifurahisha siku nzima!
Kweli mna ucheshi wa hali ya juu! ๐๐คฃ
Hii imenichekesha sana! ๐คฃ๐
Hii ni dhahabu ya vichekesho! ๐