Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / December 22, 2017 Kitendawili… Nikizidi nalaumiwa, nikipungua nadharauliwa Onesha Jibu JIBU: Chumvi
Je, glasi itakuwa vipande vingapi? Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati…
Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Onesha Jibu JIBU: mti wa kushikilia mgomba
Kivipi unaweza kusimama nyuma ya Baba yako wakati huo huo amesimama nyuma yako? SWALI: Inawezekanaje kusimama nyuma ya mtu huku na yeye amesimana nyuma yako?