Ni noma!
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- “Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako” Mume akamjibu:- “Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu” ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐
References:
Google ScholarResearchGate
Semantic Scholar
AckySHINE
Bado nacheka, hiyo ilikuwa nzuri sana! ๐คฃ
๐ Hii ni ya kuhifadhi!
Ucheshi wenu unanifurahisha! ๐๐
Hizi jokes ni za ukweli! ๐๐
๐ Hii imenigonga kweli!