Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa
Kitendawili…
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa
Onesha Jibu
JIBU: Chumvi
Kitendawili…
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa
JIBU: Chumvi
SWALI:Β Glasi imewekwa juu ya Meza na imejaa Maji. Kwa bahati mbaya upepo ukataka kuidondosha. Je glasi inamaji Kiasi gani?
JIBU: Glasi bado imejaa Maji kwa sababu haikuanguka. Upepo ulitaka tuu kuiangusha.
SWALI: Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS
MMTNTSSNTK: Herufi ya kwanza ya namba Moja mpaka Kumi. Yaani Moja, Mbili, Tatu, Nnne, Tano, Sitaβ¦
SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?
Kitendawili…
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja
JIBU: Uyoga
SWALI:Β Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?
JIBU: Inaweza kuwa ndani ya nne kama ukiziandika kwa Kirumi.
IV = Nne
V = Tano
V ni Tano japokuwa ipo ndani aya Nne (IV)
SWALI:Β Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati mbaya mpira ukaanguka chini na kudunda mara tatu. Je, glasi imebaki vipande vingapi?
JIBU: Glasi bado ni nzima. Mpira ndio ulianguka. Glasi haikuanguka
Recent Comments