Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja Leave a Comment / By SW - Melkisedeck Shine / December 22, 2017 Kitendawili… Nilienda kwa mjomba akanichinjia Jogoo mwenye mguu mmoja Onesha Jibu JIBU: Uyoga
Je, glasi itakuwa vipande vingapi? Mtoto alikua amebeba glasi mkono mmoja na mkono mwingine mpira. Kwa bahati…
Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Amekufa lakini anasaidia mgonjwa Onesha Jibu JIBU: mti wa kushikilia mgomba