Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya hizi?

SWALI: Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS

Onesha Jibu

MMTNTSSNTK: Herufi ya kwanza ya namba Moja mpaka Kumi. Yaani Moja, Mbili, Tatu, Nnne, Tano, Sita…Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Shopping Cart