Jamaa kavamia semina ya wasomi iliyokua inafanyika maeneo ya ubungo plaza bas wakaanza kujitambulisha
1. Naitwa Anna niko SUA mwaka3 nasoma agriculture
2. Naitwa Stella niko UDSM mwaka2 nasoma public relation
3. Naitwa Emmanuel niko UDOM mwaka3 nasoma computer science
bas jamaa nae akainuka kwa kusuasua huku akijishtukia akasema”Naitwa Elisha niko Tanesco mwaka wa 7 nasoma mita”
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Ucheshi wenu unanifurahisha sana! 😂👏
Hii ni joke ya maana sana! 😂👌
Nimefurahia sana hii joke! 😅😂
Hii imenikumbusha enzi zile! 😅😂
Umeimaliza kabisa, kichekesho gani! 😄