Dawa za kulevya ni nini?
Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume cha maelekezo ya tabibu na hivyo kuleta madhara kwa mtumiaji.
Tunaposema dawa za kulevya ina maana ni matumizi mabaya ya dawa na hasa pale yatumikapo kinyume cha maelekezo ya tabibu na hivyo kuleta madhara kwa mtumiaji.
Mara nyingi utunguaji mimba nje ya mfuko wa uzazi hutokea kwa sababu ya maradhi kwenye via vya uzazi. Maradhi hayo huharibu mirija ya kupitisha mayai. Uharibifu huo hufanya yai lisiweze kufika kwenye mfuko wa mimba na mara nyingi unasababishwa na magonjwa ya zinaa. Kama mwanamke alikuwa na magonjwa ya zinaa uwezekano wa kutunga mimba kwenye mrija wa kupitia mayai unaongezeka.
Ikiwa unafikiri una mimba au iwapo una maumivu chini ya tumbo, unashauriwa uende kliniki kwa ajili ya uchunguzi.
Yai lililorutubishwa linapokaa kwenye mrija wa kupitisha mayai tunasema mimba i imetungwa nje ya mji wa mimbaโectopic pregnancyโ. Kwa maana hiyo basi,, ukuta mwembamba wa mrija utashindwa kutanuka kikamilifu i ili kubeba mimba i inayokua. Mrija hupasuka na damu kutoka. Ikitokea hali hii , lazima mwanamke aende hospitali kwa ajili ya kupasuliwa na pengine kuongezwa damu.
Hapa Tanzania utoaji wa mimba hauruhusiwi kisheria. Hata hivyo watu wengine wanaamua kutoa mimba kwa sababu mimba zao hazikutarajiwa. Kwa mfano, msichana mdogo ambaye bado anaenda shule, au mama ambaye tayari ana watoto wengi au umri mkubwa sana. Wanawake wengine wanaamua kutoa mimba kwa sababu wamepata mimba kutokana na kulazimishwa kufanya mapenzi au kubakwa, au kwa sababu baba wa mtoto anakataa kuchukua jukumu la kumlea mtoto. Hizi ni baadhi tu ya sababu za kutoa mimba, na kila mwanamke anayeamua kutoa mimba ana sababu zake.
Kwa sababu utoaji mimba hauruhusiwi, huduma za kutoa mimba hazipatikani kwa urahisi na wanawake wengi wanajiamulia kuitoa mimba wenyewe au kwa msaada wa mtu asiyesomea kufanya hivyo. Kama tulivyosema hapo juu, hii ni hatari sana kwa afya ya mwanamke
Nani na lini unaoa ni maamuzi yako binafsi wewe mwenyewe,
hata kama rafiki na wazazi wanakushauri juu ya jambo hilo.
Kumlazimisha mtoto kuoa au kuolewa ni kumchukulia mtu uhuru
wa anavyopenda kuishi. Haki ya kuchagua kuoa, ama kuolewa
au kuanzisha familia yako huwa imegeukwa. Haki hii ni sehemu
ya makubaliano ya kimataifa na sehemu ya programu na hatua
ya Umoja wa Mataifa tangu mkutano wa Cairo 1994. Sheria
ya ndoa, Tanzania13 inasisitiza kwamba hakuna ndoa halali,
isipokuwa ipate ridhaa na iwe ya uhuru na hiari kutoka pande
zote za wanaokusudia kuoana. Ndoa yoyote ambapo pande
zimehusika hazikubaliani ndoa hiyo si halali.
Wakati mtoto amelazimishwa kuingia katika maisha ya ndoa bado
hayupo tayari na ndoa hiyo itakuwa inavunja haki za msichana
kama haki ya elimu.14 Msichana ana haki kupata elimu, msichana
ana haki kupata elimu. Haki ya kuoa inakamilika kwa msichana
kuwa na umri sahihi, naye kuwafanya maamuzi/uchaguzi wake
mwenyewe, kuanzisha familia. Kwa hiyo inaingilia kuvunja haki
ya msingi ya mtoto ya kumtoa shule kabla ya kumaliza elimu ya
msingi, ambayo ni shuruti kwa watoto wote, hapa Tanzania.
Moja kati ya vitu vinavyotisha kuhusu dawa za kulevya ni kwamba zinaathiri watu kwa njia mbalimbali na huwezi ukasema kwa uhakika jinsi zitakavyokuathiri. Madhara ya dawa za kulevya yanategemea aina, kiwango na jinsi zitakavyotumika. Vilevile inategemea na umri, afya ya mwili na ukomavu wa akili, na pia mazoea ya matumizi ya dawa hizo.
Madhara ya muda hutokea mara tu baada ya dawa za kulevya kutumika, wakati madhara ya muda mrefu huonekana baada ya muda kupita, na mara nyingi husababisha uharibifu wa kudumu kwenye mapafu na ubongo.
Kwa mfano, bangi, husababisha kuongezeka kwa mapigo ya moyo, matatizo ya kumbukumbu ya muda mfupi, pamoja na umakini, kujifunza, kufikiri na kutatua matatizo. Pia inaweza ikasababisha kasoro kwenye utaratibu wa viungo vya mwili. Mara kwa mara wavuta bangi huwa na macho mekundu. Na vijana wengine hupata mihemuko mbalimbali kama uoga na hofu baada ya matumizi ya bangi.
Dawa za kulevya za vichangamsho, kama mirungi na kokaini, inasemekana kuwa huwafanya watumiaji kuwa macho, kujiona wana nguvu na kujiamini. Vichangamsho vikitumika kwa wingi, humfanya mtumaji kujihisi kuwa na wasiwasi au hofu. Matumizi mabaya ya dawa za kulevya kwa muda mrefu huweza kusababisha matatizo ya akili au hata kifo i iwapo yatatumika kwa kiwango cha juu.
Dawa za kulevya zinazokufanya upooze kama heroini au dawa nyingine zinazoagizwa na daktari, husababisha kujisikia umetulia, una amani na furaha. Ukizidisha vipimo husababisha usingizi, upungufu wa umakini na uwezo wa kuona, kizunguzungu, kutapika na kutokwa jasho. Vilevile kipimo kingi kinaweza kusababisha usingizi wa muda mrefu, kuzimia na hata kifo.
Pombe za kienyeji kama gongo ni hatari kwa afya na zinaweza kusababisha upofu na hata kifo.
Matumizi ya dawa za kulevya hupunguza uwezo wa vijana kuhimili na kutatua matatizo yao ya kijamii na kiakili. Hii husababisha vijana kuwa wepesi kujihusisha na ujambazi na mambo ya ngono na ugomvi, mabadiliko hayo ya tabia husababisha ugomvi katika familia na kuvunjika kwa urafiki. Matumizi ya dawa za kulevya ndiyo sababu kubwa ya ajali za barabarani, kujiua na maambukizo mbalimbali.
Idadi kamili ya Albino Tanzania haijulikani kwani hakuna
aliyewahesabu. Inakisiwa kufuatana na tafiti katika nchi
nyingine kama Nigeria na Afrika Kusini kuwa mtu 1 kati ya
4,000- 5,000 ni Albino hapa Tanzania. Namba hii ni kubwa mara
nne au mara tano ukilinganisha na Ulaya au Marekani ambako
tunapata Albino 1 kati ya watu 15,000-20,000. Hapa Tanzania
inakisiwa kuwa kuna Albino wapatao elfu kumi.
Hakuna uchunguzi wa kisayansi ambao umeonyesha faida
yoyote inayopatikana kwa kuua Albino.
Madai ya kuwepo kwa faida katika mauaji ya Albino ni uvumi
mtupu unaoimarishwa na imani ya kishirikina na hazina msingi.
Kwa bahati mbaya uvumi huu umeimarika katika baadhi ya
jamii na hivyo kupelekea Albino kupata madhara makubwa
ya kujeruhiwa na wakati mwingine kuuawa katika jitihada za
kupata damu au viungo vya miili yao.
Kuua na kujeruhi ni kosa la jinai linaloadhibiwa kisheria. Serikali
kwa sasa ina msimamo mkali wa kukomesha makosa haya ya jinai
kwa kutumia sheria kuhukumu watuhumiwa wanapokamatwa hii
ni pamoja na kuelimisha jamii.
Ni kweli kwamba wakati wa kujamii ana na kutunga mimba ni mbegu moja tu ya kiume i inayopenya kwenye yai. Mbegu zilizosalia hufa na kutoka kwa kupitia ukeni kwa sababu hazina kazi tena. Inashauriwa kwamba watu wanapomaliza kujamii ana, wasafishe vizuri sehemu zao za uzazi.
Je, Ni Vipi Kuepuka Shinikizo la Kufanya Ngono Katika Mahusiano? ๐
Kuwa na nguvu ya kuepuka shinikizo la kufanya ngono katika mahusiano ni jambo muhimu sana kwa vijana wa leo. Tunafahamu kuwa katika jamii yetu, kuna shinikizo kubwa la kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na kushiriki ngono kabla ya ndoa. Lakini ni muhimu sana kutambua kwamba kujiheshimu ni sehemu muhimu ya kukua na kujijenga kama mtu mwenye tabia njema na thabiti. Katika makala hii, tutajadili njia kadhaa ambazo unaweza kutumia kuepuka shinikizo hili. ๐
Elewa thamani ya uhusiano. Hakikisha unatambua umuhimu wa uhusiano wako na jinsi inavyoweza kuathiri maisha yako. Je, unataka kutumia nguvu zako kwa ajili ya uhusiano ambao huenda usidumu? Jiulize maswali haya na jaribu kufikiria athari za muda mrefu.
Jifunze kusema hapana. Ni muhimu kuwa na ujasiri na uwezo wa kusema hapana wakati unapohisi shinikizo la kufanya ngono. Kumbuka, mwisho wa siku, maamuzi haya ni yako na wewe ndiye unayeweza kuamua kile unachotaka kufanya na mwili wako. ๐ช
Kuwa na malengo na mipango. Kujitambua na kuweka malengo yako ya kibinafsi itakusaidia kuepuka shinikizo hili. Unapotambua malengo yako na unafanya kazi kuelekea kufikia malengo hayo, utakuwa na lengo na dira katika maisha yako.
Jiunge na kikundi cha marafiki wanaofikiria kama wewe. Ni rahisi kuepuka shinikizo la kufanya ngono ikiwa una marafiki ambao wana maadili na malengo sawa na wewe. Tafuta watu ambao wanasaidia kukuza tabia njema na wanaunga mkono maamuzi yako.
Elewa thamani ya afya yako. Kujihusisha katika ngono isiyo salama kunaweza kuwa na madhara kwa afya yako ya kimwili na kihisia. Kumbuka, afya yako ni mali yako muhimu zaidi na inapaswa kulindwa.
Tambua thamani ya uhusiano wa kimapenzi wa kudumu. Kufanya ngono katika uhusiano wa muda mfupi kunaweza kuwa na athari mbaya kwenye uhusiano huo. Kujenga uhusiano wa kudumu na uwezo wa kujua mtu vizuri kabla ya kujihusisha kimapenzi kunaweza kusaidia kuepuka makosa.
Jifunze kuheshimu. Heshimu mwenzako na ujue kuwa ngono ni kitu cha kipekee na maalum. Kuwa na heshima ni muhimu katika kuhakikisha kuwa unaheshimu maisha yako na mwenzako.
Tafakari juu ya maadili yako na imani. Kuelewa maadili yako na imani yako itakusaidia kufanya maamuzi sahihi kuhusu ngono. Ikiwa imani yako inakataza ngono kabla ya ndoa, ni muhimu kuzingatia na kuheshimu imani hiyo.
Kumbuka furaha ya kusubiri. Kusubiri hadi ndoa ni chaguo ambalo linaweza kukuletea furaha ya kipekee. Kumbuka kuwa ndoa ni ahadi ya maisha na kiapo cha upendo wa dhati.
Jifunze kuwa na muda na nafasi. Kufanya ngono ni uamuzi mkubwa na muhimu. Jifunze kujenga uhusiano unaotegemea mambo mengine kama mazungumzo, elimu, na kugundua mambo ya kipekee kuhusu mwenzako kabla ya kujihusisha kimapenzi.
Elewa umri wako. Kila mtu ana umri wake na wakati wa kufanya mambo fulani. Kujua umri wako na kuheshimu wakati utakapofanya ngono itakusaidia kuwa na ujasiri wa kudumisha heshima yako na kujitambua.
Jifunze kujenga utu wako. Utu wako ni wa thamani kubwa na unapaswa kulinda. Kuepuka shinikizo la kufanya ngono kutakusaidia kuweka utu wako katika kiwango cha juu na kukuhakikishia kuwa unajiheshimu.
Elewa faida za kusubiri. Kusubiri hadi ndoa kunaweza kuwa na faida nyingi. Ni fursa ya kujikita katika ukuaji wa kibinafsi, kuzingatia malengo yako, na kujenga uhusiano imara na mwenzako.
Kuwa na mawazo ya mbali. Kuwa na mtazamo wa mbali kunaweza kusaidia kuepuka shinikizo la kufanya ngono. Fikiria juu ya siku za usoni, ndoa, familia, na malengo yako ya kimaisha. Je, ngono kabla ya ndoa itaathirije haya yote?
Jiwekee mipaka. Weka mipaka yako na uwe na ujasiri wa kuilinda. Kumbuka kuwa ni wewe ndiye unayeamua ni lini na na nani utafanya ngono naye. Kuwa na ujasiri wa kusema hapana ikiwa unaona hauko tayari.
Katika dunia ya leo, kuepuka shinikizo la kufanya ngono katika mahusiano ni jambo gumu. Lakini kwa kufuata njia hizi, unaweza kudumisha heshima yako, kuwa na maadili na kufanya maamuzi yanayofaa kwa maisha yako ya baadaye. Kumbuka, umri wako si kikwazo, bali ni fursa ya kujitambua zaidi na kukua kama mtu imara. Jiulize, "Je, ni thamani gani ninayotaka kuijenga katika maisha yangu?" na "Je, ninataka kufika wapi katika siku zijazo?"
Tumia wakati wako kuelewa thamani ya kusubiri hadi ndoa na kuenzi heshima yako na ile ya mwenzako. Mtu mzima ni yule anayejua thamani ya kusubiri na kujiheshimu. Hakuna raha inayofanana na kuwa na ndoa yenye amani na furaha, na kujua kwamba ulisubiri hadi wakati unaofaa. Kumbuka, uwezo wa kuepuka shinikizo la kufanya ngono ni sehemu ya kujijenga na kuwa mtu imara katika maamuzi yako.
Je, wewe una mawazo gani juu ya kuepuka shinikizo la kufanya ngono katika mahusiano? Je, umewahi kukabiliana na shinikizo hili? Tungependa kusikia maoni yako na uzoefu wako juu ya mada hii. Tuache maoni yako hapo chini na tujadiliane! ๐ค๐
Mvulana hawezi kuthibitisha ubikira wa msichana kwa njia ya kumwangalia wala kwa njia ya kumwingilia kimwili. Hii ni kwa sababu ubikira ni kutowahi kujamii ana na hautegemei kuwepo kwa kizinda ndani ya uke. Yaani msichana ambaye hajawahi kujamii ana, lakini ambaye kizinda chake kimepasuliwa kwa sababu nyingine, bado ni bikira. Njia pekee ya kufahamu kama msichana ni bikira ni kufahamu kile alichofanya maishani, na hii , kwa kweli haiwezekani.
Msichana anaweza kujifahamu kuwa bikira kama hajawahi kujamii ana, yaani kuingiliwa kimwili na mwanaume au mvulana.
Jamii nyingi hutilia mkazo kuhusu ubikira wa wasichana wakati wa kuolewa. Lakini suala la kutofanya mapenzi mpaka siku ya kuolewa au kuoa ni muhimu kwa wote, wasichana na wavulana. Kutofanya mapenzi mpaka siku ya kuolewa kuna maana ya kujiepusha na shida zinazoweza kutokea, kama mimba isiyotarajiwa, magonjwa ya zinaa na hata maambukizi ya VVU na UKIMWI. Iwapo huwezi kustahimili ashiki ya kujamii ana, basi huna budi kuhakikisha kuwa unajikinga wewe na mpenzi wako asipate ujauzito na magonjwa kwa kutumia kondomu.
Jinsi ya Kukabiliana na Hisia za Kufadhaika na Utendaji wa Ngono/Kufanya Mapenzi ๐๐ฅ
Karibu sana kijana! Leo tutazungumzia jambo muhimu sana kuhusu jinsi ya kukabiliana na hisia za kufadhaika na utendaji wa ngono/kufanya mapenzi. Kama kijana, tunaelewa kwamba hisia na hamu hizi zinaweza kuwa ngumu sana kudhibiti. Lakini usijali, tuko hapa kukusaidia! Hebu tuangalie njia 15 za kukabiliana na hisia hizi:
1๏ธโฃ Kuelewa na kukubali mabadiliko ya mwili: Kukua na kukomaa kunakuja na mabadiliko ya kawaida ya mwili. Jifunze kukubali mabadiliko haya na uone kwamba ni sehemu ya ukuaji wako wa kawaida. Usiwaze kwamba kuna kitu kibaya na wewe.
2๏ธโฃ Kuwa na mawazo chanya: Mawazo yana nguvu kubwa sana juu ya hisia zetu. Jifunze kubadilisha mawazo hasi kuwa chanya. Fikiria juu ya mambo mazuri maishani mwako na uzingatie ndoto na malengo yako.
3๏ธโฃ Kuelewa kwamba mapenzi siyo kila kitu: Mapenzi ni sehemu muhimu ya maisha yetu, lakini sio kila kitu. Jifunze kuweka umuhimu sawa katika maisha yako na kuelewa kwamba mapenzi hayapaswi kuwa kipaumbele pekee.
4๏ธโฃ Kupata msaada wa kisaikolojia: Ikiwa hisia za kufadhaika zinakuzuia kufanya shughuli za kila siku, ni vyema kupata msaada wa mtaalamu wa afya ya akili. Wataalamu hawa watakusaidia kuelewa chanzo cha hisia zako na kukuongoza katika njia bora ya kukabiliana nazo.
5๏ธโฃ Kuwa na mazungumzo ya wazi na mpenzi wako: Mazungumzo ya wazi na mpenzi wako ni muhimu sana. Elezea jinsi unajisikia na mshirikishe mawazo yako. Pia, muulize mpenzi wako jinsi wanavyohisi na jinsi wanavyoona uhusiano wenu.
6๏ธโฃ Kuelewa umuhimu wa maadili ya Kiafrika: Katika utamaduni wetu wa Kiafrika, maadili na mila zina jukumu muhimu katika mahusiano ya kimapenzi. Elewa maadili haya na uheshimu utamaduni wako.
7๏ธโฃ Kujifunza kudhibiti hisia zako: Kujifunza kudhibiti hisia zako ni ujuzi muhimu ambao unaweza kukuwezesha kufanya maamuzi bora. Fikiria juu ya matokeo ya muda mrefu badala ya kuridhisha tamaa za muda mfupi.
8๏ธโฃ Kuwa na marafiki wanaokuheshimu: Kuwa na marafiki wanaokuheshimu na kukusaidia kukua kwa njia nzuri ni muhimu sana. Chagua marafiki ambao wana maadili sawa na wewe na ambao watakuunga mkono katika safari yako ya kujitambua.
9๏ธโฃ Kujiheshimu mwenyewe: Kujiheshimu ni muhimu katika kukabiliana na hisia za kufadhaika. Jifunze kujielewa na kuweka mipaka sahihi. Kumbuka, wewe ni mtu muhimu na unastahili kujisikia vizuri.
๐ Kufurahia muda wako pekee: Kufurahia muda wako pekee ni njia nzuri ya kujifunza kujitosheleza. Jifunze kupenda na kufurahia siku yako bila kuhitaji sana kutegemea hisia za kufanya mapenzi.
1๏ธโฃ1๏ธโฃ Kuwa na shughuli nyingine za kufanya: Kuwa na shughuli zingine za kufanya katika maisha yako kunaweza kukusaidia kupunguza hisia za kufadhaika na kufikiria sana juu ya ngono/kufanya mapenzi. Jishughulishe na michezo, sanaa, kusoma, au chochote unachopenda kufanya.
1๏ธโฃ2๏ธโฃ Kuongoza maisha yenye lengo: Kuweka malengo na kufanya kazi kwa bidii ili kuyafikia ni njia nzuri ya kukabiliana na hisia za kufadhaika. Jitahidi kuwa bora katika masomo yako, kazi yako, au malengo mengine muhimu maishani mwako.
1๏ธโฃ3๏ธโฃ Kufanya mazoezi mara kwa mara: Mazoezi husaidia kutoa hisia za mafadhaiko na kuongeza uzalishaji wa endorphins, ambazo husaidia kujisikia vizuri. Jitahidi kufanya mazoezi angalau mara tatu kwa wiki.
1๏ธโฃ4๏ธโฃ Kukumbuka thamani ya usafi: Kama mtu mzima wa Kiafrika mwenye maadili mema, ni muhimu kukumbuka thamani ya usafi. Abstain kutoka kwa ngono kabla ya ndoa na kuweka thamani kubwa kwa kujilinda na kuwa safi.
1๏ธโฃ5๏ธโฃ Kuwa na matumaini kwa siku zijazo: Kuwa na matumaini katika maisha yako ni muhimu sana. Kumbuka, siku zote kuna mwanga mwisho wa shimo. Amini kwamba utaweza kukabiliana na hisia hizi na kufurahia maisha yako.
Sasa kijana, tunatumai kwamba ushauri huu umekufaidi. Je, una mawazo yoyote au maswali ambayo ungependa kujadili? Je, kuna njia nyingine ambazo umefanya kazi kwako? Tungependa kusikia kutoka kwako. Kumbuka, kujizuia hadi ndoa na kuwa safi ni njia bora ya kujilinda na kufurahia mahusiano yako kwa ukamilifu. Uchaguzi ni wako, kijana. Endelea kuwa na maadili mema na uwe na mtazamo mzuri kuelekea maisha yako. Asante kwa kusoma! ๐๐
Watu wanokunywa kupitia kiasi huathiri jamii kwa njia
mbalimbali. Madhara mengine hutokea kwa kuwa wanafanya
vitu ambavyo wasingevifanya iwapo wasingekuwa wamelewa.
Watu wakilewa, huweza kuwa na hasira, wagomvi hivyo basi
huwadhuru wengi kiakili na kimwili. Isitoshe, ajali nyingi za
kazini na barabarani hutokea watu wakiwa wamelewa. Mara
nyingi watu wasiokuwa na hatia na vilema hupoteza maisha yao
kutokana na ajali zinazohusiana na ulevi.
Watu wanaokunywa
pombe kupita kiasi hupunguza uangalifu na hivyo basi kuchangia
katika kuenea kwa VVU kwenye jamii. Watu wanaokunywa pombe
wanaweza pia kufanya ujambazi katika jamii. Pia wanaokunywa
kupita kiasi si wafanyakazi wa kutegemewa kwani hutumia
muda mwingi nje ya sehemu zao za kazi.
Watu waliozoea kunywa pombe nyingi hupoteza pesa zao nyingi
kununua pombe na muda wao mwingi kufikiria jinsi ya kupata
pesa za kunywea pombe.
Kutokana na gharama za kununua
pombe familia zao hukosa pesa za vitu muhimu kama kodi ya
nyumba, ada na sare za shule na chakula.
Vijana wanaokunywa pombe huanza kuiba pesa nyumbani kwao
ili kununulia pombe. Matumizi mabaya ya pombe mara nyingi
husababisha matatizo au kuvunjika kwa familia, au urafiki.
Vilevile husababisha matokeo mabaya shuleni au kuacha kabisa
shule, hali ambayo inaweza kusababisha kukosa nafasi za kazi,
kujitegemea wewe mwenyewe na kusaidia famila yako na jamii.
Hapana. Ualbino ni hali
inayoweza kutokea kwa
wanadamu na wanyama wa
kundi la mamalia. Tembo
weupe wa India hujulikana
sana na walithaminiwa
sana katika mahakama ya
Mfalme au chui, twiga na
simba weupe ambao sasa
wanafurahiwa sana kwenye
bustani za wanyama na
mbuga za wanyama pori.
Je, ngono/kufanya mapenzi ni muhimu kwa afya ya mwili na akili?
Hapana shaka, kufanya mapenzi ni muhimu kwa mwili na akili yako. Tafiti zinaonyesha kwamba ngono ina athari nyingi chanya kwa afya yako. Hapa ni sababu kumi kwa nini ngono ni muhimu kwa afya yako:
Ni muhimu kukumbuka kwamba ngono haiwezi kuchukuliwa kama dawa ya kila ugonjwa. Lakini kufanya mapenzi kwa njia inayofaa inaweza kusaidia kuongeza afya yako ya mwili na akili.
Je, unakubaliana kwamba ngono ni muhimu kwa afya ya mwili na akili? Unafikiri nini ni muhimu zaidi kwa afya yako ya mwili na akili? Tafadhali shiriki maoni yako katika sehemu ya maoni hapa chini.
Hii ndio hasa sababu kwa nini dawa za kulevya ni hatari! Mara unapozizoea unakuwa na ugumu wa kuendesha maisha yako bila dawa za kulevya. Kwa dawa nyingi za kulevya ubongo huzoea kuwepo kwake kwenye damu na dawa zaidi na zaidi huhitajika i ili kuendeleza hali hiyo. Hii i ii ina maana kadri muda unavyoenda ndivyo unavyoongeza kiasi cha dawa za kulevya unachokihitaji.
Pale utakapojaribu kupunguza kiasi cha matumizi ya dawa za kulevya au kuacha kabisa unaweza kupata hali ya kimaumbile au kiakili i i itokeayo kutokana na kuacha kitu ulichozoea. Hali hii inaweza i isiwe ya kufurahisha, yenye kuumiza na pengine hatari kwa maisha yako. Mara mtu anapozizoea dawa za kulevya haiwi tu tabia bali ugonjwa. Watu wengi wanaotegemea dawa za kulevya hawazitumii kwa kujifurahisha bali kuzuia maumivu yasababishwayo na kuacha kitu ulichozoea. Njia nzuri ya kuzuia hali hii ni rahisi: kuwa jasiri na sema HAPANA. Usijaribu dawa za kulevya.
Mafuta yanayowekwa kwenye pakiti ya kondomu ni mafuta maalum na yana kazi ya kuhifadhi kondomu mpaka siku yake ya kutumiwa. Bila mafuta haya kondomu isingekuwa imara, ingekauka na isingekuwa nyumbufu vya kutosha. Vilevile mafuta hayo yanalainisha mpira ili kurahisisha uvaaji na matumizi yake. Kwa watu wengi, mafuta haya hayawaletei matatizo yoyote. Watu wachache sana ambao ngozi yao ni nyepesi kuathirika wanapata matatizo ya kuwasha baada ya kutumia kondomu.
Muwasho huwa sio wa kudumu. Watu wa namna hii wanashauriwa kunawa na sabuni ya kawaida baada ya kujamiiana.
Kuna uvumi kwamba mafuta haya yaliyomo ndani ya pakiti ya kondomu yana virusi vya UKIMWI. Hii siyo kweli, mafuta hayo yanawekwa kwa ajili ya kuhakikisha uimara wa kondomu tu.
Katika mazingira fulani, baba anapomuona mtoto ana ngozi
nyeupe anakataa ya kwamba mtoto si wake akimlaumu mama wa
mtoto kuwa amekuwa na mahusiano ya ngono na mzungu. Huu
ni upuuzi kwa sababu kila mtu anajua kuwa watoto waliozaliwa
kutoka familia za watu weusi na wazungu siyo Albino kwa mfano
Rais wa Marekani Obama ni mtoto wa mama mzungu na baba
mweusi.
Dhana hii potofu ni matokeo ya uelewa mdogo na kutoaminiana.
Watu watakapokuwa na ufahamu na uelewa kuhusu ualbino
watapunguza kuwa na hisia kama alivyofanya huyu mzazi
aliyetajwa hapa juu.
Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza kuhitaji dawa zaidi pale wanapozizoea na kupata madhara. Hii i ii inaweza kusababishia mtu kutawaliwa na dawa za kulevya. Mtumiaji wa dawa za kulevya anaweza kuwa mtegemezi wa dawa hizo bila ya kujijua. Kujaribu dawa za kulevya kunaweza kukawa na madhara kama โutaishia pabayaโ. โKuishia pabayaโ ni jambo la kutisha na si la kufurahisha hata kidogo! Hali hiyo inaweza kutokea mara ya kwanza unapoanza kutumia bangi.
Maana halisi ya neno โbikiraโ ni mwanamke au mwanaume ambaye hajawahi kabisa kujamii ana. Kujamii ana hapa i ina maana kwamba uume wa mwanaume unaingia katika uke wa mwanamke.
Watu kadhaa wanasema kwamba kuwepo kwa kizinda, ambacho ni ngozi nyembamba laini i i iliyoko kwenye uke i inayokaa kama kiwambo, ndiyo ubikira. Lakini wanawake wengine huzaliwa bila kiwambo au ngozi hii , i inawezekana kwa wengine kuchanika kwa kiwambo hiki i wakati wakifanya mazoezi mazito kama vile kupanda baisikeli, kukwea miti na kadhalika. Pia, i inaweza kutokea wakati wa uchunguzi wa kiafya au tiba i inayohusisha sehemu za ndani sana ukeni. Kiwambo hiki kinatofautiana baina ya msichana na msichana.
Kwa hiyo, kizinda siyo kipimo kizuri kwa ajili ya kumtambua bikira. Njia pekee ya kumtambua bikira ni kufahamu kama mtu hajawahi kujamii ana (yaani bikira) au kama ameshajamii ana (siyo bikira). Wewe si bikira kama umewahi kushiriki ngono na utakuwa umepoteza ubikira na hamna njia ya ubikira kurudi tena, hata ukisubiri muda mrefu. Lakini hii haimaanishi wewe uendelee kufanya ngono ovyo.
Albino wana ngozi nyeupe, nywele nyeupe au nyekundu na macho
ya kijivu au ya bluu. Ngozi yao ni nyeupe zaidi kuliko ndugu zao
wa familia moja au watu wa jamii yake
ambao hawana hali ya ualbino. Ngozi hii inaonekana zaidi kuwa
nyeupe katika familia za watu weusi, ingawaje, ualbino
hutokea kwa watu wa kila taifa, rangi, kabila na dini. Albino
wako katika mabara yote ulimwenguni.
Recent Comments