Posted: June 21, 2024
Lengo kuu la kampeni hii ni kudumisha amani na upendo bila kuangalia tofauti zetu. Kampeni hii inaamini kuwa katika upendo kuna amani, na inafundisha kuwa upendo wa kweli ni kuwafanyia wengine vile ungependa kufanyiwa na wao. Kila mtu anapaswa kumfanyia mwenzake vile anavyopenda kufanyiwa.
Posted: October 20, 2022
Ni jambo jema kusamehe wale waliotukosea. Neno “Nimekusamehe” ni zuri kusikia masikioni kuliko neno “Ninakupenda”. Maana kusamehewa ni zaidi ya kupendwa kwani Msamaha ni matokeo ya Upendo. Melkisedeck Leon Shine Neno “Nimekusamehe” Neno “Nimekusamehe” ni moja ya maneno yenye nguvu kubwa sana katika lugha yoyote ile. Ni neno ambalo linabeba uzito wa moyo mzito uliojaa …
Thamani ya Neno “Nimekusamehe” Read More »
Recent Comments