Ujana na Makuzi | Mapenzi na Ngono Salama

Nini matatizo ya watoto Albino shuleni?

Ingawaje, akili zao hazina hitilafu watoto Albino mara nyingi
hawafanyi vizuri shuleni, na huchukuliwa kuwa ni wajinga kwa
sababu hawawezi kusoma vizuri ubaoni. Mara nyingi watoto
Albino hujikuta wameaachwa katika shughuli za nje, ya
madarasa zinazojumuisha wenzao shuleni.
Walimu lazima watambue watoto Albino darasani mwao na
wawe na mikakati maalumu wa kuwawezesha kufuatilia masomo.
Wanafamilia pamoja na walimu shuleni wahakikishe kuwa
Albino hawatengwi katika shughuli za vikundi. Kuwakutanisha
na Albino wenzao au na watu wenye Albino kwenye familia zao
na jamii kwa ujumla itawasaidia zaidi.
Watoto Albino wanajifunza kufidia upungufu walionao wa
kujithamini kwa kuweka jitihada katika masomo na shughuli
nyingine. Wana mwelekeo wa kushinda zaidi katika mambo
wanayojaribu. Watu weusi wengi wanaoishi na ualbino
wamefanikiwa kuwa mafundi wazuri, wanasheria, wakunge
wajasiriamali wataalamu wa kompyuta na hata maprofessa wa
vyuo vikuu.

Sababu za matumizi ya dawa za kulevya

Zipo sababu nyingi zinazowafanya watu kutumia dawa za kulevya, nazo ni kama zifuatazo:
Watu wengi hutumia dawa wakitumaini kusahau matatizo yanayowakabili, wengine hutumia kama viburudisho na wanataka kujionyesha kwamba ni watu wazima na wenye nguvu. Wengine pia huanza kutumia dawa kiutani na hatimaye hushindwa kujizuia kuzitumia. Wengine hutumia kutokana na msukumo wa rika au kutokana na kushawishiwa na watu wengine kwamba dawa za kulevya huwapa raha. Wengine hutumia kutokana na ukali wa maisha, uchovu pamoja na upweke. Kimsingi, dawa za kulevya hazimpatii mtu ufumbuzi wa matatizo, bali humwongezea matatizo mtumiaji.

Kama sitaki kujamiiana kabla ya ndoa, nifanye nini ili kuondokana na adha ya vishawishi vya hao ambao ameshaanza kujamiiana?

Kama umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa, huo ni uamuzi mzuri na ni haki yako. Kutojamiiana kabla ya ndoa ni uamuzi wako binafsi kama ambavyo watu wengine walivyo na haki ya kuamua kuhusu maisha yao.

Hakuna haja ya kujisikia vibaya unaposikia vijana wenzako wanapoelezea jinsi wanavyojamiiana na raha wanayoipata. Unayo haki ya kujisifu kwamba mpaka sasa hivi umeweza kuvumilia kutojamiiana.

Kumbuka kwamba vijana wengi wanaozungumzia kujamiiana wanatia chumvi tu. Iwapo marafiki zako watazidi kukunyanyasa, jaribu kuwaeleza kwa nini umeamua kutojamiiana kabla ya ndoa. Wape ufafanuzi kuhusu madhara ya kujamiiana katika umri mdogo. Kama wataendelea basi hatua sahihi za kuchukua ni kutafuta marafiki wengine mtakaoelewana nao vizuri.

Je, madhara gani yatawapata wasichana na wavulana wanaojamiiana kwa kutumia sehemu ya haja kubwa?

Tunasema ngono kutumia njia ya haja kubwa pale ambapo uume uliodinda unaingizwa kwenye njia ya haja kubwa (mkunduni).

Tatizo kubwa la kujamii ana sehemu ya haja kubwa, ni kwamba kuna uwezekano wa kueneza magonjwa ya zinaa pamoja na maambukizi ya VVU na UKIMWI zaidi kuliko kutumia njia ya kawaida ya uke. Kujamii ana sehemu ya haja kubwa ni hatari kwa sababu hakuna yale majimaji kama ukeni na ngozi ni laini sana. Kwa hiyo michubuko i inaweza kutokea kwa urahisi. Michubuko hii i ii inasababisha maumivu na pia i inarahisisha kuambukizana magonjwa ya zinaa.
Kama bado umeamua kujamii ana kwa kutumia njia ya haja kubwa pamoja na usumbufu wote tulioutaja hapo juu, unashauriwa kutumia kondomu i li kuzuia uambukizaji wa magonjwa.

Madhara yatokanayo na ukeketaji

Ukeketaji au tohara ya wanawake ni hatari sana kwa msichana
anayetahiriwa. Wasichana hufa kutokana na madhara yake
makubwa zaidi kwa vile:

  • Hutokwa na damu nyingi.
  • Uambukizo unatokea iwapo vifaa vilivyotumiwa
  • havikuwa safi. Uambukizo unaweza kuenea mpaka katika

viungo vya ndani vya uzazi na kusababisha ugumba na
hata vifo.

  • Hatari ya kuambukizwa Virusi vya UKIMWI wakati wa

ukeketaji.

  • Kuziba kwa mkojo na damu ya mwezi (hedhi) ndani ya

mwili wa mwanamke na kusababisha uambukizo.

  • Matatizo na maumivu makali wakati wa kujamiiana na

wakati wa kujifungua kutokana na kupungua ukubwa wa
uke. Ukeketaji wa wanawake mara nyingi una madhara
ya kisaikologia ambapo wasichana hupoteza tumaini
na imani kwa walezi au wazazi na wanaweza wakapata
mateso ya kujisikia waoga, kufadhaika, kutojiweza na
kutokuwa kamilifu kimwili.

Zaidi ya hayo, ukeketaji unampunguzia mwanamke hamu ya
kujamiiana. Kufanikisha hamu ya ngono inategemea kwa kiasi
kikubwa viungo vya uzazi vya nje. Ukeketaji hata hivyo unaharibu
umbile na kazi za viungo vya uzazi vya nje vya mwanamke.
Ina madhara kimwili na kisaikologia ambapo mara nyingi
huleta matatizo ya mahusiano ya kimwili kati ya mwanamume
na mwanamke. Kisimi ni sehemu ya mwili wa msichana chenye
ashiki na hisia kali ya viungo vya uzazi. Kinasisimua ashiki kwa
mwanamke anaposhikwa. Sehemu ya ndani ya mashavu na kisimi
kwa kiasi kikubwa vinahusika na hali kiwango cha raha ya na
kufikia mshindo wakati wa kujamiiana. Wakati kisimi na viungo
vingine vya uzazi vimeondolewa, ashiki na raha hupungua kwa
kiasi kikubwa. Endapo mwanamke amekatwa vibaya sana au uke
umeshonwa, kuna uwezekano wa kupata maumivu na matatizo
wakati wa kujamiiana na wa kujifungua.

Kwa nini Albino wanawekwa katika kundi la watu wenye ulemavu?

Ulemavu maana yake ni hitilafu katika mwili au akili inayomwekea
mipaka mtu asiweze kufanikisha shughuli fulani katika maisha
yake. Albino wanatambuliwa kama watu wenye ulemavu Tanzania
hasa kwa ajili ya uwezo wao wa kutokuweza kuona vizuri. Dalili
za kutokuwa na uwezo wa kuona hutofautiana kuanzia wale
ambao hawaoni karibu, wasioweza kuona mbali na wale ambao
wanashindwa kuona vizuri au kuona mawingumawingu.

Je, kuna madhara yoyote pale utakapojaribu kutumia dawa za kulevya mara moja tu au utakapotumia kwa kiasi kidogo sana?

Kutumia dawa za kulevya kwa kiasi kidogo kunaweza kusilete madhara i ila mpaka tu pale utakapoyazoea. Mara nyingi watu huanza kuhitaji dawa zaidi pale wanapozizoea na kupata madhara. Hii i ii inaweza kusababishia mtu kutawaliwa na dawa za kulevya. Mtumiaji wa dawa za kulevya anaweza kuwa mtegemezi wa dawa hizo bila ya kujijua. Kujaribu dawa za kulevya kunaweza kukawa na madhara kama “utaishia pabaya”. “Kuishia pabaya” ni jambo la kutisha na si la kufurahisha hata kidogo! Hali hiyo inaweza kutokea mara ya kwanza unapoanza kutumia bangi.

Nifanye nini ili kuepuka kubakwa na mpenzi/ rafiki?

Kuna baadhi ya vidokezo ambavyo vinaweza kukusaidia:
1. Usikae faragha na mwenzi wako kabla hujawa tayari na kumwamini. Ongozana na marafiki wengine hasa mwanzoni mwa urafiki wenu. Msitoke tu nyie wawili hadi hapo utakapojisikia kuwa umemjua kiasi cha kumwelewa na kumwamini. Pia jiepushe kukaa sehemu za faragha naye.

2. Kama utatoka naye, hakikisha kuwa kuna mtu anayejua mnakokwenda na ni muda gani unakusudia kurudi nyumbani. Ikiwezekana kuwa na namba ya simu ya mmoja kati ya rafiki zako. Hii itakusaidia kama ikijitokeza hali ya kutaka msaada.
3. Usikubali yeye alipe gharama zote. Ni vizuri kugawa gharama hizo kati yenu. Kama mtakwenda kwenye tamasha au kupata kinywaji hakikisha kulipia nusu ya hizo gharama. Ukifanya hivyo utamzuia mwenzio mawazo ya kukufikiria “kuwa anakudai ngono“ kama malipo ya pesa yake aliyotumia.
4. Ni vizuri kutafakari na kuweka kichwani kabla ya kwenda naye popote juu ya nini unachotaka na kile usichotaka kitokee.
5. Onyesha wazi kuwa unaposema “hapana“ unamaanisha “hapana“ usimpe nafasi ya kuchukulia hiyo “hapana“ kuwa ndiyo.
6. Amini hisia zako. Kama unaona unalazimishwa usisite kueleza maoni yako / unavyojisikia. Ikibidi ondoka sehemu hiyo.

Jinsi ya Kuanza Mazungumzo na Msichana Unayempenda

Kuanza mazungumzo na msichana unayempenda inaweza kuwa vigumu, lakini pia inaweza kuwa jambo la kufurahisha na kusisimua. Kuna mambo mengi ambayo unaweza kufanya ili kuanza mazungumzo na msichana na kuifanya kuwa ya kuvutia zaidi. Katika makala hii, tutaangalia jinsi ya kuanza mazungumzo na msichana unayempenda.

Jambo la kwanza kabisa unalopaswa kufanya ni kujaribu kumjua zaidi msichana unayempenda. Kuna mambo mengi unayoweza kufanya ili kujaribu kumjua vizuri. Unaweza kuanza kwa kusoma wasifu wake, ikiwa anayo kwenye mtandao wake wa kijamii. Pia unaweza kujaribu kuzungumza naye kwa mara kadhaa ili kujaribu kumjua kwa kina zaidi.

Baada ya kujua zaidi kuhusu msichana unayempenda, unaweza kuanza mazungumzo kwa kumwambia jambo la kupendeza. Kwa mfano, unaweza kumwambia jinsi unavyomuheshimu kwa sababu ya mambo anayoyafanya, au unaweza kumwambia jinsi unavyomwona yeye ni tofauti na wasichana wengine.

Unaweza pia kuanza mazungumzo kwa kumwuliza maswali kuhusu maisha yake ya kila siku. Kwa mfano, unaweza kumwuliza kuhusu kazi yake, shughuli zake za kupenda na kupikia. Hii itamfanya ajihisi kuwa unajali mambo yake na hivyo kuongeza uhusiano kati yenu.

Kama unataka kuanza mazungumzo ya kimapenzi, unaweza kumwambia jinsi unavyompenda na unajivunia kuwa na yeye. Pia, unaweza kuwaelezea ndoto zako kwa siku za usoni na jinsi ungependa kuwa na yeye kwenye maisha yako.

Baada ya kuanza mazungumzo, unapaswa kujaribu kumfanya msichana ajisikie vizuri. Unaweza kumwuliza maswali ya kuchekesha au kumwambia hadithi za kuchekesha kumfanya ajisikie vizuri. Pia, unaweza kusikiliza kwa makini unachosema na kuonyesha kwamba unajali.

Kwa ujumla, kuanza mazungumzo na msichana unayempenda inaweza kuwa jambo la kusisimua na la kufurahisha. Kwa kujua zaidi kuhusu msichana, kumwambia mambo ya kupendeza, kumwuliza maswali na kumfanya ajisikie vizuri, unaweza kuanza mazungumzo na msichana unayempenda kwa urahisi.

Je, tumekusaidia kwa chochote? Ungependa kushiriki uzoefu wako kuhusu kuanza mazungumzo na msichana unayempenda? Tafadhali shiriki maoni yako kwenye sehemu ya maoni hapa chini.

Je, ni kweli kwamba mtu anayekunywa pombe anaishi kwa muda mrefu kuliko yule ambaye hanywi kabisa?

Si kweli. Mpaka sasa wanasayansi hawajathibitisha kwamba
mtu anayekunywa pombe kidogo ndiye anayeishi kwa muda
mrefu. Kwa ujumla, watu wanaoishi katika hali ya usafi, afya
njema na maisha yenye furaha ndio wanaoishi kwa muda
mrefu kuliko wale ambao hawajijali kimwili na kiakili. Kimsingi,
kunywa pombe ni kutojijali. Unywaji wa pombe kwa kiasi hauna
madhara, lakini inakupasa kuwa macho katika unywaji huo ili
usizidishe kupita kiasi.

Mama anayenyonyesha mtoto anaweza kupata mimba?

Katika miezi sita ya mwanzo baada ya kujifungua, mwanamke anayenyonyesha mtoto anapata kinga ya mimba kwa asilimia kubwa. Lakini i i inabidi mama anyonyeshe mtoto kwa kipindi kirefu (muda wote mtoto awe ananyonya maziwa ya mama tu na anyonye kila anapohitaji) na vilevile mama awe hajaanza kupata hedhi yake. Kama mama ameanza kupata hedhi yake au kama anampa mtoto chakula kingine, anaweza kupata mimba tena. Kwa hivyo, anashauriwa kutumia njia za kupanga uzazi i i ili kuzuia mimba za mfululizo.

Nini matokeo ya unusaji/uvutaji wa petroli kwa vijana?

Kama kijana akinusa au kuvuta petroli kupitia puani au mdomoni, petroli hiyo huingia kwenye mapafu na sehemu zote mwilini.
Madhara ya unusaji au uvutaji petroli ni sawa kabisa na pombe. Baada ya kunusa/kuvuta petroli mtuamiaji hujisikia kizunguzungu na kulewa. Wengine huhisi kama kwamba wanaota na kujisikia furaha. Lakini wengine hujisikia kuumwa na kusinzia.
Unusaji/uvutaji wa petroli ni hatari sana na hata huweza kusababisha vifo kwani petroli humfanya mtu apoteze fahamu, huharibu mapafu na wengine hufa kwenye ajali. Hii hutokana na kushindwa kutoa uamuzi ufaao wanapokabiliwa na hali zinazoweza kusababisha ajali, hasa barabarani.
Matumizi ya muda mrefu ya petroli huweza kumsababishia madhara mtumiaji kama kutokwa na damu puani, kupoteza hamu ya kula, kuwa dhaifu, kupata matatizo ya mtindio wa ubongo, kupatwa na magonjwa ya figo, moyo, mapafu na kuharibika maini.

Haki za ujinsia na afya ya uzazi zinamhusu pia mtu anayeishi na ualbino?

Haki za msingi; hasa zile zinazohusiana na kuthaminiwa na
kuheshimiwa kama binadamu zinawahusu binadamu wote
kuanzia siku unayozaliwa. Mataifa yote Ulimwenguni yameridhia
mikataba ya Kimataifa inayokubaliana na matamko haya ya
haki. Haki hizi ziko dhahiri katika sheria za nchi husika. Haki
muhimu za ujinsia na afya ya uzazi ni hizi:
• Kupata habari juu ya ujinsia na mada zinazohusu afya ya
uzazi.
• Mwanamke au mwanaume kuamua kwa uhuru na kuwajibika,
kama anataka kujamiiana lini na mtu gani.

• Kuamua idadi ya watoto anaotaka kuzaa na hao watoto
wapishane miaka mingapi.
• Kupata huduma za afya ya uzazi.
• Kuamua bila kulazimishwa nani wa kufunga naye ndoa.
• Kulindwa dhidi ya mila zenye madhara kama vile ukeketaji
wa wanawake.
Watu wote wakiwemo wale wanaoishi na ualbino au ulemavu
wa aina yoyote wanalindwa na haki za binadamu. Changamoto
iliyopo ni kwa wale watu wanaoishi na ualbino kutoa sauti katika
kutetea na kuhamasisha jamii juu ya haki zao.

Je, ni muhimu kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono/kufanya mapenzi kwa mwenza wako?

Je, ni muhimu kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono/kufanya mapenzi kwa mwenza wako? Jibu ni ndio. Ni muhimu sana kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako juu ya upendeleo wako wa ngono na kufanya mapenzi. Kwani hii itasaidia kujenga uhusiano imara na wa kweli kati yenu.

Kwanza kabisa, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kuzuia matatizo ya uaminifu katika uhusiano wako. Kwa mfano, ikiwa wewe ni mtu wa ngono ya kikundi, ni bora kumwambia mwenzi wako mapema, badala ya kujificha na kufanya ngono ya kikundi bila kujulikana. Kwa kufanya hivyo, utaepuka matatizo yanayoweza kuibuka ikiwa mwenzi wako atagundua baadaye.

Pili, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kuboresha maisha yako ya ngono na kuboresha uhusiano wako na mpenzi wako. Kwa mfano, ikiwa unapenda ngono ya mdomo na mwenzi wako anajua hilo, anaweza kukupa furaha zaidi ya ngono ya mdomo, ambayo itakuwa na athari chanya katika uhusiano wako.

Tatu, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kukuza uhusiano wako na mpenzi wako kwa kumpa nafasi ya kukujua vizuri. Kwa mfano, ikiwa unapenda ngono ya nguvu na mpenzi wako anajua hilo, atakuwa na ufahamu mzuri juu ya jinsi ya kukupa ngono bora, ambayo itakuwa na athari chanya katika uhusiano wenu.

Nne, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kujenga uhusiano wa uaminifu na uwazi. Kwa mfano, kwa kumwambia mpenzi wako kwamba una upendeleo wa ngono wa kikundi, utampa nafasi ya kukuelewa vizuri na kuelewa kwa nini unapenda hivyo. Hii itasaidia kujenga uhusiano imara na wa kweli kati yenu.

Tano, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kuziba pengo kati yenu na mpenzi wako. Kwa mfano, ikiwa mpenzi wako anajua kwamba wewe ni mtu wa ngono ya mdomo, lakini anapenda ngono ya kawaida, mnaweza kufanya kazi pamoja ili kuhakikisha kuwa kila mmoja anafurahia maisha yenu ya ngono.

Sita, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kuboresha uhusiano wako wa kihisia. Kwa mfano, ikiwa unapenda kufanya ngono ya kikundi, lakini mwenzi wako hajui, inaweza kusababisha wasiwasi na wasiwasi kwa pande zote mbili. Kwa kumwambia mwenzi wako mapema, utasaidia kuzingatia uhusiano wenu wa kihisia badala ya wasiwasi juu ya siri zisizofaa.

Saba, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kujenga uhusiano wa kudumu. Kwa mfano, ikiwa unapenda ngono ya nguvu na mpenzi wako anajua hilo, atakuwa na ufahamu mzuri juu ya jinsi ya kukupa ngono bora. Hii inaweza kusaidia kuboresha uhusiano wenu wa kimwili na kuimarisha uhusiano wenu wa kihisia.

Nane, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kujenga uhusiano wa kweli na upendo uliojengwa kwa msingi wa uwazi na uaminifu. Kwa mfano, kwa kumwambia mwenzi wako kwamba una upendeleo wa ngono wa kikundi, utamjulisha kwa upendo na heshima, na hii itasaidia kukuza uhusiano wenu wa kweli na upendo wa kweli.

Tisa, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kujenga uhusiano wa kusisimua na wa kuvutia. Kwa mfano, ikiwa unapenda ngono ya kikundi, lakini mwenzi wako hajui, unaweza kukosa fursa za kufurahia kikundi cha ngono. Kwa kumwambia mwenzi wako, utaleta uzuri na msisimko katika uhusiano wenu.

Kumi, kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono kunaweza kusaidia kuondoa hisia za hatia na wasiwasi. Kwa mfano, ikiwa unapenda ngono ya kikundi na unajificha kutoka kwa mpenzi wako, unaweza kuwa na hisia za hatia na wasiwasi kwamba atagundua. Kwa kumwambia mwenzi wako, utaepuka hisia hizi na kuwa na uhusiano wa kweli na wa uwazi.

Kwa hiyo, ni muhimu sana kuwa mwaminifu kuhusu upendeleo wako wa ngono/kufanya mapenzi kwa mwenzi wako. Hii itasaidia kujenga uhusiano imara na wa kweli, kuboresha maisha yako ya ngono, kukuza uhusiano wako na mpenzi wako, na kujenga uhusiano wa kudumu na wa kweli. Kwa hivyo, usiogope kuwa mwaminifu kwa mpenzi wako juu ya upendeleo wako wa ngono/kufanya mapenzi!

Ni kwa nini ni vigumu kuacha kuvuta sigara?

Ndiyo hatari kuu ya matumizi ya dawa za kulevya ambayo
unayazoea na kufikiri huwezi kufanya lolote bila ya kutumia.

Kwa upande wa sigara unaweza kuzoea hali yake ya kukutuliza na
hali ya kutamani kila unapojisikia. Kwa wengi hamu hiyo hutokea
baada ya kazi nzito, pamoja na pombe, au baada kula. Kwa hiyo,
kama unataka kuacha uvutaji wa sigara inabidi ubadili tabia na
kuepuka vishawishi na pia kupambana na nafsi na matamanio
yako. Hii ni hatua kubwa inayohitaji msimamo mkali.
Utakapoanza kupunguza matumizi ya sigara au kuacha kabisa
utajisikia mpweke au mkiwa. Hali hii inaweza ikawa mbaya na
kuumiza. Mara nyingi utajihisi kujawa na wasiwasi, utakosa
usikivu, utajisikia kusinzia ingawa utakosa usingizi usiku,
mapigo ya moyo hushuka na pia shinikizo. Hamu ya kula na
uzito kuongezeka iwapo utendaji wako wa kazi hupungua.
Ukishatawaliwa na sigara basi kuvuta kwako si tabia bali ni
ugonjwa. Watu wengi wanaotegemea nikotini hawavuti kwa
starehe inayoletwa na starehe ya uvutaji, bali kuepuka maumivu
yanayosababishwa na kuacha sigara.

Jinsi ya kutumia Kondomu

Wakati wa kutumia kondomu ya kiume ni muhimu kufuata hatua zifuatazo. Hakikisha kwamba pakiti inayoihifadhi haijapasuka na kwamba tarehe ya kuisha muda wake haijafika.
Uume ukishadinda, fungua pakiti kwa uangalifu. Minya sehemu ya juu kutoa hewa ndani ya kondomu wakati wa kuvalisha uume, ili kuzuia kupasuka kwa kondomu wakati wa kujamiiana. Visha uume kondomu taratibu mpaka uufunike wote. Ukiwa na uhakika kwamba kondomu imevishwa inavyotakiwa, unaweza kukutana kimwili na mwanamke.
Wakati wa kutoa uume kutoka ukeni, uwe mwangalifu kwamba kondomu bado ipo sehemu inayopaswa kuwa. Baada ya kutoa uume kutoka ukeni, vua kondomu kwa uangalifu uume ukiwa bado umedinda, ili kuepuka shahawa zisimwagikie ukeni. Tupa kondomu iliyotumika kwenye choo cha shimo au uichome. Usitupe kondomu iliyotumika ovyo. Pia usitupe kondomu iliyotumika kwenye vyoo vya kisasa yaani vya kuflashi na maji.
Ukinunua “salama kondomu“ ndani ya pakiti, kuna maelekezo kuhusu matumizi ya kondom. Unapotaka kutumia kondom wakati wa kujamiiana, ni vizuri ukajaribisha kwanza ukiwa peke yako ili kuzoea jinsi ya kuitumia.

Je, ni madhara gani atapata mama mjamzito endapo atajamiiana na mwenzi wake?

Kama kati ya mwanamke na mwanaume hakuna mwenye magonjwa ya zinaa, hakuna madhara yoyote kwa mwanamke mwenye mimba kujamii ana na mwenzi wake. Mfuko wa mimba hufunga kabisa na kifuko kinamzunguka mtoto vizuri, na hivyo hakuna uwezekano wowote wa mbegu za kiume kupenya na kumfikia mtoto.
Inashauriwa lakini wakati wa kujamii ana na mwanamke mjamzito tumbo lisigandamizwe sana. Wanawake wengine hawana hamu kubwa ya kujamii ana hasa mwishoni mwa ujauzito, na mwanaume anashauriwa kuheshimu hisia hizi za mwanamke.
Kama mwanaume atakuwa ameambukizwa magonjwa ya zinaa wakati wa kujamii ana, hii i ii inaweza kuwa hatari sana kwa mwanamke na pia kwa mtoto tumboni. Wakijamii ana mume na mke wakati wa ujauzito, lazima wawe na uhakika kwamba hamna mwenye magonjwa ya zinaa au watumie kondomu kwa ajili ya kinga. Iwapo watakuwa na wasiwasi wowote, wamwone daktari kwa uchunguzi.

Shopping Cart
🏠 Home 📖 Reading 🖼️ Gallery 💬 AI Chat 📘 About