Je, glasi itakuwa vipande vingapi?

SWALI: Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati mbaya mpira ukaanguka chini na kudunda mara tatu. Je, glasi imebaki vipande vingapi?

Onesha Jibu

JIBU: Glasi bado ni nzima. Mpira ndio ulianguka. Glasi haikuangukaEnjoyed? Rate this Article by click a Star Above and then Drop your Comment Below
OR Chat Live with AckySHINE here
Read and Write Comments
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Shopping Cart