Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?

SWALI: Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?

Onesha Jibu

JIBU: Inaweza kuwa ndani ya nne kama ukiziandika kwa Kirumi.
IV = Nne
V = Tano
V ni Tano japokuwa ipo ndani aya Nne (IV)SOMA HII:  Je, glasi itakuwa vipande vingapi?