Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / December 22, 2015 Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Onesha Jibu JIBU: mti wa kushikilia mgomba
Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja
Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako? SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?