Unanitizama nimekupiga? Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / December 22, 2017 Kitendawili… Unanitizama nimekupiga? Onesha Jibu JIBU: Kujikwaa
Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako? SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?
Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Onesha Jibu JIBU: mti wa kushikilia mgomba
Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa. Mimi ni nani?
Je, glasi itakuwa vipande vingapi? Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati…