Je, glass ina Maji kiasi gani?

SWALI: Glasi imewekwa juu ya Meza na imejaa Maji. Kwa bahati mbaya upepo ukataka kuidondosha. Je glasi inamaji Kiasi gani?

Onesha Jibu

JIBU: Glasi bado imejaa Maji kwa sababu haikuanguka. Upepo ulitaka tuu kuiangusha.Enjoyed? Rate this Article by click a Star Above and then Drop your Comment Below
OR Chat Live with AckySHINE here
Read and Write Comments
Subscribe
Notify of
guest

0 Comments
Inline Feedbacks
View all comments
Shopping Cart