Bikira Maria

Maana ya jina Bikira Maria

Jina asili kwa Kiaramu ni מרים, Maryām lenye maana ya “Bibi”; watafsiri wa kwanza wa Biblia ya Kiebrania wanaojulikana kama Septuaginta (LXX) waliliacha kama lilivyo wakiandika kwa Kigiriki Μαρίαμ, Mariam, au walilifupisha wakiandika Μαρία, Maria. Katika Kurani jina hilo kwa Kiarabu ni مريم, Maryam. Jina hili limeenea sana duniani kote,…

Bikira Maria

Nafasi ya Bikira Maria Katika Kanisa Katoliki

Kanisa katoliki linamthamini Bikira Maria kama Mama wa Mungu, Mama wa Kristu, Mama wa Mkombozi pia Mama wa uhai kuna maneno kadhaa hutumika pia kufafanua zaidi hiyo heshima mfano HYPERDULIA zaidi ya…. Bikira Maria tunamheshimu zaidi ya watakatifu, PROTODULIA ikiwa na maana ya heshima kwa Bikira Maria zaidi ya Mt.…

Bikira Maria

MAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA BIKIRA MARIA

Leo nimeamua kutoa makala kuhusu Bikira Maria Baada ya maswali mbalimbali kuibuka kuhusu nafasi yake kwetu sisi. Chanzo cha makala hii ni www.alfagems.com MAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA B. MARIA Sisi Wakatoliki nyakati hizi zilizojaa madhehebu mbalimbali ya Kikristo, yanayotumia Biblia na kuitafsiri kadiri yaimani yao ama wenyewe wanavyojisikia kwa namna…

Bikira Maria

Mafundisho Kuhusu Bikira Maria

DOGMA ZA KANISA KATOLIKI KUHUSU BIKIRA MARIA. Kuna mafundisho makuu mannekumhusu Bikira Maria ambayo ni lazimakila Mkatoliki ayasadiki kutokana naufunuo wa Mungu: 1. B. Mariamkingiwa dhambi ya asili 2. B. MariaMama wa Mungu 3. B. Maria Bikiradaima 4. B. Maria kupalizwa mbingunimwili na roho MKINGIWA DHAMBI YA ASILI Malaika alimsalimia…