Kitambo tukiwa watoto ulikuwa unaitwa uje ule kwa lugha tofauti kulingana na chakula kilichopikwa siku na muda husika
1. UGALI NA KUNDE
Mwitaji : ๐ฃJoniiiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Uje ukule
2. UGALI NA SAMAKI
Mwitaji: ๐ฃ we Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Unaitwa na Mama
3. WALI NA NYAMA/KUKU
Mwitaji: ๐ฃ Joniiii
Mwitikiaji : Eeeh
Mwitaji : Shauri yako!
๐๐๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
๐๐คฃ๐๐
๐๐ ๐
Hii imenifurahisha sana! ๐๐
๐คฃ Ninashiriki hii sasa hivi!
Nilihitaji kicheko hiki, asante kwa kushiriki! ๐